JamiiForums Usiku wa manane
Kwa wazee wa kukesha adi mida frani ya wanga tukutane hapa ili tupige story mbili tatu
 
Ulilala mchana?
Sanaaaa.
Yani nimelala hadi mbavu zikauma.

Nikatoka hapo nikaenda kupata msosi mmoja wa kijapani yaaaki.

Hatari sana.
Yani ww usingekuwa unakaa kijijini ningekunenepesha sana.
 
Sanaaaa.
Yani nimelala hadi mbavu zikauma.

Nikatoka hapo nikaenda kupata msosi mmoja wa kijapani yaaaki.

Hatari sana.
Yani ww usingekuwa unakaa kijijini ningekunenepesha sana.
Hahaahaaa
 
Back
Top Bottom