Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 50,273
- 123,690
Babe ndio tabia gani kunitishia sai?
The source. Yai ndio chanzoHivi kati ya YAI na KUKU nani alianza ?
Hili swali tulikuwa tunaulizwa sana miaka hiyo.
Huyu mnyama kanipa zali sana leo...
Hivi jamaa umeolewaga? Maana huwa natafutaga mke naonaga kama wewe ni wife material nataka kuoa

Dah aisee wakuu nmesahau kabisa
Hivi ukitaka kulala unafunga macho au mdomo
Yaan sielewi kabisa , au pua ndo zinazibwa !![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
The source. Yai ndio chanzo
Kwani kulala maana yake nini ? Na je kuna uhusiano gani ya kulala na kufumba macho au mdomo ?Dah aisee wakuu nmesahau kabisa
Hivi ukitaka kulala unafunga macho au mdomo
Yaan sielewi kabisa , au pua ndo zinazibwa !
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sikujii, wale bibi zako utawasogezea wapi?Siendi nakusuburia wewe babe![]()
Zali la mentali auHuyu mnyama kanipa zali sana leo...
Nani amekwambia wewe ndio wewe ?
Ukuje tu nipee hiyo space natimua wote kama ukikuwa ready nikuwe wako and onlyMimi sikujii, wale bibi zako utawasogezea wapi?
NyooooUkuje tu nipee hiyo space natimua wote kama ukikuwa ready nikuwe wako and only
Unaogopa?Babe ndio tabia gani kunitishia sai?
La mentali bado.. la hela hapa siku imeisha vizuriZali la mentali au