Chumchang Changchum
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 6,151
- 6,449
Si la kibantu!Hahaha kinakumaluza eee
Lina kajiubaguzi..
Si la kibantu!Hahaha kinakumaluza eee
Bhana we uko chimbo gani mbona huku kwa sizonje tayari23:14 muda bado lkn
Hahaha nmecheeka hamna ubaguzi wa rangi wala jinsia jamani karibuSi la kibantu!
Lina kajiubaguzi..
Karibu lindoni,Hivi nimeguna Kumbe...mweh
Shukran,Hahaha nmecheeka hamna ubaguzi wa rangi wala jinsia jamani karibu
Ndio maana mnaibiwa,hii mbinu mpya Mkuu, mwizi anajua hauko lindo,akijichanganya tu imekula kwake[emoji23] [emoji23]Bhana we uko chimbo gani mbona huku kwa sizonje tayari
Safi umeitikia kwa mujibu wa sheria zetu za Maneno ya usiku,Abeee
Hahaha ,kuna Uzi humu Leo,MTU aki like sana posts zako ujue.....
Mkuu nani huyo?Hahaha ,kuna Uzi humu Leo,MTU aki like sana posts zako ujue.....
Mie nimeona tu Uzi ,nimeukumbukaMkuu nani huyo?
Unaongelea mchepuko/kuchepuka kupi?Mada; kwa nini watu wapenzi walioko kwenye mahusiano wanachepuka? Ni nini kina mfanya mpenzi achepuke au atafute mpenzi wa pembeni?
Yani usingizi unanibeebaMada; kwa nini watu wapenzi walioko kwenye mahusiano wanachepuka? Ni nini kina mfanya mpenzi achepuke au atafute mpenzi wa pembeni?
Sijapiga CHABO kitambo
Haswaaa nimeipata hyoNdio maana mnaibiwa,hii mbinu mpya Mkuu, mwizi anajua hauko lindo,akijichanganya tu imekula kwake[emoji23] [emoji23]
Yote ni michepuko hiyo hata vikiwa kwa Mara moja nini kinapelekea hali hiyo?Unaongelea mchepuko/kuchepuka kupi?
Ule wakuwa na mtu mwingine wakudumu nje ya mpenzi wako?
Au ule umetokea umetoka nje ya mahusiano mara moja kwa mwezi au mwaka?
Ntakuchapa [emoji15] [emoji15]Yani usingizi unanibeeba