Jamii Forum inapoteza ushawishi kwangu.

Jamii Forum inapoteza ushawishi kwangu.

mada nzuri huwa naona zinakosa wachangiaji, je humu ndani hamna watu makini tena? mada za siasa ni uchawa tu badala ya fikra pana.
Uko sahihi tena uchawa unao haribu Taifa,(angamiza Taifa), kuangamiza Taifa kwa kukosa maarifa
 
Wakuu, Kuna kitu sio cha kawaida ninapitia, Siku hizi JF haikidhi mahitaji yangu ya habari, burudani na maarifa. Miaka michache nyuma JF ilikuwa kila kitu. Mijadala ya kuvutia, kisima cha maarifa mapya, simulizi za kusisimia. Awali nilikuwa naweza kumaliza siku nzima JF pekee na nisitake site nyingine,siku hizi hata nusu saa nashindwa kumaliza. Kwanini nafeel hivi siku hizi? Siku, wiki, miezi inaweza kupita sijapata kitu cha kuelimisha au kuburudisha. Hii hali ni mimi tu napitia au na wengine?
Yan ww huna tofauti na wale wanaotuma txt radion wakilalamika mbona hamsomi meseji zangu

Ndugu umeandika upupu mabadiriko huanza na ww ebu weka izo mada unazotaka watu wajadiri sio kutafuta furaha kwa kutumia akili za watu wengne
Ebu lete mada za kuelimisha tuelimishane ebu lete mada ya kujenga tujengane, ebu lete mada ya kufurahisha na kusisimua tufurahie na kusisimuka wote,
Acha lawama mabadiliko huanza na ww
 
Mtu humu anajiita JINGALAO utegemee upate cha maana.
 
Wakuu, Kuna kitu sio cha kawaida ninapitia, Siku hizi JF haikidhi mahitaji yangu ya habari, burudani na maarifa. Miaka michache nyuma JF ilikuwa kila kitu. Mijadala ya kuvutia, kisima cha maarifa mapya, simulizi za kusisimia. Awali nilikuwa naweza kumaliza siku nzima JF pekee na nisitake site nyingine,siku hizi hata nusu saa nashindwa kumaliza. Kwanini nafeel hivi siku hizi? Siku, wiki, miezi inaweza kupita sijapata kitu cha kuelimisha au kuburudisha. Hii hali ni mimi tu napitia au na wengine?
Sio wewe tu ..e 80% nashinda tiktok, 10 google 5 you tube na 5jf.
Tiktok itaua huu mtandao.
kila nikiingia kwenye jukwas la kilimo na teknolojia sioni jipya, bado ukipost jambo jipya halipati mjadala wa kutosha. Nahisi JF inaweza kuja kufa wasipo kuwa makini.
 
Kingine wananiudhi moderator wa JF kubadili TITLE ya thread, mda mwingine inakuwa haiendani na le go la kuandika hio thread, hivyo inapu guza moral ya kuandika thread.
Kwa mfano kuna TITLE ya AI waliibadili na kuweka title isio na mvuto kabisa japo ile thread ilipostiwa na mdau mwingine na niliifuatilia ola baadae nikaona yitle imebadirika na haina mvuto.
Title yao waliandika
Umesikia habari za AI ? Waksti mwanzoni ilikuwa
AI inavyotishia ajira -a watu.
 
Hili tatzo nadhani lilianzia kweny uongozi wa jf. Kwa sasa kuna mambo mawili kuna nyuzi zinafutwa saan lakini nyuzi za kula mbususu ndio zimetamalaki. Jf ni facebook iliyochangamka.
Tumebakiwa n watu wachache saan km mshana jr n.k waliobaku wte ni Gen z
 
Wakuu, Kuna kitu sio cha kawaida ninapitia, Siku hizi JF haikidhi mahitaji yangu ya habari, burudani na maarifa. Miaka michache nyuma JF ilikuwa kila kitu. Mijadala ya kuvutia, kisima cha maarifa mapya, simulizi za kusisimia. Awali nilikuwa naweza kumaliza siku nzima JF pekee na nisitake site nyingine,siku hizi hata nusu saa nashindwa kumaliza. Kwanini nafeel hivi siku hizi? Siku, wiki, miezi inaweza kupita sijapata kitu cha kuelimisha au kuburudisha. Hii hali ni mimi tu napitia au na wengine?
Tatizo ni sisi users because we are content creators….

Tujiangalie
 
Wakuu, Kuna kitu sio cha kawaida ninapitia, Siku hizi JF haikidhi mahitaji yangu ya habari, burudani na maarifa. Miaka michache nyuma JF ilikuwa kila kitu. Mijadala ya kuvutia, kisima cha maarifa mapya, simulizi za kusisimia. Awali nilikuwa naweza kumaliza siku nzima JF pekee na nisitake site nyingine,siku hizi hata nusu saa nashindwa kumaliza. Kwanini nafeel hivi siku hizi? Siku, wiki, miezi inaweza kupita sijapata kitu cha kuelimisha au kuburudisha. Hii hali ni mimi tu napitia au na wengine?
Sio wewe tu hata Mimi nadhani Jamii forum sa hivi imekuwa compromised na watawala nyuzi nyingi sana zinafutwa.

Mexence Melo hii tabia yenu ya kufuta nyuzi inanikera mnoo ....
 
Deception popote alipo apewe maua yake ndiye pekee aliyenifanya nijiunge na Jamii forum mwaka 2015...
 
Ilichobakisha JF ni wanaojiuza kuweka bei elekezi na picha tuzame nao inbox.

Hii site hamna kitu siku hizi cha msingi zaidi ya vyura vyura kuleta stori za kipimbi
 
Acheni unafiki.Kwa nini watanzania hamuishi malalamiko?

Mnalipa sh. ngapi ili watu wawaandikie vitu vizuri mnavyopenda?
Ninyi kwa nini msiwe wa kwanza kuubadili upepo ili jf iwe bora?
 
Sijui nini kimeikumba JF, ilikuwa interesting sasa hivi watu wengi ni toxic wanaleta utoxic wao huku Moderator mada za walio na experience mbaya na wanawake zinazochangiwa na wanaume tupu mzipige pini , this is JamiiForums for heaven sake jamii ni wanaume na wanawake. Mnafukuza wanawake kwa kuwaruhusu hao majinga majinga yenye ego kusambaza sumu zao humu na kuiua slowly forum.
 
Wakuu, Kuna kitu sio cha kawaida ninapitia, Siku hizi JF haikidhi mahitaji yangu ya habari, burudani na maarifa. Miaka michache nyuma JF ilikuwa kila kitu. Mijadala ya kuvutia, kisima cha maarifa mapya, simulizi za kusisimia. Awali nilikuwa naweza kumaliza siku nzima JF pekee na nisitake site nyingine,siku hizi hata nusu saa nashindwa kumaliza. Kwanini nafeel hivi siku hizi? Siku, wiki, miezi inaweza kupita sijapata kitu cha kuelimisha au kuburudisha. Hii hali ni mimi tu napitia au na wengine?

Mfano Mimi nilikuja JF kuwafata great thinkers .. kilichotokea ni kuwa Mimi ni miongoni mwa tunaopost ujinga ... 😁🙏😁
 
Wakuu, Kuna kitu sio cha kawaida ninapitia, Siku hizi JF haikidhi mahitaji yangu ya habari, burudani na maarifa. Miaka michache nyuma JF ilikuwa kila kitu. Mijadala ya kuvutia, kisima cha maarifa mapya, simulizi za kusisimia. Awali nilikuwa naweza kumaliza siku nzima JF pekee na nisitake site nyingine,siku hizi hata nusu saa nashindwa kumaliza. Kwanini nafeel hivi siku hizi? Siku, wiki, miezi inaweza kupita sijapata kitu cha kuelimisha au kuburudisha. Hii hali ni mimi tu napitia au na wengine?
Gentleman,
yamkini fikra zako zilikua kinyume na misingi na malengo ya kuanzishwa kwa JF.

Ni kama vile kuoana mkiwa wembamba lakini baada ya miaka mi3 kwenye ndoa hivi sasa mnalingana vitambi na hakuna mjamzito,

ni muhim kua wastahimilivu wenye subra na kukubali kwamba mambo hubadilika 🐒
 
Back
Top Bottom