JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Kama yana kukwaza hatutayafanya
Itafaa nini ikiwa sisi twafurahi lakini wewe huenjoy

[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
As long Neybright, mumu, jje's, Demiss, Inna, (carba.....nini sijui nampenda ila jina lake ntihani kwangu) wanayafurahia basi sina neno. Endeleeni tu kubebishana kwa raha zenu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nooo
Wewe pia ni muhimuu ufurahi
Kama hauko sawa tutabebishana maeneno nyingine

Furaha yako ni furaha yetu pia
 
Back
Top Bottom