Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,341
- 201,599
Good Morning reality.
Habari Gani Mkuu Malcom Lumumba
Good Morning reality.
Poa kabisa kamanda wangu, mzima wewe!Habari Gani Mkuu Malcom Lumumba
Habari Gani Mkuu Malcom Lumumba
Taratibuu yanii asubuhi hii hapa.Mungu mkubwa Mkuu naona kunakucha Taratibu
As long as ugali haupo kwenye listi hii I am cool [emoji16][emoji16][emoji16]
Acha leo niwe wa kwanza kusaini kitabuni then nirudi kulala nitakuja baadae
Don Clericuzio kasahau kuweka kofuli nmekuta geti liwazi..nmefunga .
Solex [emoji23]Umeweka kufuli gani?
Dada umenisusa hizi siku sijuagi kisa ni nini hata [emoji21]Acha leo niwe wa kwanza kusaini kitabuni then nirudi kulala nitakuja baadae
Solex [emoji23]
Mdogo wangu hujambo? Nimekumiss sana aiseeSolex [emoji23]
Ahsante kwa kunisubiriNitakusubiri.
Jamani, sio hivyo bwana dada yako nina mambo mengiDada umenisusa hizi siku sijuagi kisa ni nini hata [emoji21]
Ahsante kwa kunisubiri