nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
huu ni ukweli mchungu....
Kuna mahali ambapo siwezi kupata JAMBO LEO...lakini kuna mtu kanidokeza kuwa eti contents zake kwa habari hiyo hazihusiani na utawala wa sasa wa awamu ya tano...labda ndiyo maana wame-quote 'Rais'...hata hivyo picha iliyopo ni ya JPM...hivyo kama ni kweli contents hazihusiani na kichwa cha habari then uwezekano wa kufungiwa upo...huwezi kuandika kiujanja ujanja 'Rais'...lakini sijui waliosoma contents za gazeti hilo tunaomba watuhabarishe...
Very true kuna maeneo anafanya vizuri though ni kama show off halafu hakuna tangible results na muendelezo mfumo kuhakikisha kilichoanzishwa kinakua na corporeal kiuchumi na kijamii baadala yake inatolewa single nyingine faster na inapata airtime ya kutosha then inapotea and the drama goes onUswahili. Maendeleo ni gharama, si lelemama. Hapa ndio kwanza hatujafika katikati ya trela, baadaye picha halisi ianze. Kuna watu, wengi tu, walihamia mijini kwa kuwa pesa iliyokuwa ikivuja serikalini iliteremkia huko. Sasa JPM ameziba nyufa zote kwenye kuta na sakafu ya Serikali wakati walionufaika na uvujaji huo wakiwa bado wamekinga bakuli, hawajajua wala kujiandaa kurudi walikotoka au kubadilisha tabia na mwelekeo kuwa kuzalisha halisi. Itachukua muda kundi hili kubwa kujitambua na kuchukua uamuzi sahihi. Na ndio maana haishangazi kuona mtu juzi alisema anaipinga serikali ya JK kwa kuendekeza rushwa, leo JPM anashughulikia rushwa, mtu huyo huyo anadai bora utawala wa JK. Na corrupt state beneficial owners wanaunga mkono, si haba.
Waulize chadema gharama za bendera walizokuwa wanajifunika ni kiasi gani hawajui, kampuni ya nani ilipewa tenda? Wamekaa tu kushikishwa ukuta wkt mbowe na komu wamempeleka ndg yao China kufanya biashara na chama hawaoji hata tenda ya kuchapisha vifaa vya chama kilifanyikaje?Kuogoza Nyumbu hadi raha , unawaletea maigizo ya kushika UKUTA ili wakuachie nafasi ujigawie ruzuku ya chama hovyo.
Chadema mpaka Leo hawajapeleka gharama walizotumia kwenye uchaguzi mkuu.
Wizi mtupu.
1. Hakuna aliyewatoa/fukuza wabunge wa uinzani kutoka Bungeni. Walijiondoa wenyewe kwa hoja hafifu ya matatizo ya wanafunzi wa program ya diploma wa UDOM bila hata kufanya tathmini. Baada ya kosa la kujiondoa Bungeni bila kufikiri madhra yake, wabunge wa upinzania walianzisha political milestones tunazoziona sasa. Kila siku wamekuwa wakitafuta sababu mpya (zisizoishi kwa muda mrefu) na kuipigia baragumu. Huu ni utoto, kushindwa kuwajibika na kukosa uongozi miongoni mwa upinzania kiasi kwamba serikali yoyote makini haiwezi kutoa nafasi kuwasikiliza isipokuwa kuwadhibiti ili wafanye accountable politics.Bunge, mikutano ya hadhara ndio platform ya wanasiasa kueleza mikakati na sera zao, kukosoa serikali, kufichua uovu n.k kuzuia au kufanya fitna ya namna yoyote kuwatoa bungeni au zuio wasifanye mikutano ni dalili ya woga na kuficha ukweli
Mwisho ni kweli isiyo nashaka huwezi kutawala kwa vitisho na kuwa-silence wengine just do the right thing majority walichokutuma and voters will decide
Hongera wewe mwenye IQ ya juu. Ila ni kuwa kama gazeti limenunuliwa sana kwa heading hiyo, si kweli kwamba walitaka kujua nani anabeza juhudi zake, bali ndio mawazo yaliyo katika vichwa vyao-hali ya maisha huku sitimba ni tete, mwambieni hili nyie washauri wake sikweli kwamba wote walikuwa wezi na mafisadi. Ni vema Matumizi ya kibajeti yafanywe ili kuleta spill-over huku mtaani.kwa kweli kupitia hii thread nimeamini kiwa IQ zetu Watanzania ni ndogo sana kama tafiti ya mwaka ilivyosema. Ukisoma hiyo heading na kilichoandikwa ndani yakr ni vitu viwili tofauti sana, na haya magazeti ya kila siku hayana kipya, hiyo ni heading ya kuuzia gazeti lakini kilichoko bdani ni tofauti kabisa, kuonyesha kuwa raisi bado ni maarfu ndo maana gazeti limenunuliwa kwa wingi sana na wao wametumia hiyo heading kupima je raisi bado anapendwa na kwa jana tu na kwa mara ya kwan,a hazeti limeuza sana kuliko kipindi chote toka lianzishwe coz watu walitaka kujua ni mtanzania yupi anayeweza kubeza kazi inayo fanywa na raisi.
Ukijua kuandika ndo uje kubishana na vichwa. Mikia Kama nyie ndo vibaraka wao.Naekewa sana ni asiye na makosa....