- Thread starter
- #41
Same to you.Uliikuta na utaiacha Ndio kanuni ya Maisha hio
Same to you.Uliikuta na utaiacha Ndio kanuni ya Maisha hio
Kwasasa una majukumu makubwa,kiasi kwamba umekuwa very bize na mambo mengine.Ndio, siku hizi nagawa muda wangu kwenye sites mbalimbali. Na kwenye mgawanyo huo JF natumia muda mchache mzaidi.
Kuna ushauri mzuri ulitolewa kwamba kue na majukwaa exclusive kuingia au kushiriki mjadala watu wawe wanalipa Ada,hili wazo kwa namna Fulani lingesaidia kuokoa JF ya intellectuals,.sio kwamba mzaha haujawahi kuwepo Jf,upo tangu siku ya Kwanza but kila inavyozidi kukua watu wengi wanazidi na ujinga unazidi[emoji3][emoji3] pole mkuu. Nmekua napitia madini ya zamani ya JF watu walikua wanatoa nondo kweli kweli..ila ukichek hizo ID last seen unakuta mwaka 2013 kushuka chini..wengine 2015 kushuka chini, hawapo kabisa ...saivi unafungua unakuta mambo ya ajabu ajabu
Yaani watu wengine unakuta unaleta mada yako anaanza kusema chai au unaongea ujinga wakati yeye hivyo vya maana huwa haandiki kabisaSimple tu, log out usitusumbue,manake nyie ndio mnaongoza kusema nyuzi za wenzenu kuwa ni chai,halafu eti unaanza kulialia. Si ulog out tu
Cc Nomadix
Binti Sayuni03
Sawa tumekusikiaWakuu, Kuna kitu sio cha kawaida ninapitia, Siku hizi JF haikidhi mahitaji yangu ya habari, burudani na maarifa. Miaka michache nyuma JF ilikuwa kila kitu. Mijadala ya kuvutia, kisima cha maarifa mapya, simulizi za kusisimia. Awali nilikuwa naweza kumaliza siku nzima JF pekee na nisitake site nyingine,siku hizi hata nusu saa nashindwa kumaliza. Kwanini nafeel hivi siku hizi? Siku, wiki, miezi inaweza kupita sijapata kitu cha kuelimisha au kuburudisha. Hii hali ni mimi tu napitia au na wengine?
Usiwe unaingia kabisaWakuu, Kuna kitu sio cha kawaida ninapitia, Siku hizi JF haikidhi mahitaji yangu ya habari, burudani na maarifa. Miaka michache nyuma JF ilikuwa kila kitu. Mijadala ya kuvutia, kisima cha maarifa mapya, simulizi za kusisimia. Awali nilikuwa naweza kumaliza siku nzima JF pekee na nisitake site nyingine,siku hizi hata nusu saa nashindwa kumaliza. Kwanini nafeel hivi siku hizi? Siku, wiki, miezi inaweza kupita sijapata kitu cha kuelimisha au kuburudisha. Hii hali ni mimi tu napitia au na wengine?
Kumbuka JF hai generate contents, hivyo wanaofanya hivyo ni Sisi wanachama! Wanachama wa miaka kumi iliyopita Siyo hawa waliopo Sasa, hata fikra zinatofautiana pakubwa.Wakuu, Kuna kitu sio cha kawaida ninapitia, Siku hizi JF haikidhi mahitaji yangu ya habari, burudani na maarifa. Miaka michache nyuma JF ilikuwa kila kitu. Mijadala ya kuvutia, kisima cha maarifa mapya, simulizi za kusisimia. Awali nilikuwa naweza kumaliza siku nzima JF pekee na nisitake site nyingine,siku hizi hata nusu saa nashindwa kumaliza. Kwanini nafeel hivi siku hizi? Siku, wiki, miezi inaweza kupita sijapata kitu cha kuelimisha au kuburudisha. Hii hali ni mimi tu napitia au na wengine?
Umesema ukweli mchungu.... tegemea kupokea kejeli hasa kwa wale ambao ndiyo wanaongoza kuandika mambo ya hovyo humu jukwaani.Wakuu, Kuna kitu sio cha kawaida ninapitia, Siku hizi JF haikidhi mahitaji yangu ya habari, burudani na maarifa. Miaka michache nyuma JF ilikuwa kila kitu. Mijadala ya kuvutia, kisima cha maarifa mapya, simulizi za kusisimia. Awali nilikuwa naweza kumaliza siku nzima JF pekee na nisitake site nyingine,siku hizi hata nusu saa nashindwa kumaliza. Kwanini nafeel hivi siku hizi? Siku, wiki, miezi inaweza kupita sijapata kitu cha kuelimisha au kuburudisha. Hii hali ni mimi tu napitia au na wengine?
Wakuu, Kuna kitu sio cha kawaida ninapitia, Siku hizi JF haikidhi mahitaji yangu ya habari, burudani na maarifa. Miaka michache nyuma JF ilikuwa kila kitu. Mijadala ya kuvutia, kisima cha maarifa mapya, simulizi za kusisimia. Awali nilikuwa naweza kumaliza siku nzima JF pekee na nisitake site nyingine,siku hizi hata nusu saa nashindwa kumaliza. Kwanini nafeel hivi siku hizi? Siku, wiki, miezi inaweza kupita sijapata kitu cha kuelimisha au kuburudisha. Hii hali ni mimi tu napitia au na wengine?
Imeingiliwa na wahuni wao kazi yao ni kuvuruga mijadala siyo kujenga na kujadili hoja productively, nadhani wahusika wana kazi ya kufanyaWakuu, Kuna kitu sio cha kawaida ninapitia, Siku hizi JF haikidhi mahitaji yangu ya habari, burudani na maarifa. Miaka michache nyuma JF ilikuwa kila kitu. Mijadala ya kuvutia, kisima cha maarifa mapya, simulizi za kusisimia. Awali nilikuwa naweza kumaliza siku nzima JF pekee na nisitake site nyingine,siku hizi hata nusu saa nashindwa kumaliza. Kwanini nafeel hivi siku hizi? Siku, wiki, miezi inaweza kupita sijapata kitu cha kuelimisha au kuburudisha. Hii hali ni mimi tu napitia au na wengine?
Kwasasa hapa ni simulizi za ngono zimetawala nadhani wasimamizi wanafurahia zaidi mimi huwa nachangia ili kuwaelimisha lakini hazina tija kwa jamiiWakuu, Kuna kitu sio cha kawaida ninapitia, Siku hizi JF haikidhi mahitaji yangu ya habari, burudani na maarifa. Miaka michache nyuma JF ilikuwa kila kitu. Mijadala ya kuvutia, kisima cha maarifa mapya, simulizi za kusisimia. Awali nilikuwa naweza kumaliza siku nzima JF pekee na nisitake site nyingine,siku hizi hata nusu saa nashindwa kumaliza. Kwanini nafeel hivi siku hizi? Siku, wiki, miezi inaweza kupita sijapata kitu cha kuelimisha au kuburudisha. Hii hali ni mimi tu napitia au na wengine?