Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,105
Katuni moja hivi wala isikustue alikua anasaidia kuondo stress tu asikushuhulishe

Katuni moja hivi wala isikustue alikua anasaidia kuondo stress tu asikushuhulishe

We baba chanja ujue nimecheka sana...eti katuni moja hiviKatuni moja hivi wala isikustue alikua anasaidia kuondo stress tu asikushuhulishe
Kashanambia baba chanja tayari...siunajua sie ni kuambiana hata akiwa chooni ananisikia

Msome sasa acha kuzurula jf. Au ndio breakWa UE tupo tunatoboa ozoni hasa wenzangu na mm wa afyaa
Unajifanya kuyajengaa alafu akiondoka shem ice unasema tunakulagaNshamtuliza tayari endelea ku bebika
Kuhesabsha kenchi au nyotaGkhaaa. Jamaniii
Unacheka nini sasa au na mimi nianze kutongoza?he he he he he he he he he he ehe heeeee😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
NimekujaSasa nmekukaribisha bado unajiuliza uliza
Mi mgeni huku nimetoka matombo jana![]()
![]()
![]()
liunge na ww tafuta wako
ole wake,Unajifanya kuyajengaa alafu akiondoka shem ice unasema tunakulaga
Yes yesi asiwe na khofu naeWe baba chanja ujue nimecheka sana...eti katuni moja hivi

Karibu utazoeaMi mgeni huku nimetoka matombo jana
Yep yep muandae Ney sasa mana hasomekagiEeeh ndio. Lakini mwezi ujao hivi
Namna hiiSawa braza nisha acha
Kashasomeka hapo juu tayariYep yep muandae Ney sasa mana hasomekagi
Jana na leoKwema..upo kumbe?
Hapana wakubwa hawawali wadogo ujue hapo kwanzaUnajifanya kuyajengaa alafu akiondoka shem ice unasema tunakulaga
Aisee ni nzuri tu tupo tunapambana na vyumaaaaKaka
Nimerudi ndugu yangu, za sku mingi?