Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,229
Je kama wewe ndio mpotoshaji?Mmiliki akiwa sio Manji utasemaje?
Halafu ili uaminike si uweke Story hapa?
Halafu ili uaminike si uweke Story hapa?
wa iraqWatanzania wa wapi hao
Habarii Wakuu,
Baada ya gazeti hili kuripoti habari ya watanzania kukosa imani na raisi,jioni hii nimeingia mtaani kusaka gazet husika na baada ya kusoma habari nzima,nikajijuta naishiwa pozi na nikaona hawa jamaa wako kibiashara zaidi hasa kwa jinsi walivyoleta habari hii.
Kwa kifupi,ripoti ya utafiti huu imezinduliwa juzi na waziri Makamba na inahusu Taasisi za uraisi kwa nchi za Afrika Mashariki na umefanywa na Tasisi ya Afrobarometer na utafiti wenyewe ni wa mwaka 2015 tena pasipo hata kutaja utafiti wenyewe umefanywa katika kipindi cha miezi gani hivyo tusihangaike na nayo sana licha ya kutuwekea picha ya Magufuli katika habari husika.
Ni bora tujadili tu mambo mengine na tuachane na hii habari.
Mkuu naona ulidadavua kweli kweli hii habari na kusema ulitabiri haya. Je, ulikuwa umeisoma habari yenyewe gazetini?Je kama wewe ndio mpotoshaji?Mmiliki akiwa sio Manji utasemaje?
Halafu ili uaminike si uweke Story hapa?
diwani wa ccmGazeti la Manji
Haswaadiwani wa ccm
hahaha. ..nani kakudanganya Jpm ni Nuru?? haehaessll unaotaWewe umejibatiza kabisa, umeweka wazi kama shetani anavyojitangaza waziwazi kupambana na Mungu. Anti JPM!!!!! ijapokuwa giza halitashinda nuru kamwe
Mkuu kuna neno la kiswahili ambalo halina irabu mwishoni mwa neno?Ninyi ndiyo hamjui Kiwasihili. Neno sahihi kwa kadiri ya Kiswahili sanifu kumaanisha kiongozi mkuu wa nchi yetu ni RAIS na siyo Raisi. Mwandishi yupo sahihi.
Ben Saanane saizi yake mke wa Kileo, Joyce ndio anaejibazana nae, huku jukwaa la siasa atupishe tu..Narudia "Misingi ya Urais sio kusakata Rhumba na Push-Ups Jukwaani". Kama anabisha basi Mnara ujengwe alipozindulia kampeni za Push-Ups.
Aluta Continua,Victory Ascerta....
Ben Saaanane
...Waliokuwa wakiimba wataisoma namba, saizi sijui wao wanasoma nini?
Nani unamwambia sasawewe ndo tumekuchoka, toa uhafu wako huo.
Unaelew maana ya utukufu?!Hili gazeti lina chezea sharubu za mtukufu.....ccm wanaimani naye mbona...
Ivi hii kauli mbn km ckumbuki ilitolew na mjumbe au balozi?! Au mtendaji?! Not so sure man naogop kuendelea kupand ngazi cna imani km juu ya hzi ngazi ypo anayewez kutamka hli neno.msaada tafadhal mm cjaelew ni mtanzania halisi lkn msinihukumu... Uuuh shkmoo kauli ukakasi[emoji21]mliishi kama malaika sasa mtaishi kama mashetani
Nipo huku kijijini msibani wanakijiji waliokua washabiki wa ccm kindakindaki hawana hamu na hii serikali hadi raha, wanadai no money circulation biashara zao wengi wamekata mitaji na wengine wametoa watoto wao kwenye shule binafsi kwa kuwa hawana pesa tena za kulipia ada, wananchi wengine wanalalamika ndugu zao waliokua wanawapa misaada mbalimbali baadhi yao wameacha kuwasaidia toka mjini na wengine wamepunguza misaada kwa %90 hawa waliopunguziwa misaada wengi ni wazazi wa watoa misaada na wengi hawataki kusikia hata neno magufuli, kuna jina wamempachika siwezi andika hapa make sina milioni kumi za kuchezea.
ni kweli wanakijiji wamechoka na wengi wanadai ikipigwa kura wapo radhi kumpigia hata mbwa kuliko kumchagua tena huyu tena, niliwauliza baadhi yao kwa nini walimchagua wakadai walitishwa kuwa wakimchagua mpinzani kutatokea vita na lowasa ni mwizi atawauza hadi wao na watahamishwa kusikojulikana.
Nikawauliza akitokea huyu mwizi mtamchagua? wakadai kwa hali ilivyo sasa wako Tayari kuchagua kitu chochote ili mradi huyu atoke madarakani, wewe mwanangu angalia nilivyo konda na sasa hivi ndio ana miezi nane, akimaliza miaka mitano je? Si nitakufa? Nimemnukuu mama moja wa makamo.
CCM wasipofanya marekebisho ya kiutawala natabiri hii ndiyo serikali itakayochokwa kwa mda mfupi kuliko serikali ya kikwete.
Naekewa sana ni asiye na makosa....Unaelew maana ya utukufu?!