Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,391
- 59,148
DohOk mitaa ya Upanga kwa mbele kidogo...Basi itakuwa FM sasa,,
DohOk mitaa ya Upanga kwa mbele kidogo...Basi itakuwa FM sasa,,
Ubarikiwe sana mkuu. InshaallahAshukuriwe aliumba mbingu na ardhi,Dua yangu imekubaliwa...
Jana nilileta mada watu wakakimbia nikajikuta nipo mwenyewe macho yakaona aibu yakasinzia hahahaaLete chachandu na achali mkuu panoge
Kheri wa min kum...Ubarikiwe sana mkuu. Inshaallah
Huhuhu au uliketa za siasa humu manake sikupitia za janaJana nilileta mada watu wakakimbia nikajikuta nipo mwenyewe macho yakaona aibu yakasinzia hahahaa
[emoji108]Kheri wa min kum...
Niko lindoni..naomba koti languhili lindo lina latecomers wengi, au leo ndo wameamua ku-dodge kabisa
Naomba tujaribu kujadili mada ya Jana halafu nadhani itakuwa ni mwanzo Mzuri wa mada za usiku mnaunga mkono hoja?Napendekeza kuwe na mda pendwa kila ifikapo muda wa lindo apo mambo yatakaa sawa
[emoji108]
Hapana siasa usiku wa manane ni stress aisee hata ctaki kuckia siasa usiku wa manono maana sio manane tena hahahaaaHuhuhu au uliketa za siasa humu manake sikupitia za jana
Em ilete kabla hatujasinziqNaomba tujaribu kujadili mada ya Jana halafu nadhani itakuwa ni mwanzo Mzuri wa mada za usiku mnaunga mkono hoja?
Hahaha kinakumaluza eeeHilo jina lako tuu,,
Hivi nimeguna Kumbe...mwehMbona una guna sasa.Au upendi tujibu?
Okay inakujaEm ilete kabla hatujasinziq