Jamii Forum inapoteza ushawishi kwangu.

Jamii Forum inapoteza ushawishi kwangu.

Hii ndio pointi ya msingi wanafuta nakuficha what do you expect?DKit
Kitendo cha kufuta mada kwa kuwalinda abdul na mama yake kimefanya JF kupoteza TRUST na kuwa siyo salama sana ...maana hao wanao futa nyuzi za namna hiyo maana yake wanatumiwa na hao wanao walinda siri zao chafu zisitirike...mfano ukiposti uxi kuonyesha NO ya account za nje ya nchi yenye mabilioni ya abdul na mama yake huo uzi utschukua dakika 5 tu kufutwa...hii ina maana JF KUNA VIRUS WA MAFISADI HIVYO SIYO SALAMA KWA WATUMIAJI .
 
Wakuu, Kuna kitu sio cha kawaida ninapitia, Siku hizi JF haikidhi mahitaji yangu ya habari, burudani na maarifa. Miaka michache nyuma JF ilikuwa kila kitu. Mijadala ya kuvutia, kisima cha maarifa mapya, simulizi za kusisimia. Awali nilikuwa naweza kumaliza siku nzima JF pekee na nisitake site nyingine,siku hizi hata nusu saa nashindwa kumaliza. Kwanini nafeel hivi siku hizi? Siku, wiki, miezi inaweza kupita sijapata kitu cha kuelimisha au kuburudisha. Hii hali ni mimi tu napitia au na wengine?
Wape maoni na ushauri wako
 
Mada za kukashifu Imani za dini ndio zimejaa JF siku hizi, na ndio zenye wachangiaji wengi. Mada nyingi zinabadika mwelekeo na mwisho wake unakua nmjadala wa kukashifu dini za watu.
 
Wakuu, Kuna kitu sio cha kawaida ninapitia, Siku hizi JF haikidhi mahitaji yangu ya habari, burudani na maarifa. Miaka michache nyuma JF ilikuwa kila kitu. Mijadala ya kuvutia, kisima cha maarifa mapya, simulizi za kusisimia. Awali nilikuwa naweza kumaliza siku nzima JF pekee na nisitake site nyingine,siku hizi hata nusu saa nashindwa kumaliza. Kwanini nafeel hivi siku hizi? Siku, wiki, miezi inaweza kupita sijapata kitu cha kuelimisha au kuburudisha. Hii hali ni mimi tu napitia au na wengine?
Kwani Ile kesi ya viongozi wa jamii forum kufikishwa mahakani miaka ile iliishia wapi?
 
Wakuu, Kuna kitu sio cha kawaida ninapitia, Siku hizi JF haikidhi mahitaji yangu ya habari, burudani na maarifa. Miaka michache nyuma JF ilikuwa kila kitu. Mijadala ya kuvutia, kisima cha maarifa mapya, simulizi za kusisimia. Awali nilikuwa naweza kumaliza siku nzima JF pekee na nisitake site nyingine,siku hizi hata nusu saa nashindwa kumaliza. Kwanini nafeel hivi siku hizi? Siku, wiki, miezi inaweza kupita sijapata kitu cha kuelimisha au kuburudisha. Hii hali ni mimi tu napitia au na wengine?
Hauko peke yako, na Mimi napitia Hali hiyo, na zaidi kulikuwa na update ya application, hii interface ya sasa inanifanya nishindwe kupata mrejesho wa nilichochangia mwanzo, naona inaniwia vigumu kuliko kabla sija update. Inawezekana ni udhaifu wangu binafsi.
 
Hata mimi... haina udambwi udambwi... imekuwa kama media nyingine tu. Imesahau utofauti wake na media nyingine
 
Sio imekuwa kama media nyingine, sa hivi kuna sites ukienda unapata hamu ya kukaa kuliko Jf.
 
Back
Top Bottom