JamboLeo: Watanzania wakosa imani na 'Rais'

JamboLeo: Watanzania wakosa imani na 'Rais'

Magufuli hawezi uraisi. Sio kiongozi material. Hawa ni wale mashamba boi wanapenda jembe la mkono kuliko kutumia akili.
 
Habarii Wakuu,

Baada ya gazeti hili kuripoti habari ya watanzania kukosa imani na raisi,jioni hii nimeingia mtaani kusaka gazet husika na baada ya kusoma habari nzima,nikajijuta naishiwa pozi na nikaona hawa jamaa wako kibiashara zaidi hasa kwa jinsi walivyoleta habari hii.

Kwa kifupi,ripoti ya utafiti huu imezinduliwa juzi na waziri Makamba na inahusu Taasisi za uraisi kwa nchi za Afrika Mashariki na umefanywa na Tasisi ya Afrobarometer na utafiti wenyewe ni wa mwaka 2015 tena pasipo hata kutaja utafiti wenyewe umefanywa katika kipindi cha miezi gani hivyo tusihangaike na nayo sana licha ya kutuwekea picha ya Magufuli katika habari husika.

Ni bora tujadili tu mambo mengine na tuachane na hii habari.
 
Tanzania njema is a must project....endeleeni na porojo we are busy kuileta hiyo njema....

Narudia tena Tz njema is a must project, viwanda vitajengwa, ajira zitatengenezwa na ninyi mtakuwa wanufaika mpende au msipende....
 
Habarii Wakuu,

Baada ya gazeti hili kuripoti habari ya watanzania kukosa imani na raisi,jioni hii nimeingia mtaani kusaka gazet husika na baada ya kusoma habari,nikajijuta naishiwa pozi na nikaona hawa jamaa wako kibiashara zaidi hasa kwa jinsi walivyoleta habari hii.

Kwa kifupi,ripoti ya utafiti huu imezinduliwa juzi na waziri Makamba na inahusu Taasisi za uraisi kwa nchi za Afrika Mashariki na umefanywa na Tasisi ya Afrobarometer na utafiti wenyewe ni wa mwaka 2015 tena pasipo hata kutaja utafiti wenyewe umefanywa katika kipindi cha miezi gani hivyo tusihangaike na nayo sana licha ya kutuwekea picha ya Magufuli katika habari husika.

Ni bora tujadili tu mambo mengine na tuachane na hii habari.

ndiyo maana neno rais wameliwekea '....' muwe mnaelewa uandishi jameni. na aliyeko kwenye urais kwa tz ni nani?
 
Habarii Wakuu,

Baada ya gazeti hili kuripoti habari ya watanzania kukosa imani na raisi,jioni hii nimeingi mtaani kusaka gazet husika na baada ya kusoma habari,nikajijuta naishiwa pozi na nikaona hawa jamaa wako kibiashara zaidi.

Kwa kifupi,ripoti ya utafiti huu imezinduliwa juzi na waziri Makamba na inahusu Taasisi za uraisi kwa nchi za Afrika Mashariki na umefanywa na Tasisi ya Afrobarometer na utafiti wenyewe ni wa mwaka 2015 tena pasipo hata kutaja utafiti wenyewe umefanywa katika kipindi cha miezi gani hivyo tusihangaike na nayo sana licha ya kutuwekea picha ya Magufuli katika habari husika.

Ni bora tujadili tu mambo mengine
Kuna magazeti wazo la kuyaso has never crossed my mind . hata nilipoona hiyo habari sikuisoma katu maana hayo siyo magazeti!
 
Someni kilichoandikwa ndani acheni kuishia kwenye Heading, ukisoma kilichoandikwa ndani utakosa cha kuongea.
 
Mimi naomba ufafanuzi juu ya "yaliyomkuta tundu lisu rumande"
 
Tunajua 8alile ugali wake uko kwa Lowasa, hatushangai kwa maandishi yake, ila ajitathimini kwanza.
 
Hili gazeti si lilikuwaga upande wetu hili? Sasa limetugeuka tena? Nini mbaya?
 
Kibaya zaidi wakatumia "graph" ambazo kwa tulio wengi ni ngumu kuzidadavua.....hawakuishia hapo rangi ya graph inayoonyesha wanaomkubali rais ni ya njano na watu wengi wana "colour blindness" ya njano! Upuuzi huu sijihi unamnufaisha nani?
 
Tuwekeeni habari kamili, maana kwenye uzi mama wa hii habari watu wanavutana mashati kwa kichwa cha habari tangu asubuhi.
 
Kibaya zaidi wakatumia "graph" ambazo kwa tulio wengi ni ngumu kuzidadavua.....hawakuishia hapo rangi ya graph inayoonyesha wanaomkubali rais ni ya njano na watu wengi wana "colour blindness" ya njano! Upuuzi huu sijihi unamnufaisha nani?
Hili gazeti leo ndio mwisho wa kulinunua.
 
Uko sawa ndugu naomba unisaidie sasa hapa;

ameziba kwa wale waliokua zina wavujia (waliokua wanazipata kiuraisi) sasa mbona hata sisi wa halali bado mambo magumu????

Hizo zilizokua zinavuja why zisi chonge dawati??? Maana nimechangia 30000/= ya dawati!!!!!!

Hizo zilizokua zinavuja why zisisaidie kununua mbegu za kilimo kwa msimu ujao, rejea waziri wa kilimo tangazo lake la juzi kuwa bajeti iliyotengwa ni ndogo ivyo wakulima wajiandae kujigharamia wenyewe!!!!

Izo zilizo kua zinavuja kwanini zisi saidie kulipa deni la MSD ili zahanati zetu zipate dawa na vifaa vya tiba kwa wakati????


Izo zilizokua zina vuja kwanini zisi pelekwe kwenye kasi ya kujenga ama kupima maeneo ya viwanda kwenye mikoa ama wilaya mbalimbali hapa nchini????


Jiulize maswali ya fuatayo; toka tunapambana na ufisadi na kuwakamata hawa mafisadi mpaka wa milion 7 kwa sekunde, ni kiasi gani cha fedha kimesha rudishwa na kimepelekwa kwenye changamoto ipi????

Juzi nimesikia serkali imepunguza kulipa watumishi hewa na zaidi ya bilioni 20 zimeokolewa toka mwezi wa 3 ukipiga hesabu nisawa na bilioni 150 mpaka sasa serikali yetu imefanikiwa kuokoa!!!! Hizo zimeeelekezwa wapi???? Kwanini izo nafasi sasa zisitangazwe ajira kupunguza idadi ya vijana wasio na ajira????

Au kama ajira sio sasa hivi kwanini zisipelekwe moja kwa moja kwenye uboreshaji miondombinu ya shule kama vile dawati na uongezwaji wa vyumba vya madarasa???? Ili watoto wetu wasome vizuri!!! Au kwanini zisinunue mbegu na pembejeo za kutosha kwa wakulima wetu???

Mwisho maelezo yangu ni kwamba, thamani ya hela yetu kwa sasa haimach na mfumuko wa bei ama maisha tunayo ishi!!!!! Serikali na shauri iachane na mambo ya siasa na matamko ya kila siku!!!!!! Iki wasikia wapinzani wanaongea isikie yale mazuri na mengine kupuuzia!!!!! Ijikite kuzitatua changamoto za maisha ya watu kwa kuwa na kipaombele na dira inayo itekeleza!!!!!!

Watu wakipata unafuu wanao utarajia upinzani hata ukeshe na maandamano watu wanelewa huto muona mtu kwenye maandamano wala mikutano maana shida zake zinatatuliwa!!!


Nakila waziri afanye kazi sio kila siku kumchosha mkuu wa nchi atoe tamko ndio watu wakatekeleze jambo fulani!!!!! Inafika mahala sasa watu wanasema "MAGUFULI akija!!!!!!! " hii ni mbaya sana!!!! Inapaswa kuwa kawaida yetu kutimiza wajibu na sio mpaka mh rais aje!!!!
Hello ndugu, pesa zilizokuwa zikivuja zilishaliwa kwa takriban miaka 30; zimeacha pengo ambalo serikali ya JPM, hata ungekuwa unaongoza wewe huwezi kuliziba kwa miezi 8. Kwa hiyo unachotakiwa kufahamu ni kuwa government money leakages have been water tight sealed. Pili ni kuwa pesa mlizokuwa mkipata kutokana na manunuzi mafisadi/wezi wa mali ya umma sasa hamuwezi kuzipata tena kwa kuwa hawanazo za kutumia kama ilivyokuwa zamani. Kwa hiyo walipokoza, nanyi mnakosa pia. Hali hii kwenye nadharia ya uchumi inaitwa contractive multiplier effect. Jitahidi uwe na ujuzi unaotakiwa ili uweze kuingia katika mfumo wa uchumi wa nchi (mzalishaji mali) nawe utaweza kuwa sehemu ya washiriki wa pato la taifa. Kulalama kuomba mafisadi warudi kuendesha uchumi wa nchi hakutasaidia kitu. Ni Kazi Tu.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
20160807_055451.jpg


20160807_055451.jpg
nchi hii hata angeshushwa malaika atawale angesurubiwa kama yesu maana watu wazima na akili zao wanaongea kama wako kwenye ngoma ya mchiriku


hili gazeti siku zake zinaweza kuwa zinahesabika

=====[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom