maliyamtu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2017
- 2,137
- 3,879
No worries kabisa manake watz tunaongea lugha moja etYule jamaa na yule sista watakuwa kwa malkia wanatuzuga tuu sio bure
Sent using Jamii Forums mobile app
No worries kabisa manake watz tunaongea lugha moja etYule jamaa na yule sista watakuwa kwa malkia wanatuzuga tuu sio bure
Komaa nao hivyo hivyohahaaa! kweli eeeh,si unajua huu uzi wangu halafu nijiharibie tena bro!
Ndio hivyo hivyo Mkuu
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Kukandamiza nn tena?Acha kukandamizia sana basi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]no!no!no! this is not the law of this uzi.
Hahaha, kwa avatar hy,watajuaNitazoza kibongo...halafu watanionea huruma......watashusha bei
Kukandamiza nn tena?
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Sana Mkuu, natamani muendelee na umombo asee ,hebu washtue wenzio basi muendeleeNaona bro.unaburudika tuu!
Mapema hivyo,kwani yule mudhungu mwenzio naye kaisha lala?Hamna noma.....naenda kulala sasa
Nakuelewa, usifeli kirahisimi nimekwambia hapa sitoki mpaka kieleweke!
SwadaktaAyaa! why sleep now you beatiful?
Komaa nae ,muda mwambie kwa umombo lknYule mdhungu mmoja anasema anaenda kulala,ameshakata stimu tayari