Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,568
- 96,183
Dah haya ,ngoja niendelee na lindoNdio hivyo tena. ...
Dah haya ,ngoja niendelee na lindoNdio hivyo tena. ...
Uliza twasikilizaNina swali!!
Sawa tuUlimi uliteleza.....
Niaje?
Upo ?Oiiii
Poa PoaDah haya ,ngoja niendelee na lindo
Hapana mkuu[emoji23]Mnaanza lugha zenu zile eeh za umombo eeh
Mishe vipiOiiii
Juzi,jana,Leo na KeshoUpo ?
darasa letu limepigwa ban yakusajili wanafunzi wapyaHumu naona kila siku sura hizi hizi inakuwaje ?
Daaah,safi !Juzi,jana,Leo na Kesho
Daah,wanatufelisha sasa !darasa letu limepigwa ban yakusajili wanafunzi wapya
Poa Poa. ...nakuonaga usiku tu?Mishe vipi
Mishe vipi
Juzi,jana,Leo na Kesho
Poa Poa
Ngoja nikae chimbo niwahakikishie ulinzi ,mjiachie vzr msihofuUpo ?
Wakina nani wajiachie ?Ngoja nikae chimbo niwahakikishie ulinzi ,mjiachie vzr msihofu
Hujaachaga tu ile kitu?Ngoja nikae chimbo niwahakikishie ulinzi ,mjiachie vzr msihofu
[emoji4]mchana mambo mengi mnoPoa Poa. ...nakuonaga usiku tu?
Bora umeulizaWakina nani wajiachie ?
Ipi hy MkuuHujaachaga tu ile kitu?
Nasubiri jibu.Bora umeuliza
Lakini nakuonaga kitaa mchana. ...na unanipitaga kama hatujuani. ..sio poa[emoji4]mchana mambo mengi mno
Usiku ndio hua na enjoy ku chat,nalala tu kwenye sofa na simu