Jambo Gani baya hutaki kulifanya 2024+

Los santos

JF-Expert Member
Jan 14, 2021
964
2,045
Mwaka 2024 ni mwaka ambao sitajihusisha na mapenzi kabsa kwani nimemkosea sana Mungu na nimeamua kurudi njia iliyo sahihi ya kutotenda Dhambi ya "kudonoa donoa hovyo wanawake"

Mpaka sasa wanawake 152 niliotembea nao wanatosha kbsa nadiriki kusema mwanamke wa 153 atakuwa wa kwenye ndoa japo mpaka sasa msimamo wa "kataa ndoa ndo uliopo". hakuna jipya chini ya jua aisee pia nawaasa wanaume wenzangu acheni umbumbumbu/msukule wa mapenzi unajidhuru kwa kutaka kujiua kisa mbususu sisi tunaojutia kumkosea Mungu tunasema hakuna jipya,starehe nitayobakisha ni kula mdudu,Mpira ,movies,music na kucheza video games

Enzi za ufuska si Waarabu, wazungu,weusi hakuna ambaye sijui nilibakisha tu bubu & albino katika safari hii mbaya ya ushetani nawaasa wenzangu tumrudie Mungu tuache uzinzi...

Nawatakia mwaka mpya wenye ushindi na maisha mapya matakatifu yenye njia za maadili mema

Wew kama wew ni jambo Gani jipya unajutia kulifanya na kutotaka kulifanya 2024+
 
Nawasubiri kwanza CCM na wale wenye wajomba zao Dubai waseme.
 
Kitu gani unakitaka kwenye ndoa?

Maana huduma zote za ndoa zinapatikana hata kama hauko kwenye ndoa
Ni kweli lkn niko kwenye point ambayo nahitaji mtu mmoja tu (the only one) wa kunibebea kila ninachofeel. Nadhan ntakuwa secured kuliko kuwa na madem 6 na kila mmoja anajua some of my details. Apo n kujiweka bond mkuu.
Ikumbukwe kuwa sijasukumwa na tamaa za mwili😁
 
Kila la kheri mkuu, perhaps we'll be sailing on the same boat InshaAllah
 
Back
Top Bottom