JamiiForums Usiku wa manane
Jamani we Ney,nini ubamvuruga kijana mpole,mstaarabu huyu jamani we ney wewe...
Sawa sawa,ndogo ake baba chanja. We ni baba mdogo chanja basi.
Sijamvuruga yeye ndio alinivuruga. Kuna mahali nilikuta anagombaniwa na wadada alafu yeye akiwa anatabasamu niliumia sana, alafu isitoshe mpenzi wangu nilikuwa hata sijamuona nawaza kumkumbatia nakutana na majanga what should I do?
Maserati acha tuu
 
Back
Top Bottom