Neybright
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 5,692
- 14,484
Karibu tukae machoMabundi hawajalalaa
Karibu tukae machoMabundi hawajalalaa
Karibu kwenye chama cha mapopoMabundi hawajalalaa
Mamii shida nini!Karibu tukae macho
na mapopoMabundi hawajalalaa
Mume hujarudi mpaka sasa huo usingiz ntautoa wapi?Mamii shida nini!
Naona nawewe popo ndio kumekuchaMabundi hawajalalaa
Hizi ndoa jamani mbona mabachela wanatengenezewa fursa wazi waziMume hujarudi mpaka sasa huo usingiz ntautoa wapi?
, Upekwe ukizidi just lemme know,We [HASHTAG]#Ngoda[/HASHTAG] shemeji yako hajarudi nyumban mpaka saizi
mwenzio yupo gest flan kalala we mpaka sasa macho kodoMume hujarudi mpaka sasa huo usingiz ntautoa wapi?
Hizi ndoa jamani mbona mabachela wanatengenezewa fursa wazi wazi![]()
, Upekwe ukizidi just lemme know,We [HASHTAG]#Ngoda[/HASHTAG] shemeji yako hajarudi nyumban mpaka saizi




Naona nawewe popo ndio kumekucha
Mume hujarudi mpaka sasa huo usingiz ntautoa wapi?
Acha kuniumiza roho, itakuwa kawekwa lockup atarudi asubuhimwenzio yupo gest flan kalala we mpaka sasa macho kodo
Pepo shindwaaaaaa!
Tatizo la kakaangu nae ananibania fursa balaah nashindwa kujilipua
Nahis kuna rushwa imetembea

Nimeamshwa mie.. Anataka kulala kifuani atii.. Kashindwa kulala anaumwa kichwa leo




Eeh bado ananyonyaNimeamshwa mie.. Anataka kulala kifuani atii.. Kashindwa kulala anaumwa kichwa leo

kwa hiyo sasa umemuweka kifuaniNimeamshwa mie.. Anataka kulala kifuani atii.. Kashindwa kulala anaumwa kichwa leo
Vibaya mkuu mi na wew tumetoka mbali sana,iweje ushindwe kunipa mdgo wako nimsitiri?Pepo shindwaaaaaa!![]()
![]()
![]()
Ukweli mchungu aiseeh mume anauma na ni ngumu kukubali arudi tuu hata aniambie alikanyaga mdudu poteza roho itafarijikaKuna mtu anakula kwa nakshi mwenzangu.. Jipangee
hahaha anakula commission huyo
Tatizo la kakaangu nae ananibania fursa balaah nashindwa kujilipua
Nahis kuna rushwa imetembea