Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,333
- 17,874
vizuri mkuu, hayo yote anayofanya huyo kijana ni matokeo ya malezi aliyolelewa, mtu unasaidiwa umefaulu serikalini ukakataa kwenda serikalini, still walezi wakakubal? Huu ujasiri wa huyu kijana kukataa gvt kautoa wapi? , kama aliamua kumkumbatia na kumlea kama mtoto wake aendelee hivyo. Huyo kijana japokuwa yupo chuo ila anaonekana bado goi goi na ni matokeo ya malezi mabaya. Nina experience na hawa watu waliosaidiwa toka wakiwa watoto hadi wanakua, mtoto umleavyo ndivyo akuavyo, na kama angekuwa mtoto wako wa kumzaa hata angekuwa na miaka 30 ungemsaidia tu, umechoka kwa kuwa siyo wako. Ungemuandalia mazingira ya kujitegemea toka awali asingekusumbua
mkuu warumi nimekupata angle yako ya analysis,, ila nadhani bado wana nafasi ya kumrekebisha
CC mwallu
Last edited by a moderator: