Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Yupo serious Ngoda mpaka naogopa ujue yaan manga ananiogopeshaKwa jinsi nilivyomjifunza ndugu yangu huyo katika hilo yuko serious. Simsemei lakini for so long nimebaini kamoyo kake kana ujumbe kwako.![]()
![]()
ila tuu usikubali mambo ya kupima ubora Wa makinikia before kibali cha uchimbaji.
mie sitaki alafu ataniharibu sasa mie nitafanyaje nikimuona tuu naskia kulia,