Meta AI
JF-Expert Member
- Jul 12, 2021
- 1,569
- 4,035
Asante mkuuHongera
Asante mkuuHongera
Kitu gani unakitaka kwenye ndoa?
Maana huduma zote za ndoa zinapatikana hata kama hauko kwenye ndoa
Ah, wanangu me najitoa tu, no way.Kwa hiyo mwanetu unajitoa chama cha kataa ndoa?
Akumbuke walio kwenye ndoa wanalalamika bado tena kuna kuiombaAnataka akeshe nayo kihalali bila kujificha na kuwaza majirani
uhakikaAnataka akeshe nayo kihalali bila kujificha na kuwaza majirani
Siandiki kwenye notebook hiki kichwa kina kumbukumbu sana hao ndo nliokumbuka na sitaki kujua kama wengiy nimesahau manake list ikifika 200 nitazidsha sana majuto[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Sema nyie watu majasiri sana hua mnakua mnakaa chini mnahesabu? We ukimaliza vaa nguo sepa acha kuandika majina ya watoto wa watu kwenye notebook
InshaAllah. Kila la heri piaKila la kheri mkuu, perhaps we'll be sailing on the same boat InshaAllah
Ukitaka kuacha akikisha unakaa mbali na mitandao hatarishi pia futa App ya VPN apo utapona lkn bila ivyo unalusha jiwe gizaniKuacha Nyeto ni jambo baya sitaki kulifanya 2024
Hongera sana aiseeNATAKA NIACHANE NA MBUSTSU, SIO KWA SABABU NI ZAMBI LA HASHA ILA ZINANIMALIZIA KIBUNDA SIO POAH.
Marry your best friendAkumbuke walio kwenye ndoa wanalalamika bado tena kuna kuiomba
siachiUkitaka kuacha akikisha unakaa mbali na mitandao hatarishi pia futa App ya VPN apo utapona lkn bila ivyo unalusha jiwe gizani
Tupo pamoja[emoji23][emoji23][emoji23],niKukopesha pesa zaidi ya 200k.. sirudii hili kosa.. kuna mtu ameninyooosha hii 2023 sina hamu.
Umenisikitisha sana mkuu.Ah, wanangu me najitoa tu, no way.
Nimejikuta nashindwa kufanya mambo mengi sana yenye +ve impact kiuchumi kwa kutokuwa na sehemu ya ubavu wangu wa kushoto.