Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,742
- 21,871
Mimi niko na Mr Likes tayari sitafuti likes [emoji6]Hahaha ,kuna Uzi humu Leo,MTU aki like sana posts zako ujue.....
Mimi niko na Mr Likes tayari sitafuti likes [emoji6]Hahaha ,kuna Uzi humu Leo,MTU aki like sana posts zako ujue.....
Hahaha,hakikisha, unajilinda kabla hujalinda unachokilindaHaswaaa nimeipata hyo
Kumbe?Safi umeitikia kwa mujibu wa sheria zetu za Maneno ya usiku,
Mr likes uko naye safi sanaMimi niko na Mr Likes tayari sitafuti likes [emoji6]
Nitajaribu kujibu kwa uelewa wangu.Yote ni michepuko hiyo hata vikiwa kwa Mara moja nini kinapelekea hali hiyo?
Asee ,hili darsa na ilmu nyingine kbsNitajaribu kujibu kwa uelewa wangu.
Unajikuta hauko tena na Mapenzi na yule mtu.
Unaenda kutafuta kitu kilichokosekana kwa mahusiano yenu.
Tamaaa
Tunekuja !Jaman mkuje tulinde
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Mr likes uko naye safi sana
Haitakaa ifike mwisho. ...Asee ,hili darsa na ilmu nyingine kbs
Hey[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Etii eeh ?Haitakaa ifike mwisho. ...
Oiiii
Oiiii
Mnaanza lugha zenu zile eeh za umombo eeh
nimekufulia, liko kwenye dryer. Tusubiri likaukeNiko lindoni..naomba koti langu
amHivi sasa ni saa 00:07
Hivi ni pm au Am?
Ndio hivyo tena. ...Etii eeh ?
Ulimi uliteleza.....Mnaanza lugha zenu zile eeh za umombo eeh