matamko ya mwendokasiKasi ya matamko imepungua na majipu yameisha!
mliishi kama malaika sasa mtaishi kama mashetaniKusema ukweli, maisha yamekuwa magumu maradufu kwa watu wote, watumishi wa umma ndio usiseme, wananchi wa kawaida ni kelele biashara haziendi....
Mh. Rais aangalie hali hii inakuaje, maana hali mbaya sana mitaani
HATA TAKUKURU HAWANA IMANI NA RAIS WA SIMBA MHESHIMIWA AVEVAHata Mimi sina imani na rais
Ninyi ndiyo hamjui Kiwasihili. Neno sahihi kwa kadiri ya Kiswahili sanifu kumaanisha kiongozi mkuu wa nchi yetu ni RAIS na siyo Raisi. Mwandishi yupo sahihi.Mbona wamaendika 'rais' badala ya raisi wanamaanisha nini?
Hakuna neno "raisi" kwenye kiswahili, bali kuna "rais"!Mbona wamaendika 'rais' badala ya raisi wanamaanisha nini?
sijaelewa tuNNi ambacho hujaelewa hapo?
Sisi sote!Watanzania wa wapi hao
Ili ujue mambo ,/facts jama yalivyo kwebtnteiSiasa..kukupitiaedia,ni lazima pia Wamiliki wa vyombohivo! Unakumbuja Jambo Leo Miezi 9 nyuma walijuwa wanaandijaje, Fuatilia pia uandishi wa Nipashe ulivobadilika miezi kama minne iliyopita! Hiyo ndiyo Siasa ,who get what,when and how! Siwapigii debe magazeti objective kwakiwango cha kuridhisha ni Mwananchi na Majira !na kiasi fulani Raia Mwema ! Vinginevyo fuata mrengo ima wa tanzania Daima+Mtanzania+wenzao ...au Uhuru/habari Leo+ Raia Tanzania ....!
Sasa si ufungue ndani ulete habari kamili tupo mbali wengine!!;![]()
hili gazeti siku zake zinaweza kuwa zinahesabika
Raisi ndiyo kitu gani?Mbona wamaendika 'rais' badala ya raisi wanamaanisha nini?