Unazingua bro,muda bado...Sikilizia sikilizia kidogo.Tayari niko lindo wakuu tuko pamoja!
Mchana wa 23:28 huo utakuwa mchana mwema...Uku kwetu ni mchana na mida hii inasomeka saa 23:28
Hata nami nimeliona hilo,,,Alafu siku hizi humu ndani watu wanavunja sana sheria za lindo