lost files
JF-Expert Member
- Apr 17, 2025
- 856
- 2,583
You're not smart
Inakuuma ukishafokolewa hasira una mali Zia kwangu? Tumbili wa mjini utateseka sana..!!Una hasira sana. Kila ukiona comment yangu unajisikia kulegea. Endelea kujifanya mwanamke. WATU WAMEKUSHTUKIA HAWAKUTAKI. MIMI ENDELEA KUNIFUATA FUATA ILA SITAKI MABWABWA hata ungejiita miss bantu. Wewe ni mwanaume usijione kama mwanamke.endelea kujisikia kichefu chefu.nataka kila ukiniona sehemu uvurugukiwe
Nimeweka mawazo yangu hapa, ili kuona mawazo na michango ya wengine. Kuna options nyingi za kufuata,hilo la kuachana na JF ni moja wapo,kwa sasa naendelea na options nyingine.Sasa unalalamika nini?
Ndio option pekee uliyoona mkuu? umewaza upeo wako umekoma hapo?Sepa zako
KAZI ni kipimo cha utu
Wewe mbona unalalamikia mabwana zako pm huulizwi? Vipi sasa ushajiandaa kuvunjwa komeo? 😹Sasa unalalamika nini?
Sana tena saaana! Their not human sometimeMimi hata hawa mods sina imani nao kabisa, wanaweza kuwa sehemu ya tatizo kama sio chanzo.
bro umeongea point nzuri sana, nakumbuka kipindi cha nyuma Jf ilikuwa kiini cha mijadala mikali sana, viongozi wa serikali walikuwa wanaona kama Jf ni ya upinzani , inawezekana hiki tunachoona ni mkakati wa mfumo kuharibu maudhui au labda kuna mtu kashake hands na system.JamiiForums imeharibiwa na ukaribu wake na serikali pamoja Usala wa Taifa kujaza topic za hovy hovyo makusudi na zisizo na mashiko ili kuharibu ladha ya mijadala na umuhimu wa JF. Lazima JF iondoe topic za hovyo!
Ok. Hizo nyingine fanyia kazi usiwe unalalamika lalamika.sawa?Nimeweka mawazo yangu hapa, ili kuona mawazo na michango ya wengine. Kuna options nyingi za kufuata,hilo la kuachana na JF ni moja wapo,kwa sasa naendelea na options nyingine.
Hiyo sahii mkuu,hakuna tena la maana,me nilijitoa mwaka Jana sikuwaza Kama nitarudi tena,.Ila shemeji yenu(tumeoana ofcoz) ambae ni memba,kanishawishi Sana nirudi JF,Jana ndio nikafungua account mpya..and trust me tangu nimeingia najaribu kuperuzi kila jukwaa naona ushubwada tu..wtf
Kwenye mambo ya kuuza bidhaa au kutoa huduma, kulalamika ni haki ya msingi ya mteja au mpewa huduma.Ok. Hizo nyingine fanyia kazi usiwe unalalamika lalamika.sawa?
Kama huduma huipendi unaachana nayo. Hamna haja ya kulalamika.sisi wanaume tunatoa maoni au tunachukua hatua.Kwenye mambo ya kuuza bidhaa au kutoa huduma, kulalamika ni haki ya msingi ya mteja au mpewa huduma.
Ishi unavyopenda. Achana na wengine. Ungekuwa mwanaume post zako tu zingeonesha hamna haja ya kusema.Kama huduma huipendi unaachana nayo. Hamna haja ya kulalamika.sisi wanaume tunatoa maoni au tunachukua hatua.
Sasa kama unataka usipewe mawazo mbadala kwa nini unakuja lalamika humu kama demu?Ishi unavyopenda. Achana na wengine. Ungekuwa mwanaume post zako tu zingeonesha hamna haja ya kusema.
Hii ndio pointi ya msingi wanafuta nakuficha what do you expect?Wanafuta nyuzi....kumfurahisha bwana Abdul na Mama yake sasa unategemea nini ? .... hivyo kuwafanya watu makini kupunguza madini na kutokutoa mada za maana tena.