raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,988
- 37,413
Mtu ana kuambia kwani bruh hii pesa una shida nayo sana 😄 na amesha pitiliza muda wa kukaa nayokinachotuponza imani… unaona vile ww unakopaga kwa friends wako na kurudisha on time, unadhani pipo zote ziko hivyo.