Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,444
Hahah mapai watakupa msala,ushushiwe ngaramtoni tenaVeve leo ningendako si amenibania arif.
Hahah mapai watakupa msala,ushushiwe ngaramtoni tenaVeve leo ningendako si amenibania arif.
Ukishtuka gate limefungwa
Muda huu luku imeisha naenda kujilaza kitandani sasa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Dah kumbe JF haina mfumo wa voice note? Ndio nagundua hili jambo saa hii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa apa utakua unaimba au unatype
Kama hakatoshi nakushauri tumia tochiKuna kijimwanga Kiasi kutokea dirishani
Hahaha asee najichimbia ghettoni hawawezi ku tresspass kwenye private propertyHahah mapai watakupa msala,ushushiwe ngaramtoni tena
Hahaa ...Mkuu hawa kunguni sio wazuri kabisa naona wanahakikisha nakesha
No VN here 😂😂😂😂we kama utataka kutyp ni ruksaDah kumbe JF haina mfumo wa voice note? Ndio nagundua hili jambo saa hii[emoji23][emoji23]
Hahah ni kweli bro,rada zao sehem kama hzo ni ngumu kufikaHahaha asee najichimbia ghettoni hawawezi ku tresspass kwenye private property
Tupo mkuu,,karbu
Mpaka majogoo.
Ku type itachukua mda sana. Bahati yako mbaya. [emoji23][emoji23]No VN here [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we kama utataka kutyp ni ruksa
Ehh sasa umevunga zako kwako akija si unamwitia mwizi tu[emoji23][emoji1787]Hahah ni kweli bro,rada zao sehem kama hzo ni ngumu kufika
Mkuu hawa kunguni sio wazuri kabisa naona wanahakikisha nakesha
No VN here 😂😂😂😂weDah kumbe JF hnote? Ndio nagundua hili jambo saa hii![]()
![]()
😂😂😂😂😂post hapaKu type itachukua mda sana. Bahati yako mbaya. [emoji23][emoji23]
Mapema sana tulia, nipe namba ya meter nikutumie umeme