Nakukunja
unalalamika unaumia, kudadadako si ulisema nna kibamia
Au unaniigizia
We shori wa wapi, au ndiye yule jini niliyesema simtaki
Kitu chenyewe,
halafu kina ubaridi
Namkaza anantolea macho au ninayemkaza ni gaidi
Demu mwenyewe hataki kukuruka
Namkaza kalala chali yani kama mwana nakaza ukuta, na Leo mbona nnatajuta
Afta game
Anatoka makamasi, yani leo nimechukua mgogo mbona ataniambukiza hadi na fangasi
Halafu anataka nimkiss
Na cheka yake sasa utafikiri cheka ya fisi
Ahh! Amebadilika! Amekuwa Nyani
Kumbe ni yule jini aliyekuwa akinita honey
Kashfa za Jf, mi nlichukulia ka utani
Kumbe amezisoma umenifukuzia ubani
Mapenzi gani, hata kibamia changu umekigeuza majani... Ohh! My God