Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,742
- 21,870
Mzima sana tu, nimekukimbia usiniambukize ugonjwa wako...sijui tuuite insomnia au kitu gani?
Bbade kwema? Longest time
Bbade kwema? Longest time
Uko very much invited,so Valentine ni mi na wewe bluetooth speaker na Otile brown,na maneno yangu si ya mombasa ni ya nai,hope bdo utayapendaWeka Playlist ya Otilie basi...
Halafu unifunze hiyo maneno yako...

Hahaha uweke chronic kabla ya insomniaMzima sana tu, nimekukimbia usiniambukize ugonjwa wako...sijui tuuite insomnia au kitu gani?
Nipe basukimkosa niambie nikuazime usingizi ulale
Hahaha uweke chronic kabla ya insomnia
njoo uchukueNipe bas
Uko very much invited,so Valentine ni mi na wewe bluetooth speaker na Otile brown,na maneno yangu si ya mombasa ni ya nai,hope bdo utayapenda![]()
![]()
![]()
Itakua fiti sana.Nitakutafutia Tabibu....
Usije kuharibu Ubongo
mhAcha niweke kwa Calender nisije sahau
hahahahAcha niweke kwa Calender nisije sahau

umefurahi eeh?hahahah![]()
Naomba niwakimbie, lindo jema na siku njema.
Zurri ukalale sasa.
namuona tu na lugha yake ngumu ya kikenya, alafu huyu ni babe sio bibi.Mr. Miller uchunge chalii ya Nai anataka kuchorea bibi yako![]()
Hahaha bibi ndio hiyo hiyo babe tu. Nyanya ndio equivalent ya bibi TZnamuona tu na lugha yake ngumu ya kikenya, alafu huyu ni babe sio bibi.
Njoo unipenjoo uchukue
acha awe babe wangu tu kwa huku kwetu TZ....bado hajafika huko kwa kuwa bibiHahaha bibi ndio hiyo hiyo babe tu. Nyanya ndio equivalent ya bibi TZ
nakujaNjoo unipe
Ole wakonakuja