ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,048
- 6,199
Mmh hata wale walioimba wana imani na ENL na wanaotegemea kupoteza kazi baada ya kuwa M/kiti?Hili gazeti lina chezea sharubu za mtukufu.....ccm wanaimani naye mbona...
Mmh hata wale walioimba wana imani na ENL na wanaotegemea kupoteza kazi baada ya kuwa M/kiti?Hili gazeti lina chezea sharubu za mtukufu.....ccm wanaimani naye mbona...
pole mkuu miaka 5 ni mingi atakuwa amisha tuathiri sanaMimi Imani ili kwisha muda tu,nasubir 2020 nimfukuze kazi kupitia sanduku la kura.
lizaborn na mudawoteHuo ndio uhalisia wenyewe
Wanaomwamini rais ni wachache mno
hata ufanye mazuri mangapi kama watu wana njaa na unawanyima uhuru ni sawa na bureRais anafanya mazuri kwa asilimia kubwa na anatakiwa kurekebisha machache hasa katika mambo yahusuyo sheria na utawala bora. Matamko na amri zinazoweza kutafsiriwa kukinzana na katiba na sheria ni tatizo.
Hata hivyo, ni muhimu kujua kwamba maneno husababisha kelele na mapambano zaidi ya vitendo vyenyewe vya uvunjifu wa katiba na sheria kama vingefanyika kimya kimya.
Haya ni ya busara zaidi.
Ukiona mawe yameanza kusema basi ujue mwisho wa nchi uukaribu .![]()
hili gazeti siku zake zinaweza kuwa zinahesabika
Huelewek aiseeeeeIli ujue mambo ,/facts yalivyo kwenye Siasa za Tz kukupitia media,ni lazima pia uwajue Wamiliki wa vyombohivo! Unakumbuka Jambo Leo Miezi 9 nyuma walikuwa wanaandikaje, Fuatilia pia uandishi wa Nipashe ulivobadilika miezi kama minne iliyopita! Hiyo ndiyo Siasa ,who get what,when and how! Siwapigii debe ,magazeti objective kwakiwango cha kuridhisha ni Mwananchi na Majira !na kiasi fulani Raia Mwema ! Vinginevyo fuata mrengo ima wa tanzania Daima+Mtanzania+wenzao ...au Uhuru/habari Leo+ Raia Tanzania ....!
Usijitoe fahamu, picha jee?Hata mimi sina imani na hili gazeti,pia sijui wanamaanisha rais yupi maana kuna rais wa manzese,rais wa wasafi,rais wa wacheza bao..ufafanuzi muhimu
nashukuru kwa marekebisho maana mi nilikuwa najua inaandikwa raisi, swali lipo palepale kwa nini wameandika 'rais' na sio rais wanamaanisha nini.Raisi ndiyo kitu gani?
Rais - president
Rahisi - cheap
Wameanza mbali sasa naona wanaendelea, wanafikiri ni rahisi kumfitinisha raisi na wananchi. Hawa ni wizi wao, na chuki zao wanastahili mkono wa chuma. Hatuwezi kucheka na manyani yaliyokula nchi yetu kitambo na sasa yanatengeneza chuki kwenye jamii, huu ni uhaini completely.Neno watanzania kwny hicho kipeperushi wasio kuwa na imani na Magu wanamaanisha Wakwepa kodi,wezi, mafisadi, wazembe na Waabudu Mikutano na Maandamano ya kisiasa
kwa nini sasa wameandika 'rais' na sio rais wanamaanishia nini, ahsante kwa marekebisho.Ninyi ndiyo hamjui Kiwasihili. Neno sahihi kwa kadiri ya Kiswahili sanifu kumaanisha kiongozi mkuu wa nchi yetu ni RAIS na siyo Raisi. Mwandishi yupo sahihi.