View attachment 1940085
Salaam Wakuu,

Leo nimepita maeneo ya Mahakama ya Kisutu, Nikakuta Mkurugenzi wa kampuni ya VIP na mmiliki mwenza wa zamani wa IPTL, James Rugemalira anatabasamu akiwa na ndugu zake wakipeana hugs na kuchumiana. Inaashilia kuna dalili nzuri leo Mzee wa Henken akaliona jua. Langu Dua.

_MG_0435.JPG

James Rugemalila(Kulia) na mmiliki wa Kampuni ya IPTL, Harbinder Seth Sigh(Kushoto), wakiwa chini ya ulinzi wa Polisi kabla ya kupanda kizimbani Mahakamani Kisutu Jijini Dar.

Tarehe 19 Jun, 2017 TAKUKURU wawafikisha mahakamani Seth Na Rugemalila kwa uhujumi uchumi. walifikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Kisutu wakishtakiwa kwa makosa sita ya uhujumu uchumi, likiwamo la kuisababisha Serikali hasara ya jumla ya takriban Sh358 bilioni.

Wakili wa Serikali, Paul Kadushi aliyataja mashtaka mengine yanayowakabili wawili hao kuwa ni kula njama, kujihusisha na mtandao wa uhalifu, kughushi, kutoa nyaraka za kughushi, kujipatia fedha kwa njia za udanganyifu na kuisababishia hasara Serikali.

Zaidi Soma:

1). TAKUKURU yawafikisha mahakamani Harbinder Sethi na James Rugemalira kwa kosa la Uhujumu uchumi

UPDATE:

Rugemalila yupo huru!

Mashtaka yake yameondolewa chini ya kifungu cha 91(1) cha Mwanendo wa Makosa ya Jinai

View attachment 1940204

View attachment 1940227
Mwamba karudi kitaa,JPM alimbinya akitegemea atasalimu amri au afie gerezani,hakuwajua wahaya jinsi walivyo,na dharau na misimamo hatari.
Karibu kitaa mwamba,sasa hatujuhi wewe ni fisadi au ??ulikuwa na hatia au?
 
View attachment 1940085
Salaam Wakuu,

Leo nimepita maeneo ya Mahakama ya Kisutu, Nikakuta Mkurugenzi wa kampuni ya VIP na mmiliki mwenza wa zamani wa IPTL, James Rugemalira anatabasamu akiwa na ndugu zake wakipeana hugs na kuchumiana. Inaashilia kuna dalili nzuri leo Mzee wa Henken akaliona jua. Langu Dua.

_MG_0435.JPG

James Rugemalila(Kulia) na mmiliki wa Kampuni ya IPTL, Harbinder Seth Sigh(Kushoto), wakiwa chini ya ulinzi wa Polisi kabla ya kupanda kizimbani Mahakamani Kisutu Jijini Dar.

Tarehe 19 Jun, 2017 TAKUKURU wawafikisha mahakamani Seth Na Rugemalila kwa uhujumi uchumi. walifikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Kisutu wakishtakiwa kwa makosa sita ya uhujumu uchumi, likiwamo la kuisababisha Serikali hasara ya jumla ya takriban Sh358 bilioni.

Wakili wa Serikali, Paul Kadushi aliyataja mashtaka mengine yanayowakabili wawili hao kuwa ni kula njama, kujihusisha na mtandao wa uhalifu, kughushi, kutoa nyaraka za kughushi, kujipatia fedha kwa njia za udanganyifu na kuisababishia hasara Serikali.

Zaidi Soma:

1). TAKUKURU yawafikisha mahakamani Harbinder Sethi na James Rugemalira kwa kosa la Uhujumu uchumi

UPDATE:

Rugemalila yupo huru!

Mashtaka yake yameondolewa chini ya kifungu cha 91(1) cha Mwanendo wa Makosa ya Jinai

View attachment 1940204

View attachment 1940227
What a lovely day?

Nimefurahi sana
 
Acha wapige.

Mtu yeyote mwenye nafasi kama hatapiga hela atakuwa ni mpumbavu wa hali ya juu sana.

Namshangaa sana Mbowe ana kila kitu sasa anapata tabu yote kisa kumpigania mtz? Mtz yupi?

Ukirejea hoja za wanachadema enzi za Jk juu ya Rugamalila na sasa aisee..

Narudi! Mtu mwenye nafasi hapa nchini kama hatapiga hela atakuwa mpumbavu sana.
Alikamatwa 2017, Miaka 4 ya utawala wa jiwe wameshindwa kuthibitisha, walikuwa wanataka wapewe miaka mingapi?
 
Swali aliulizwa Rais kikwete pesa za escrow ni za umma au sio za umma akajibu sio za umma sasa unaumia nini pesa sio za umma
Inawezekana, Ila Kama hazikuwa za umma ilikuwaje tibaijuka akawajibishwa? Maana alifukuzwa uwaziri
 
Ile ni biashara kama zingine haina tofauti na mchimba madini ya vito akafanikiwa kupata mawe ya matrilioni akaamua 'kula' na watu wake wa karibu pia kusaidia jamii kwa kujenga madarasa, hospitali, kufadhili Simba, Yanga n.k.
Unajua shida ni kuwa sisi ndio tulitaka waliohusika wawajibishwe.
Na kufanya hivyo kikwete alimfuta uwaziri mama tibaijuka.
Anyway, nilichoona wengi hatupo serious. Hii itapelekea nchi kuendelea kuibiwa maana wanajua hakutakuwa na kesi Wala kufungwa
 
Back
Top Bottom