Jamii Forum inapoteza ushawishi kwangu.

Jamii Forum inapoteza ushawishi kwangu.

Humu mi naona ukileta nyuzi zako utapata negative comments sana. Nishaona watu wanaleta simulizi wanaishia kutukanwa mpaka mtu anaacha. Kuna jukwaa watu wanatafuta wapenzi anakutana na dhihaka anaamua kufuta uzi.

Option ya kufuta uzi wanaipata wapi?

Hiyo si ni kazi ya waheshimiwa ma Moderator kwa nyuzi zenye kukiuka kanuni kama zile za IEC?
 
Kuna mdau hapo juu katuma comment kama hii kimafumbo, lakini mbona hata simulizi nzuri nzuri kama za Kina Lara 1, The bold, Konda msafi mzee wa Khumbu hatuzipati? nazo zinafutwa? hata majukwaa ya Elimu ya Fedha ukienda maana za maana hazina wachangiaji.
HAKUNA MTU SMART AMBAE ALIKUA JF 15 YEARS AGO HADI LEO AKAWA ACTIVE MEMBER,wote wameacha jukwaa kwa vijana wa chitchat,JF Sasa ni more of a dating app...
 
Sasa mazoea mabaya, pengine bado wapo ila wameona wasiwe active. Binafsi nakuja tu sababu ya mazoea lakini kila nikija sikuti kitu cha maana cha kusoma.
 
Wakuu, Kuna kitu sio cha kawaida ninapitia, Siku hizi JF haikidhi mahitaji yangu ya habari, burudani na maarifa. Miaka michache nyuma JF ilikuwa kila kitu. Mijadala ya kuvutia, kisima cha maarifa mapya, simulizi za kusisimia. Awali nilikuwa naweza kumaliza siku nzima JF pekee na nisitake site nyingine,siku hizi hata nusu saa nashindwa kumaliza. Kwanini nafeel hivi siku hizi? Siku, wiki, miezi inaweza kupita sijapata kitu cha kuelimisha au kuburudisha. Hii hali ni mimi tu napitia au na wengine?
Lazima ujisikie hivyo sababu Kila baada ya dakika mbili ni nyuzi za erythrocyte na lord denning wakimsifoa lissu.
 
Kuna mdau hapo juu katuma comment kama hii kimafumbo, lakini mbona hata simulizi nzuri nzuri kama za Kina Lara 1, The bold, Konda msafi mzee wa Khumbu hatuzipati? nazo zinafutwa? hata majukwaa ya Elimu ya Fedha ukienda maana za maana hazina wachangiaji.
Kisaikolojia kitu kinapo poteza mvuto kinasababisha na mambo mengine kufifia mfano shule ikiwa na mwalimu mmoja tu mpuuzi wa somo moja inaweza kusababisha wanafunzi kuchukia shule na kupoteza moyo wa masomo yote kutokana na huyo mwalimu mmoja tu
 
Wakuu, Kuna kitu sio cha kawaida ninapitia, Siku hizi JF haikidhi mahitaji yangu ya habari, burudani na maarifa. Miaka michache nyuma JF ilikuwa kila kitu. Mijadala ya kuvutia, kisima cha maarifa mapya, simulizi za kusisimia. Awali nilikuwa naweza kumaliza siku nzima JF pekee na nisitake site nyingine,siku hizi hata nusu saa nashindwa kumaliza. Kwanini nafeel hivi siku hizi? Siku, wiki, miezi inaweza kupita sijapata kitu cha kuelimisha au kuburudisha. Hii hali ni mimi tu napitia au na wengine?
Uliikuta na utaiacha Ndio kanuni ya Maisha hio
 
Jukwaa limetawaliwa shallow thinkers kina Lucas Mwashambwa na John the Baptist
 
Hiyo sahii mkuu,hakuna tena la maana,me nilijitoa mwaka Jana sikuwaza Kama nitarudi tena,.Ila shemeji yenu(tumeoana ofcoz) ambae ni memba,kanishawishi Sana nirudi JF,Jana ndio nikafungua account mpya..and trust me tangu nimeingia najaribu kuperuzi kila jukwaa naona ushubwada tu..wtf
[emoji3][emoji3] pole mkuu. Nmekua napitia madini ya zamani ya JF watu walikua wanatoa nondo kweli kweli..ila ukichek hizo ID last seen unakuta mwaka 2013 kushuka chini..wengine 2015 kushuka chini, hawapo kabisa ...saivi unafungua unakuta mambo ya ajabu ajabu
 
Back
Top Bottom