Jambo Gani baya hutaki kulifanya 2024+

Jambo Gani baya hutaki kulifanya 2024+

Mwaka 2024 ni mwaka ambao sitajihusisha na mapenzi kabsa kwani nimemkosea sana Mungu na nimeamua kurudi njia iliyo sahihi ya kutotenda Dhambi ya "kudonoa donoa hovyo wanawake"

Mpaka sasa wanawake 152 niliotembea nao wanatosha kbsa nadiriki kusema mwanamke wa 153 atakuwa wa kwenye ndoa japo mpaka sasa msimamo wa "kataa ndoa ndo uliopo". hakuna jipya chini ya jua aisee pia nawaasa wanaume wenzangu acheni umbumbumbu/msukule wa mapenzi unajidhuru kwa kutaka kujiua kisa mbususu sisi tunaojutia kumkosea Mungu tunasema hakuna jipya,starehe nitayobakisha ni kula mdudu,Mpira ,movies,music na kucheza video games

Enzi za ufuska si Waarabu, wazungu,weusi hakuna ambaye sijui nilibakisha tu bubu & albino katika safari hii mbaya ya ushetani nawaasa wenzangu tumrudie Mungu tuache uzinzi...

Nawatakia mwaka mpya wenye ushindi na maisha mapya matakatifu yenye njia za maadili mema

Wew kama wew ni jambo Gani jipya unajutia kulifanya na kutotaka kulifanya 2024+
Sasa si utuache na sisi tufikishe 152 ndo tufuate ushauri wako?
Wengine bado tupo namba 4 kwa sasa.
 
Nitakuwa kauzu sana, maana ukiwa normal watu wanakuchukulia poa sana hata kwenye mali zako.
Mtu una mkopesha pesa inafika siku una mkumbushia ana anza kucheka cheka na kukuambia kwani una shida nayo sasa hivi daaaah k#m£%@=>e
 
Back
Top Bottom