Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,013
TupoooooMpo humu
Post sent using JamiiForums mobile app
TupoooooMpo humu
Post sent using JamiiForums mobile app
Teh tehAlhamdulillah
Hapana bwana mamdogo wako wala hatujafika hukoPaka akiondoka panya anatawala
Mie na wewe soga tu manga kama hiviNtaamini siku na mimi ukinifurahisha


Namtumbo huku ndani ndaniBamdogo uko uk nini
Nimepamiss saana pamoja na chichiKama uko Tanga karibu Lavida loka
Post sent using JamiiForums mobile app
Sawa bamdogoHapana bwana mamdogo wako wala hatujafika huko
Ahaa,karibu kinywaji ShunieTupooooo
Haya bhana ila usishangae nikipotea potea humuMie na wewe soga tu manga kama hivi![]()
Asante mwambie waiter aniletee mbili za fastaAhaa,karibu kinywaji Shunie
Post sent using JamiiForums mobile app
Imekua vizuri sana nlikua nimetega tu uje usingekuja leo ningechuna tu
Bora leo mpo wote mizigo iniepukeAhahhh Manga ujue unanifurahisha sanaa yaan nikikuona najiskia burudani najiskia kufurahi tu jamaan
Chichi pamefulia, siku hizi lavida ndiyo mpango mzima.Nimepamiss saana pamoja na chichi



Fafanua hiyo sentensi yako labda italeta matokeo mazuri tofauti na niliyoyaona leo ya nectaBora leo mpo wote mizigo iniepuke
Kwema bibie?
Sawa kama mimi nna mapembe nashukuru tu kwa hiloSifungui jamaan naogopa mie
Jana nimepata adhabu shunie sijui kwanini hukutokea