Sadiki Abdallah
JF-Expert Member
- Jul 13, 2016
- 885
- 583
Simba 3
Mbao. 0
Mbao. 0
Duuh ndio nimeingia now , mambo vipi bestThad
Inna
Ney
Jje's
Mpo wapi huku ndani kumepoa sana
Yaani unaingia getini bila kumsalimia mlinzi unaenda kumsalimia aliyelala ndani[emoji15] [emoji15] [emoji15]Duuh ndio nimeingia now , mambo vipi best
Ahahahaaaaaa pole sana watchman. Nisamehe bure niligafilika tuuYaani unaingia getini bila kumsalimia mlinzi unaenda kumsalimia aliyelala ndani[emoji15] [emoji15] [emoji15]
SawaAhahahaaaaaa pole sana watchman. Nisamehe bure niligafilika tuu
Upo macho saa hizi kwa sababu ya kuwaza mgegedo muda wooooote!![emoji13][emoji13][emoji13]Sawa
Lete habari
Hahahahahahaaaa.Upo macho saa hizi kwa sababu ya kuwaza mgegedo muda wooooote!![emoji13][emoji13][emoji13]
Ndoto za usiku banaInna kuna kitu ananipa hapa kitandani
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahahahaaaa.
Naona kelele za [emoji196] [emoji196] [emoji196] zimekuamsha
Umelazwa mkuu?Inna kuna kitu ananipa hapa kitandani
mamboUmelazwa mkuu?
anaota kweli huyuNdoto za usiku bana
nimekuja kipenzi but lateThad
Inna
Ney
Jje's
Mpo wapi huku ndani kumepoa sana
Karibu. Ni bora kuchelewa kuliko kutokufika Kabisa. Upo fresh?nimekuja kipenzi but late
Fresh ney! KaribuDuuh ndio nimeingia now , mambo vipi best
I love you too babeBaby love you