Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Mmh ujue jirani kila kitu kuhusu dar anauliza mpaka coco beach jaman kweliiiihahahaha
wewe Manga huyu mbona wa dar hapa hapa juz juz tu nlimuona pale jirani na clouds media
Mmh ujue jirani kila kitu kuhusu dar anauliza mpaka coco beach jaman kweliiiihahahaha
wewe Manga huyu mbona wa dar hapa hapa juz juz tu nlimuona pale jirani na clouds media
hahahahakhaaàaa
nimesikia ni kitoeo kitam sana.Aiseee watu sio waoga
Hafu wewe sawa tuHapana siwezi mie
Karibu mida ya wanga
Aisee vingine sio vya kuiganimesikia ni kitoeo kitam sana.
Hamna uoga kwenye vitu vitam
Hata mm nimeona mawindo ya uck yanalipa. Nko hapa jiran na bridge. Wewe wapi?mimi niko lindo hapa.
how a u lakin JJ
mweeer!!yupo kwa future itakuwa vumilia tu jirani
Nyama ya kobe jamanhahahaha
mbona mshangao umekuwa mkubwa?

Mie tena au dark angel mangaHafu wewe sawa tu
Daah afande utakuwa umeokoa jahazi sana.hahaha
siku nikija kwa Ney ntakupitishia hapo
mmi huwa napenda sana nyama ya kobe afande
ina niweka imara kwenye lindo kama hivi
kweli afandeAfande inabidi niwahi kabisa si kawaida hii
anhaa!
mimi nlitaka niende ila kipindi hiki cha Magufuli, future ni wa kumwona kwenye tv tuu





anko magu legeza kidogoyep yep yepWanajopo! Wanajopo!
Mwanajopo mwanajopoWanajopo! Wanajopo!
Inabidi ulale tu jirani hakuna namnakweli afande
ujue Ney ni moyo wangu na mwolo wangu sasa leo part of moyo haipo kabsa hapa.
Habar hadi sasa ni nzrHabari za humu
Mbona mm nko bararani hujataja?asee watu kuna maeneno ma tatu
wako
guest house
club
au kwa future
Kobe itakuwa nyama nzuri sana maana hata bei yake si ya kitotoAisee vingine sio vya kuiga
