JamiiForums Usiku wa manane
we fuatilia convo yenu ndio utaona vyenyewe kwa nn nlicheka
ni ishu ilichekesha
Na mimi nimekuelewa umenicheka kwa lile swali
Ila nnahakika ufundi hauna ukubwa huezi jua tungepewa aina ya ufundi unaoleta hayo mautam ukaongeza kitu

Usinicheke tena napenda kujua zaidi
 
Back
Top Bottom