JamboLeo: Watanzania wakosa imani na 'Rais'

Ben Saaanane:

Haya naandika Ukweli tena kwa dhati kabisa.

Inawezekana Uhakiki wa Vyeti Uanzie Ikulu ?

Ni Hivi,Kuelekea Maadhimisho ya Mwaka 1 baada ya Uzinduzi wa "Urais wa Push-Ups na Kusakata Rhumba Majukwaaani"

Imeshakua Balaa mtaani.Watu wameshaamua kama Mbwai Iwe Mbwai tu. Yaani Gazeti la Jambo Leo limeamua Kubamiza Headline "Watanzania Wakosa Imani na "Rais". Push-Ups si lolote ,Si Chochote .Vitisho tu.

Yaani wameamua kuweka Utafiti wao Hadharani. Subiri usikie kuwa Sheria mpya ya Takwimu kifungu namba 19 kimekiukwa na gazeti hilo kwa hiyo tunachukua hatua zifuatazo........!

All in Watanzania wameshtuka.Miezi 9 tu yupo nyang'anyang'a

Maana niliwahi kuandika "Misingi ya Urais sio kusakata Rhumba na Pushups majukwaani"-Wasomi Uchwara wakanibishia

Kisha miezi 5 baadae Mhusika Mwenyewe akasema "Kazi hii ni nzito sana ,wakati mwingine najuta kwanini hata niliutaka Urais".Alisema kwa kinywa Chake Mwenyewe.Simjaribu.

Lissu alisema tutamshinda mahakamani na tutamshinda nje ya mahakama.Juzi tumemshinda Mahakamani .Sasa huku nje tuendelee

Kwanza Kuzuia Mikutano ya hadhara namuunga mkono maaana ndio Silaha yake ya Mwisho na Kutisha watu kwa Vyombo vya Dola.Kwani mnadhani angefanyaje kama alijinadi kwenye kampeni kwa Kusakata Rhumba Jukwaani na Push-Ups?

Hivi mnataka katika Mikutano ya Hadhara mkawaeleze wananchi kuhusu ahadi zake wakati ilikua zilongwa mbali,Zitendwa Mbali. ? Haiwezekani kumuweka majaribuni kiasi hicho

Aliahidi kwa kasi sana.Kasi ya Magufuli

1:Nitamaliza Mgogoro wa Zanzibar akiwa anahutubia Bunge lakini baada ya Mwezi Mmoja akapinga

"Mgogoro wa Zanzibar siwezi kuingilia.Kuna mamlaka na tume yake.Atakayeleta Fyokofyoko atakiona cha Mtema kuni".

2:Aliahidi kupambana na Rushwa lakini baadae majuzi hapo akapinga

"Nimempa Trafiki Elfu 5 kwa ajili ya ku-brush Viatu"

Rushwa ikabatizwa jina jema

3 Akiwa Mapumzikoni Geita Alipobanwa kuhusu Mshahara wake akaahidi "Nikirudi Dar nitatoa vielelezo vya malipo ya Mshahara wangu hadharani"

Leo miezi minne Kimya! Yaaani Kimyaaaah! Sasa mnataka mkawaeleze Wananchi?

4:Halafu alipoumbuka hadharani ilikua hivi

"Ni Tanzania Pekee Mwanafunzi anaweza kupata Division Four na kwenda Chuo Kikuu halafu mwanasiasa anamtetea.Hao Wanasiasa ni Vi-La-ZA kama wao"

Bintiye aliwahi kupata Div.IV na Yupo Chuo kikuu UDOM. Yaani hajakanusha,Chuo au Familia Kimyaaah! Aibu hii ndio unataka Upeleke kule?

5: Akiwa Kule Mtwara tarehe 3 Septemba mida ya Jioni Uwanja wa Mashujaa akasema "Nitashusha bei ya vifaa vya ujenzi.Lengo langu pia nyumba za Tembe ziondoke na watanzania waishi maisha bora "

Vifaa vya ujenzi hadi sasa ni ghali na mbaya zaidi kawaambia wananchi waliokumbwa na mafuriko kule Kahama kuwa "Serikali yangu haiwezi kuwajengea nyumba wakati ninyi mmekaa tu"

6:Aliaahidi kupambana na Ufisadi .Sakata la Lugumi Kimyaaah.

-Utekelezaji wa Maazimio ya ESCROW kimyaa.Ndio kwanza IPTL imeendelea kulipwa mabilioni

-Hatua kwa Wanunuzi wa kivuko kibovu kama ripoti ya CAG ilivyoonesha kimyaaah.Maana yeye alikua Waziri mwenye dhamana.Sasa si jipu litumbuliwe?

-Akamfukuza kazi Dr.Hoseah kuwa Mkurugenzi wa TAKUKURU. Lakini mimi nikasema tatizo sio Hoseah bali Sheria na TAKUKURU kutokuwa Independent .Sasa mkurugenzi mpya anaendana na kasi ya Magufuli? Ha ha ha! Wananchi wakaelezwe ?

8: Akasema "nitatoa elimu Bure" na Pia matatizo ya mikopo yatakua Historia.Leo hadi baadhi ya watumishi wanachangishwa madawati naMikopo ya Wanafunzi tatizo liko palepale

9: "Bei ya Sukari itakua bei nafuu na napiga marufuku Sukari kuagizwa kutoka nje"

Leo Bei ya Sukari Wananchi hawahitaji kukumbushwa. Lakini baadae alipiga "Serikali yangu itaagiza sukari kufidia pengo la uhitaji"

10:Nitasimamia Utawala bora wa Sheria .Kisha akaja na " Magari binafsi yanayoingia barabara ya Mwendokasi yang'olewe tairi kisha yapelekwe kituo cha polisi na pale mtapata biashara.Wakija kuuliza kesho yake waambieni yalikuja yenyewe"

11: "Mimi nitakua Rais wa Wanyonge"

Kisha Wanyonge wa kule Msimbazi na Jangwani wakabomolewa nyumba bila fidia na bila decent measures na wengine wakapata fadhaa na majanga mengine

Wanafunzi wa UDOM wakafukuzwa bila staha bila utu kwa makosa yaliyofanywa na serikali.Wakatelekezwa na kudhalilika .Wakalia,Wakaomboleza.Watoto zaidi ya 7,000 wana ndugu ,Jamaa na marafiki waliosononeka.Mnataka mkawakumbushe hasira?

12: "Nitalinda Umoja wa Kitaifa"

-Ghafla akasema "Napenda Vijana Serikalini maana wazee ni wala Rushwa"

Yaaani hii ilikua haina tofauti na Ramli Chonganishi na yale ya wale wanaoua Vikongwe

-Halafu akasema Marufuku mikutano ya siasa hadi 2020

Yaani vyama vya Siasa visipate haki yao kisheria na kikatiba.Akajikuta amezalisha Operesheni UKUTA

Taifa lipo Kwenye Tension

13: Tangu atangaze kuwashusha Wanadamu waishi kama Shetani hata viongozi Decent wa Dini wameacha kujihusisha nae .Labda katika Maombi tu

14: "Tumefika hapa kwa sababu ya Kulindana ,Hilo kwangu halipo na Watanzania mniombee.Kuna majipu nitayatumbua.Nimejitoa Mhanga"

Kisha ghafla akaja na kaulimbiu "Wazee Wangu Mkapa na Kikwete nitawalinda .Pumzikeni kwa Raha Mustarehe"

15: "Kuna mtu anaibia Serikali Milioni 7 kila Dakika ". Wah hebu chukua Milioni 7X60X24 (Siku moja) upate jibu. Halafu kwa sababu huyo mtu ameshakamatwa sasa tuseme tangu akamatwe zimeokolewa Sh. ngapi na zimeelekezwa wapi

16: "Tanzania ya Magufuli ni ya Viwanda"

Hadi sasa Vimejengwa viwanda Vitatu

i) Kiwanda Cha Kuhamia Dodoma

ii) Kiwanda cha UKUTA

iii) Tundu Lissu Democratic Machine Tools

iv) Mikia Productions

iv) Majipu Factory Construction in Progress

Ha Ha ha!

Narudia "Misingi ya Urais sio kusakata Rhumba na Push-Ups Jukwaani". Kama anabisha basi Mnara ujengwe alipozindulia kampeni za Push-Ups.

Aluta Continua,Victory Ascerta....

Ben Saaanane
Ni sawa na Imamu kapewa kazi ya kuendesha ibada Kanisa Kuu la Kikristo! Je! ataweza? Alisema wazi kwamba yeye sio Mwanasiasa, hivi kweli yazi ya urais inaweza kufanywa na mtu asiyekuwa mwanasiasa?
 
Daah tunahofia usalama wako [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ijapokuwa wauza duka wanaamini kwa kiasi kikubwa hasara iko dukani, kwetu sie huku kwenye vitongoji tunaamini pia hasara iko kwa baadhi ya watu, na watu wenyewe ndio sisi.
 
Wanaomwombea mabaya rais wetu washindwe na walegee .

Mashetani wakubwa
Yeye mwenyewe ndo anajiombea mabaya Kwa matendo yake nyie wafuasi wake mliologwa na akili zikahama ndo mshindwe kabisa.
katiba iko wazi yeye naenda kinyume, utazuiaje mikutano ya kisiasa Kama siyo uoga?
 
Usipokamatwa utakuwa ni mchawi
Wewe umejibatiza kabisa, umeweka wazi kama shetani anavyojitangaza waziwazi kupambana na Mungu. Anti JPM!!!!! ijapokuwa giza halitashinda nuru kamwe
 
Mmmh balaa !!!! Mi nataka apunguze tu bei ya vifaa vya ujenzi ingawa bado sina imani nae ! Maana kitu kama sukari tu kilo elfu 1800/- imeshindikana kushuka itawezekana siment ya elfu 15???!!
 
Ataambiwa uchochezi! Subiria! Kuna mtu hataki kusemwa wala kukosolewa! Wala kupingwa!!
 
Kama mambo yenyewe ni haya, kamwe hataruhusu chama chochote cha upinzani hasa CHADEMA, CUF, ACT na NCCR Mageuzi kufanya mkutano wa hadhara, kwa maana anajua kwamba haya yaliyoorodheshwa na Ben Saanane ndiyo yanayokwenda kusemwa. Ni afadhali aonekane dikt*t@ kuliko kuruhusu mikutano ya vyama vya siasa.
 
Rais wetu toa maagizo mara moja ile kesi ya koko beach,serikali ya dar es salaam imeshindwa kumaliza sababu kuna ndugu yao!
 
Onyo: Usisome Post hii ukiwa na Mpenzi wako umpendae kwa dhati ,Au ukiwa mbele ya mtu unayemuheshimu au Mbele ya Watoto.Ukikunja Sura unaweza kutafsirika vibaya.Nawapenda!

Haya naandika Ukweli tena kwa dhati kabisa.

Inawezekana Uhakiki wa Vyeti Uanzie Ikulu ?

Ni Hivi,Kuelekea Maadhimisho ya Mwaka 1 baada ya Uzinduzi wa "Urais wa Push-Ups na Kusakata Rhumba Majukwaaani"

Imeshakua Balaa mtaani.Watu wameshaamua kama Mbwai Iwe Mbwai tu. Yaani Gazeti la Jambo Leo limeamua Kubamiza Headline "Watanzania Wakosa Imani na "Rais". Push-Ups si lolote ,Si Chochote .Vitisho tu.

Yaani wameamua kuweka Utafiti wao Hadharani. Subiri usikie kuwa Sheria mpya ya Takwimu kifungu namba 19 kimekiukwa na gazeti hilo kwa hiyo tunachukua hatua zifuatazo........!

All in Watanzania wameshtuka.Miezi 9 tu yupo nyang'anyang'a

Maana niliwahi kuandika "Misingi ya Urais sio kusakata Rhumba na Pushups majukwaani"-Wasomi Uchwara wakanibishia

Kisha miezi 5 baadae Mhusika Mwenyewe akasema "Kazi hii ni nzito sana ,wakati mwingine najuta kwanini hata niliutaka Urais".Alisema kwa kinywa Chake Mwenyewe.Simjaribu.

Lissu alisema tutamshinda mahakamani na tutamshinda nje ya mahakama.Juzi tumemshinda Mahakamani .Sasa huku nje tuendelee

Kwanza Kuzuia Mikutano ya hadhara namuunga mkono maaana ndio Siaha yake ya Mwisho na Kutisha watu kwa Vyombo vya Dola.Kwani mnadhani angefanyaje kama alijinadi kwenye kampeni kwa Kusakata Rhumba Jukwaani na Push-Ups?

Hivi mnataka katika Mikutano ya Hadhara mkawaeleze wananchi kuhusu ahadi zake wakati ilikua zilongwa mbali,Zitendwa Mbali. ? Haiwezekani kumuweka majaribuni kiasi hicho

Aliahidi kwa kasi sana.Kasi ya Magufuli

1:Nitamaliza Mgogoro wa Zanzibar akiwa anahutubia Bunge lakini baada ya Mwezi Mmoja akapiga

"Mgogoro wa Zanzibar siwezi kuingilia.Kuna mamlaka na tume yake.Atakayeleta Fyokofyoko atakiona cha Mtema kuni".

2:Aliahidi kupambana na Rushwa lakini baadae majuzi hapo akapiga

"Nimempa Trafiki Elfu 5 kwa ajili ya ku-brush Viatu"

Rushwa ikabatizwa jina jema

3 Akiwa Mapumzikoni Geita Alipobanwa kuhusu Mshahara wake akaahidi "Nikirudi Dar nitatoa vielelezo vya malipo ya Mshahara wangu hadharani"

Leo miezi minne Kimya! Yaaani Kimyaaaah! Sasa mnataka mkawaeleze Wananchi?

4:Halafu alipoumbuka hadharani ilikua hivi

"Ni Tanzania Pekee Mwanafunzi anaweza kupata Division Four na kwenda Chuo Kikuu halafu mwanasiasa anamtetea.Hao Wanasiasa ni Vi-La-ZA kama wao"

Binti Jesca Magufuli aliwahi kupata Div.IV na Yupo Chuo kikuu UDOM. Yaani hajakanusha,Chuo au Familia Kimyaaah! Aibu hii ndio unataka Upeleke kule kwa wananchi?

5: Akiwa Kule Mtwara tarehe 3 Septemba mida ya Jioni Uwanja wa Mashujaa akasema "Nitashusha bei ya vifaa vya ujenzi.Lengo langu pia nyumba za Tembe ziondoke na watanzania waishi maisha bora "

Vifaa vya ujenzi hadi sasa ni ghali na mbaya zaidi kawaambia wananchi waliokumbwa na mafuriko kule Kahama kuwa "Serikali yangu haiwezi kuwajengea nyumba wakati ninyi mmekaa tu"

6:Aliaahidi kupambana na Ufisadi .Sakata la Lugumi Kimyaaah.

-Utekelezaji wa Maazimio ya ESCROW kimyaa.Ndio kwanza IPTL imeendelea kulipwa mabilioni

-Hatua kwa Wanunuzi wa kivuko kibovu kama ripoti ya CAG ilivyoonesha kimyaaah.Maana yeye alikua Waziri mwenye dhamana.Sasa si jipu litumbuliwe?

-Akamfukuza kazi Dr.Hoseah kuwa Mkurugenzi wa TAKUKURU. Lakini mimi nikasema tatizo sio Hoseah bali Sheria na TAKUKURU kutokuwa Independent .Sasa mkurugenzi mpya anaendana na kasi ya Magufuli? Ha ha ha! Wananchi wakaelezwe ?

8: Akasema "nitatoa elimu Bure" na Pia matatizo ya mikopo yatakua Historia.Leo hadi baadhi ya watumishi wanachangishwa madawati naMikopo ya Wanafunzi tatizo liko palepale

9: "Bei ya Sukari itakua bei nafuu na napiga marufuku Sukari kuagizwa kutoka nje"

Leo Bei ya Sukari Wananchi hawahitaji kukumbushwa. Lakini baadae alipiga "Serikali yangu itaagiza sukari kufidia pengo la uhitaji"

10:Nitasimamia Utawala bora wa Sheria .Kisha akaja na " Magari binafsi yanayoingia barabara ya Mwendokasi yang'olewe tairi kisha yapelekwe kituo cha polisi na pale mtapata biashara.Wakija kuuliza kesho yake waambieni yalikuja yenyewe"

11: "Mimi nitakua Rais wa Wanyonge"

Kisha Wanyonge wa kule Msimbazi na Jangwani wakabomolewa nyumba bila fidia na bila decent measures na wengine wakapata fadhaa na majanga mengine

Wanafunzi wa UDOM wakafukuzwa bila staha bila utu kwa makosa yaliyofanywa na serikali.Wakatelekezwa na kudhalilika .Wakalia,Wakaomboleza.Watoto zaidi ya 7,000 wana ndugu ,Jamaa na marafiki waliosononeka.Mnataka mkawakumbushe hasira?

12: "Nitalinda Umoja wa Kitaifa"

-Ghafla akasema "Napenda Vijana Serikalini maana wazee ni wala Rushwa"

Yaaani hii ilikua haina tofauti na Ramli Chonganishi na yale ya wale wanaoua Vikongwe.Hakuna Utafiti wa kisayansi kuthibitisha Ulaji au upenzi wa wazee kwa Rushwa

-Halafu akasema Marufuku mikutano ya siasa hadi 2020

Yaani vyama vya Siasa visipate haki yao kisheria na kikatiba.Akajikuta amezalisha Operesheni UKUTA

Taifa lipo Kwenye Tension

13: Tangu atangaze kuwashusha Wanadamu waishi kama Shetani hata viongozi Decent wa Dini wameacha kujihusisha nae .Labda katika Maombi tu

14: "Tumefika hapa kwa sababu ya Kulindana ,Hilo kwangu halipo na Watanzania mniombee.Kuna majipu nitayatumbua.Nimejitoa Mhanga"

Kisha ghafla akaja na kaulimbiu "Wazee Wangu Mkapa na Kikwete nitawalinda .Pumzikeni kwa Raha Mustarehe"

15: "Kuna mtu anaibia Serikali Milioni 7 kila Dakika ". Wah hebu chukua Milioni 7X60X24 (Siku moja) upate jibu. Halafu kwa sababu huyo mtu ameshakamatwa sasa tuseme tangu akamatwe zimeokolewa Sh. ngapi na zimeelekezwa wapi

16: "Tanzania ya Magufuli ni ya Viwanda"

Hadi sasa labda Vimejengwa viwanda hivi vinne?

i) Kiwanda Cha Kuhamia Dodoma

ii) Kiwanda cha UKUTA

iii) Tundu Lissu Democratic Machine Tools

iv) Mikia Productions

iv) Majipu Factory Construction in Progress

Viwanda hivi ni lazima vitufikishe Uchumi wa Kati.Ni Mkakati wa Kimaendeleo.Atakayemkwamisha Rais nami Nitamkwamisha.

Ha Ha ha!

Narudia "Misingi ya Urais sio kusakata Rhumba na Push-Ups Jukwaani". Kama anabisha basi Mnara ujengwe alipozindulia kampeni za Push-Ups.

Aluta Continua,Victory Ascerta....

Ben Saaanane
 
achange aiweke sawa Bara na visiwani nchi iwe na umoja... Tatizo lake anahukumu waathilika ndio baya lake... Anaonekana kama anataka abaki nchini peke yake. Maana sioni anayefurahiashwa naye anaona nchi nzima imeoza... Kila uchwao anapoteza wafuasi anazingirwa na wanafiki tu
,.. Angepewa umungu angeshaiteketeza Dunia
 
Back
Top Bottom