Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,769
- 54,906
Hizi mambo hazina formula ujueMarry your best friend
Hizi mambo hazina formula ujueMarry your best friend
Ah ah nimecheka sana ndio maana nilikuuliza kwa nn unataka kuacha lkn jibu lako lilinipa mashaka Aya Mkuu Kila lakhelisiachi
Naunga mkono hoja 🤣Kukopesha pesa zaidi ya 200k.. sirudii hili kosa.. kuna mtu ameninyooosha hii 2023 sina hamu.
Wamekutenda?Naunga mkono hoja 🤣
Po kwenye 152 umetudanganyaMwaka 2024 ni mwaka ambao sitajihusisha na mapenzi kabsa kwani nimemkosea sana Mungu na nimeamua kurudi njia iliyo sahihi ya kutotenda Dhambi ya "kudonoa donoa hovyo wanawake"
Mpaka sasa wanawake 152 niliotembea nao wanatosha kbsa nadiriki kusema mwanamke wa 153 atakuwa wa kwenye ndoa japo mpaka sasa msimamo wa "kataa ndoa ndo uliopo". hakuna jipya chini ya jua aisee pia nawaasa wanaume wenzangu acheni umbumbumbu/msukule wa mapenzi unajidhuru kwa kutaka kujiua kisa mbususu sisi tunaojutia kumkosea Mungu tunasema hakuna jipya,starehe nitayobakisha ni kula mdudu,Mpira ,movies,music na kucheza video games
Enzi za ufuska si Waarabu, wazungu,weusi hakuna ambaye sijui nilibakisha tu bubu & albino katika safari hii mbaya ya ushetani nawaasa wenzangu tumrudie Mungu tuache uzinzi...
Nawatakia mwaka mpya wenye ushindi na maisha mapya matakatifu yenye njia za maadili mema
Wew kama wew ni jambo Gani jipya unajutia kulifanya na kutotaka kulifanya 2024+
Naomba niwe wa mwisho kukopa kwako hii 2023Sikopeshi pesa
Mimi pia watu karibu wote nilio wakopeshaji hela hadi sasa hawajanilipaKukopesha pesa zaidi ya 200k.. sirudii hili kosa.. kuna mtu ameninyooosha hii 2023 sina hamu.
Sana dada yanguWamekutenda?
SitakiNaomba niwe wa mwisho kukopa kwako hii 2023
Na wamezidiHa
Po kwenye 152 umetudanganya
kinachotuponza imani… unaona vile ww unakopaga kwa friends wako na kurudisha on time, unadhani pipo zote ziko hivyo.1.KUKOPESHA NDUGU NA MARAFIKI SITAKAA NIRUDIE MAISHA YANGU YOTE.
Mimi mwaka huu nimekula mbususu 980Na wamezidi
2024 nitaacha kabisa matumizi yasiyo ya Lazima ya pesa na tabia ya kutokuweka AKIBA nitaacha nayo.Mwaka 2024 ni mwaka ambao sitajihusisha na mapenzi kabsa kwani nimemkosea sana Mungu na nimeamua kurudi njia iliyo sahihi ya kutotenda Dhambi ya "kudonoa donoa hovyo wanawake"
Mpaka sasa wanawake 152 niliotembea nao wanatosha kbsa nadiriki kusema mwanamke wa 153 atakuwa wa kwenye ndoa japo mpaka sasa msimamo wa "kataa ndoa ndo uliopo". hakuna jipya chini ya jua aisee pia nawaasa wanaume wenzangu acheni umbumbumbu/msukule wa mapenzi unajidhuru kwa kutaka kujiua kisa mbususu sisi tunaojutia kumkosea Mungu tunasema hakuna jipya,starehe nitayobakisha ni kula mdudu,Mpira ,movies,music na kucheza video games
Enzi za ufuska si Waarabu, wazungu,weusi hakuna ambaye sijui nilibakisha tu bubu & albino katika safari hii mbaya ya ushetani nawaasa wenzangu tumrudie Mungu tuache uzinzi...
Nawatakia mwaka mpya wenye ushindi na maisha mapya matakatifu yenye njia za maadili mema
Wew kama wew ni jambo Gani jipya unajutia kulifanya na kutotaka kulifanya 2024+
Nape akamwambia Sugu...nanukuu...Kitu gani unakitaka kwenye ndoa?
Maana huduma zote za ndoa zinapatikana hata kama hauko kwenye ndoa
Na dose ngapi za Azuma?Mimi mwaka huu nimekula mbususu 980
Mnataka tuteseke wote kwenye ndoa kama nyie 🤣🤣Nape akamwambia Sugu...nanukuu...
Sikujua kuwa nina rafiki mjinga kiasi hiki...mwisho wa kunukuu🤣🤣🤣
Supu ya pwezaNa dose ngapi za Azuma?