JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Kuna birauli nne za maji na bakuli kubwa moja. Kila birauli imeshikwa na mtu wake,amri inatoka na kusema hivi "kila mmoja amimine maji ya kwenye birauli kwenye hilo bakuli". Maji yakamiminwa.

Kisha ikatoka amri,kila mtu achukue maji yake aliyo yamimina kwenye bakuli lile.

Je unaweza kuniambia hapo birauli ni nani na bakuli ni nani ?
Bilauri[emoji818]
Birauli[emoji777]
 
Nimeona wale tuliokosa usingizi ama kustuka usingizini usiku mnene kuanzia saa saba na kuendelea tuambizane nini kimekukosesha usingizi au nini kimekustua usingizini na je unafanya nini muda huu!

Binafsi maisha ya upweke na ukosefu wa ajira unanitia mawazo saiz nmekaa nakunywa tu maji yangu ya kisima hapa angalau nmepiga safari za chooni mbili na kurudi hapa kwenye kochi...

Wengine ungeni tela!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sio kidogo kina miguu na mikono, kichwa na mkia...
Labda Nzi siogopi
Hahaha kuna sehemu ukiishi kuna vitu hata kama unaviogopa inabidi ifikie muda usiogope tena maana ni sehemu ya daily life.

Unadhani Nzi asingekuwa karibu na mwanadamu siku zote, anatokea rarely usingemwogopa?
 
Kuna birauli nne za maji na bakuli kubwa moja. Kila birauli imeshikwa na mtu wake,amri inatoka na kusema hivi "kila mmoja amimine maji ya kwenye birauli kwenye hilo bakuli". Maji yakamiminwa.

Kisha ikatoka amri,kila mtu achukue maji yake aliyo yamimina kwenye bakuli lile.

Je unaweza kuniambia hapo birauli ni nani na bakuli ni nani ?
Bilauri - Mwanamme
Bakuli - Mwanamke.

Naomba zawadi yangu Zurri
 
Back
Top Bottom