Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,996
- 189,582
Mtoto haonekani sasaAaah wapi
Mtoto haonekani sasaAaah wapi
Love you so much honey [emoji8]Good nyt the most beautiful girl in the whole world
Sleep well, i love you.
Hahaha mama chanjaBado nipo kifungoni
Mimi nawe tumemaliza imebaki heshima ttuuYou better stay silent.
HahahahWala wasimlaumu kwake nimejifungia mwenyewe tu ha ha haaa
Na weye piaMe naomba nipumzike wazee wa getini tukutane hapa kesho tukabidhiane funguo,
Usiku mwema wote.
Nimehamia bondeni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jirani hivi umehama nyumba hadi umekuwa Wa kunikimbia hivi
Hahaha iliisha pale pale mods walifunga Uzi [emoji23] [emoji23]Hahahah
Sawa bhana! Hivi braza ile ishu ya mambembe imiishia wap? [emoji1]
Ametoka jf kwa muda but atarudiMtoto haonekani sasa
Umevunja na ujirani [emoji22] [emoji22] [emoji22] hata salam jiraniNimehamia bondeni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We jifariji tu utakuwa mshika mapembeAmetoka jf kwa muda but atarudi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha iliisha pale pale mods walifunga Uzi [emoji23] [emoji23]
Mkuu ni mzigo wa watu huoWe jifariji tu utakuwa mshika mapembe
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimehamia bondeni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pamoja vipi leo hufui?[emoji23]Jamani wacha nilale
Jf hutakiwi kuchukulia kila kitu serious jukwaa lenyewe chitchat kabisa mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila braza nyie ni watu hatari, alikiwa amepanick halaf nyie mmetulia.
Alinimind ile mbaya,
naona hata yeye katulia kdogo sjui atarud tena!
Watu wanakamua maziwa we unapambana na kushika pembe boss [emoji23]Mkuu ni mzigo wa watu huo
Sijahamini kweli mambo ni moto[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sio kwa hivi.
Jirani asie namaslahi