secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 21,617
- 44,494
Hahaha 😁🤣
Hahaha 😁🤣
Siku hizii unakutana na mada kama hii; Simba akishinda jumapili nipigwe banWakuu, Kuna kitu sio cha kawaida ninapitia, Siku hizi JF haikidhi mahitaji yangu ya habari, burudani na maarifa. Miaka michache nyuma JF ilikuwa kila kitu. Mijadala ya kuvutia, kisima cha maarifa mapya, simulizi za kusisimia. Awali nilikuwa naweza kumaliza siku nzima JF pekee na nisitake site nyingine,siku hizi hata nusu saa nashindwa kumaliza. Kwanini nafeel hivi siku hizi? Siku, wiki, miezi inaweza kupita sijapata kitu cha kuelimisha au kuburudisha. Hii hali ni mimi tu napitia au na wengine?
Uchawa unpenya kila mahali, ogopa nguvu ya pesaWakuu, Kuna kitu sio cha kawaida ninapitia, Siku hizi JF haikidhi mahitaji yangu ya habari, burudani na maarifa. Miaka michache nyuma JF ilikuwa kila kitu. Mijadala ya kuvutia, kisima cha maarifa mapya, simulizi za kusisimia. Awali nilikuwa naweza kumaliza siku nzima JF pekee na nisitake site nyingine,siku hizi hata nusu saa nashindwa kumaliza. Kwanini nafeel hivi siku hizi? Siku, wiki, miezi inaweza kupita sijapata kitu cha kuelimisha au kuburudisha. Hii hali ni mimi tu napitia au na wengine?
Sahihi. Vijana ila ni wa hovyohovyo. Wanawaza kunengua kumsifu mondi na timu za kariakoo, kutandaza mikeka na kulalamika. Watawezea wapi kushusha nyuzi.Wazee hawajawaji kuwa wengi kuliko vijana
Sio rahisi 17yrs kwenye game sio jambo la kitoto.Sio wewe tu ..e 80% nashinda tiktok, 10 google 5 you tube na 5jf.
Tiktok itaua huu mtandao.
kila nikiingia kwenye jukwas la kilimo na teknolojia sioni jipya, bado ukipost jambo jipya halipati mjadala wa kutosha. Nahisi JF inaweza kuja kufa wasipo kuwa makini.
Sasa hiv platform zimekuwa nyungi sana sio kama miaka 17 iliopita. wasap, tiktok, AI youtube ilikuwa bado changa. Forum ilikuwa kama teknolojia kubwa.Sio rahisi 17yrs kwenye game sio jambo la
Wamebadili I'd mkuu , usidanganyike na ndio wameamua kutoa hizo mada mnazoona za hivyo.Nilidhani ni mimi tu,kumbe tupo wengi. Hata baadhi ya members walio kuwa active sana siku hizi hawajihusishi na jf.
Jf ya miaka ya 2009-2015 ni tofauti na hii.
Tuanze kuwatoa akina Lucas Mwashambwa na Mods wawekwe wapya wanaokidhi mahitaji.Wakuu, Kuna kitu sio cha kawaida ninapitia, Siku hizi JF haikidhi mahitaji yangu ya habari, burudani na maarifa. Miaka michache nyuma JF ilikuwa kila kitu. Mijadala ya kuvutia, kisima cha maarifa mapya, simulizi za kusisimia. Awali nilikuwa naweza kumaliza siku nzima JF pekee na nisitake site nyingine,siku hizi hata nusu saa nashindwa kumaliza. Kwanini nafeel hivi siku hizi? Siku, wiki, miezi inaweza kupita sijapata kitu cha kuelimisha au kuburudisha. Hii hali ni mimi tu napitia au na wengine?
TunasubiriSawa mkuu!
Ipo mkuu, we angalia tu katika hali ya kawaida mtu unawezaje kuandika thread 5+ plus kwa siku halafu hazina hata maudhui ya kutoa elimu.hivi inawezekana humu kukawa na generation mpya ambayo haiwezi kuelewa utofauti tunaofeel?