Astelia
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 1,049
- 3,547
Shift inaaanza saa sita kamili na umekuja sa saba huni kuwa umelate?![]()
saa sita huwa nalinda kimyakimyaShift inaaanza saa sita kamili na umekuja sa saba huni kuwa umelate?![]()
saa sita huwa nalinda kimyakimyaSa ndio ka hivi lindo nayo inakua evasive mda mwingi
Heri ya mwaka mpya na kwako tunamshukuru Mungu tumevuka salama.....
Nilipotea sana kwakweli majukumu yalinibana mno
Konyagi ninayo ila imebaki kidogo sana itakufaa?

Upige mbinja nawengine tuamke siku zinginesaa sita huwa nalinda kimyakimya
Hapana sijafikiria kuhusu retirement. Ni upepo tu umepita. Nitapata form yangu soon narejeaTukuandalie pension yako...naona uko tired na work sasa.
Faster Sana Kamanda wangu, lindo linakaribia kunishindaKonyagi ninayo ila imebaki kidogo sana itakufaa?
Unaumwa nini? Usingizi hatutibu hapa juu lazima ukae macho lindo liendelee
Hapana sijafikiria kuhusu retirement. Ni upepo tu umepita. Nitapata form yangu soon narejea
Unaumwa nini? Usingizi hatutibu hapa juu lazima ukae macho lindo liendelee
Karibu tena.
Nashukuru sana.

Niko hapa tayari btwI can't wait....

Sawa
Ukipiga hii kila kitu kitakuwa poa
Hakeshi huyo ashakuwa mtorojo
Niko hapa tayari btw![]()