Jamii Forum inapoteza ushawishi kwangu.

Jamii Forum inapoteza ushawishi kwangu.

ujinga mwingi ndio unaleta traffic kwenye website , na hapo ndio wamekamatia.....
Yes, nadhan wakati ubora wa content ukishuka, mapato ya JF yanaongezeka. Inakuwa kama habari za muziki mzuri usiouza na muziki mbaya wenye soko.
 
Kwasasa watu wanaandika utopolo tu na wanaitana kwa tags kabisa. Matusi, kejeli, utani, ngono, kujisifu, kusifiana sifa za kijinga, kutongozana, masihara mengi, umbea, n.k ndio mada za JF

Mtu anaweza kuleta mada nzuri unashangaa tu comment ya kwanza tu kashatukanwa na kudhalilishwa...ninahisi watu wengi wana stress ama matatizo ya afya ya akili. Negativity ni nyingi sana kwa watu wanaochangia nyuzi mbalimbali. I think people are not happy at all hivyo wanaona njia za kuondoa stress zao au kupata furaha ni kuwashambulia na kuwadhalilisha wenzao hapa JF.
 
Si jf pekee hata Twitter kabla ya kua x ilikua na nondo sana.
Nakumbuka nilikua nashindaga humo Kusoma quote mbalimbali za watu mashuhuri.
Sasa hivi nikiingia mada nazokutana nazo ni watoto wamelala.
Ukweli usemwe tu kua tupo kwenye kizazi cha hovyo.
 
Wakuu, Kuna kitu sio cha kawaida ninapitia, Siku hizi JF haikidhi mahitaji yangu ya habari, burudani na maarifa. Miaka michache nyuma JF ilikuwa kila kitu. Mijadala ya kuvutia, kisima cha maarifa mapya, simulizi za kusisimia. Awali nilikuwa naweza kumaliza siku nzima JF pekee na nisitake site nyingine,siku hizi hata nusu saa nashindwa kumaliza. Kwanini nafeel hivi siku hizi? Siku, wiki, miezi inaweza kupita sijapata kitu cha kuelimisha au kuburudisha. Hii hali ni mimi tu napitia au na wengine?
Achana nayo
 
Forum tayari inataarifa na marifa mengi sana we search tu utacho taka
 
Mimi hata hawa mods sina imani nao kabisa, wanaweza kuwa sehemu ya tatizo kama sio chanzo.
Huwezi jua. Labda mwenye mbwa kalambishwa asali na hivyo kutoa maelekezo kwa mbwa wake watimize masharti ya kupewa asali. Au pengine tangu enzi ni "one of them" na hapa yupo kazini. Muda mrefu nimekuwa na mashaka hayo.
 
nilip
Wanafuta nyuzi....kumfurahisha bwana Abdul na Mama yake sasa unategemea nini ? .... hivyo kuwafanya watu makini kupunguza madini na kutokutoa mada za maana tena.
nilipambambana na MTETEA MASHOGA mmoja maarufu sana humu jukwaani, nilifuatwa PM kuonywa kuwa ninafanya personal attack na comments zangu zikafutwa zote,....na kupewa onyo juuu,😳😳🤔😔🥲...hapo ndo nikajua kwa nini kwann ndugu zangu humu wa bize na mambo ya hovyo tu,...
 
nilip
nilipambambana na MTETEA MASHOGA mmoja maarufu sana humu jukwaani, nilifuatwa PM kuonywa kuwa ninafanya personal attack na comments zangu zikafutwa zote,....na kupewa onyo juuu,😳😳🤔😔🥲...hapo ndo nikajua kwa nini kwann ndugu zangu humu wa bize na mambo ya hovyo tu,...
mkuu isije kuwa uliacha kushambulia ukaanza kumshambulia mtoa mada? ila mods kuna wakati wanazingua.
 
HAKUNA MTU SMART AMBAE ALIKUA JF 15 YEARS AGO HADI LEO AKAWA ACTIVE MEMBER,
1745245705344.png

  • ID yangu ya kwanza ni ya 2009
  • Hii MwlRCT ni ya Pili.
 
Lichoko km wewe ndo unafanya watu waione JF ya hovyo.. muda wote upo pm za watu kuomba ufokolewe pumbavu 😡
Una hasira sana. Kila ukiona comment yangu unajisikia kulegea. Endelea kujifanya mwanamke. WATU WAMEKUSHTUKIA HAWAKUTAKI. MIMI ENDELEA KUNIFUATA FUATA ILA SITAKI MABWABWA hata ungejiita miss bantu. Wewe ni mwanaume usijione kama mwanamke.endelea kujisikia kichefu chefu.nataka kila ukiniona sehemu uvurugukiwe
 
Back
Top Bottom