maliyamtu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2017
- 2,137
- 3,879
Mkuu jina lako linatamkwajeMchana wa 23:28 huo utakuwa mchana mwema...
Mkuu jina lako linatamkwajeMchana wa 23:28 huo utakuwa mchana mwema...
Ahsante mkuu,, habari za kutwa nzimaKaribu mkuuu
Yani sijui kwanini asee wacha aje mkuu wa lindo aseme japo nenoHata nami nimeliona hilo,,,
Mkuu wa lindo yupo Club...Yani sijui kwanini asee wacha aje mkuu wa lindo aseme japo neno
Nichum nikuchang HahahaMkuu jina lako linatamkwaje
Hahahaha nichum nikuchangNichum nikuchang Hahaha
Vipi umepona kabisa,,
Hahahaha anakula mema ya nchi eeeMkuu wa lindo yupo Club...
Njema sana sijui habari ZakoAhsante mkuu,, habari za kutwa nzima
Mungu mkubwa niko sawa aseeNichum nikuchang Hahaha
Vipi umepona kabisa,,
Inategemea upo anga zipi?Hivi sasa ni saa 00:07
Hivi ni pm au Am?
Habari zangu alhamdulillah kwakweli,, hembu toa mawazo yako ili hili lindo lichangamke unapendekeza nini kifanyike?Njema sana sijui habari Zako
Ardhi ya jiweInategemea upo anga zipi?
Lete chachandu na achali mkuu panogeHapa mahali panapooza mpaka panapoteza mvuto kwakweli
Mungu mkubwa niko sawa asee
Napendekeza kuwe na mda pendwa kila ifikapo muda wa lindo apo mambo yatakaa sawaHabari zangu alhamdulillah kwakweli,, hembu toa mawazo yako ili hili lindo lichangamke unapendekeza nini kifanyike?
Ardhi ya jiwe