Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,049
Nishakaribia tayari brother, ulipotea wapi wewe.kama kawaaa
karibuu mzee wa Tanga
Post sent using JamiiForums mobile app
Nishakaribia tayari brother, ulipotea wapi wewe.kama kawaaa
karibuu mzee wa Tanga
Nimeshatia neno tayar nasubir kama atatia shakaheb bro mwambie jana nlivo rud kwa masikitiko
nkashindwa had kulala
jana hukuwa uko okey, nlikaa sana hapa muulize Manga.Jana umejua kunitenda mwanaume wewe sitaki kukumbuka jamani loh
aaahJirani ujue manga kaka angu jamaan
jana hukuwa uko okey, nlikaa sana hapa muulize Manga.
tena nlipo toka niataka kulala nkashndwa ntalalaje kwa tulivo achana vile!??
halaf nimerud nkakuta usha ondoka pia




Hapana nili mhoji akasema yeye hapati notifcation za humuAlinifanyia makusudi tuu
Jirani hope leo utakuwa activeUsiku wa matisa
aaah
Jirani naweza kuwa kusoma sjui hata picha si ioni kweli jirani?



kweli jirani muulize manga ujue akwambiebraza nipooNishakaribia tayari brother, ulipotea wapi wewe.
Post sent using JamiiForums mobile app
Hapana nili mhoji akasema yeye hapati notifcation za humu







nimeona aseeNimeshatia neno tayar nasubir kama atatia shaka
oyoooooUsiku wa matisa
Jirani leo tutaondoka wote kabisa.Jirani hope leo utakuwa active
Acha tu jamaa tusio na swaga tutaitwa kaka dahaaah
Jirani naweza kuwa kusoma sjui hata picha si ioni kweli jirani?
Basi kuanzia leo tutaonana vizuri kabisa maana mimi pia hii ndiyo mida yangu ya kazi,sema tu hili chimbo nilikuwa silijuibraza nipoo
mie ukinikuta hku ndio mida yangu hii kwa kuwa nakuwa lindo
ila hata wewe hatuonan sana kaka
WoiiiiiiUJINGA NI PALE UNAPOKUWA NA KIBAMIA HALAFU UMENG'ANG'ANIA KUSEMA NALIAMSHA DUDE
Post sent using JamiiForums mobile app






hahaha
Umejua kunilainisha