Jamani, mtoto anatuchonganisha familia nzima!

Unamzila mtoto kisa kaomba hela? hivi wanaume tukioa tunawaza kwa kutumia nini?
 
Umembwagia dada yako mtoto miaka yote kwani alimzaa yeye?
 
duh....hili suala ni very sensitive jamani...

mjue pamoja na yote mleta mada ana familia yake na watoto

Huyu mtoto wa kaka yake kwa upande wake alipaswa atambue kwamba kwa mazingira yalivyo anatakiwa awe mtiifu na aridhike kuliko kuonyesha kiburi hivi na kumchunia baba yake mdogo.

Kama wamemfanyia yote hayo anapaswa kuwa myemyekevu na aonyeshe adabu hata pale anapoona kwamba 'ameonewa'
nakubali kwamba tunawiwa kuwasaidia ndugu zetu lakini hiyo isiwe sababu ya kukoseshana furaha, kuwekeana visasi na vinyongo n.k. mleta mada anayo haki pia ya kufurahia maisha yake hapa duniani regardless of what happened .....ni Mungu alimwita kaka yake sio yeye

sasa angalia...kijana ana Boom, bado anapewa financial assistance, anasema hazitoshi,,,anaumwa, hasemi, na huku ana kadi ya bima ya Afya? ni wangapi kati yetu hapa ambao tuna wazazi wote wawili na bado hatuwezi kuafford maisha haya ya hivi? Yaani laki kwa mbili apart from boom wengine mnaona ndogo, je tunajua mleta mada analipwa mshahara kiasi gani? Maana kama tunazungumzia lki moja kwa wiki ni laki nne kwa mwezi......huo ni zaidi ya mshahara wa TGS D! familia yake je anaihudumiaje?

Mi nadhani mleta mada na dada yake wakae pamoja...wayaongee kisha wamwonye dogo kwa upendo....maisha haya sio kama zamani mambo yametight sana
BADILI TABIA nimekusoma shemeji
 
Last edited by a moderator:
Kama uliamua kubeba jukumu kama mzazi, hukutakiwa kumuacha mtoto peke yake kwa kipindi chote hicho bila kumjulia hali mtoto No matter how stubborn he is, ebu jiulize angekuwa mtoto wako wa kumzaa ungemfanyia hivyo?, watoto yatima ni ngumu sana kuishi nao, wana uchungu sana. Ushaur wangu kaeni kama familia ombaneni msamaha muyamalize full stop. Usichoke kutenda wema

No No No!!! Kijana wa level ya chuo kikuu sio mtoto mdogo!!! akiwa na tatizo la msingi ilitakiwa awasiliane na baba yake mdogo. kama nimemuelewa vizuri huyu jamaa ni kwamba mawasiliano yake na dogo yalikatika baada ya dogo kudai fedha nyingi ya matibabu wakati tayari alishakatiwa bima ya afya na baba yake mdogo akataka dogo atoe sababu ya kudai fedha nyingi then dogo hakutoa jibu lolote na ndio ukimya ulipoanzia na inavyoonyesha kulingana na maelezo ya baba ambaye tayari naye ni mtu mzima, kijana ameshaonyesha kiburi flan hivi kwa hawa wanaomlipia ada. kuhusu mke wa jamaa ukweli utabaki pale pale kwamba mwanaume akishaoa usitegemee ukaribu uliokuwepo kati yake na ndugu zake utabakia hivyo hivyo maana huyu mtu sasa ana partiner mpya ambaye ni mke wake so ninyi ndugu mnaomzunguka ni lazima muelewe hivyo na kukubaliana na hali halisi ingawa na mwanaume unatakiwa kubalance issues ili usisahau kabisa familia na ndugu zako wengine especially kama bado wanakutegemea financially au kwa ushauri. vijana wa sasa wazazi tunachangia sana kuwaharibu na kuwafanya goi goi wa kufikiri na kujitegemea. utakuta kijana ana 30 years plus bado yupo kwa wazazi anakula na kunya choo cha wazazi na hana mpango wala msimamo wa maisha hata kidogo.this is too bad!!! kaka mwenye mada hii hilo wala lisikupe headache provided kwamba ulifanya kila lililokuwa ndani ya uwezo wako kumsaidia huyo kijana kupata zile huduma za lazima kwa maisha yake ya baadae. akikuwa atagundua umuhimu wako na ulichokuwa unakifanya.
 
Hoja imeungwa mkono hii
 
Are you serious:what:😱
Laki moja inaisha kwa wiki 2:what:...trust me anajibana sana....mimi laki moja natumia kwa wiki moja tu mkuu. Enzi wewe unasoma chuo vitu vilikua bei chee compared na sasa.... kwa sasa bila anasa mwanachuo kwa siku anatumia sh10000...nakushangaa huyo dogo anawezaje kutumia laki moja kwa wiki 2. Mimi ni mwanachuo...natumia laki 1 kwa wiki 1.
Wewe kwa maelezo tu unaonekana kabisa ni kiburi na don't care. Jitafakari upya bro.

Kweli ni vigumu sana kulea kizazi cha sasa. Mwanafunzi anatumia laki 1 kwa wiki? kwa mwezi laki 4. Mwanafunzi huyu huyu anamaliza chuo na degree yake ya Economics. Mshahara wa kuanzia serikalini ni 350,000. Maisha atayamudu kweli? Ukimkabidhi ofisi katika kampuni yako itasalimika kweli? Mkuu situations are not the same kwa kila mtu, what you get is not what everybodyelse is getting. Sisi tulisoma kwa boom la 1500 kwa siku, accomodation ilikuwa 300per day, wali maharage manzese cafeteria (UDSM) ilikuwa 250, wali nyama 500, chips kuku 700, maji 150, soda 250 acha mahitaji mengine muhimu. Jaribu kupiga hiyo bajeti kwa wakati huo 2001 uone kama ilikuwa inatosha. Pamoja na hayo tuliweza kusave nauli ya kurudi makwetu wakati wa likizo. Tatizo linalowakumba vijana wa sasa ni kujiingiza kwenye matumizi yasiyo ya lazima as if wameajiriwa na kulipwa mshahara. Laki moja kwa wiki is more than enough for a responsible student na hasa mwenye wazazi wenye kipato kidogo.
 
Jamani ndugu zangu naona wengi mmeangalia upande mmoja ti wa mtoto na pia baadhi ya tabia bado hamjazijua kiasi cha mie kufikia kuchoka namna hiyo. ngoja niwaambie kitu.
kijana anapokea boom na pia all the way nimekuwa nampa financial back up regardless kuwa yeye anapokea boom ila mind you wakati mie nasoma sikupokea financial assistance ya mtu yeyoye maana dada alikuwa masomoni na pia hilo hilo bum langu nilikuwa namtumia na yeye. Nikiwa chuoni nilifanya kila aina ya kazi kujikimu.
Ila kwa huyu kijana yeye ni the opposite. Maana laki moja inaisha ndani ya wiki 2!!
So inapotokea mtu unakuwa mfuatiliaji wa masuala yako ya kifedha ndio unakuwa mbaya jamani?
Alikataa shule ya serikali tukampeleka private. Mbona mie nimesoma serikalini huko huko. Tena alingoja hadi kafanyiwa shopping yote na kaenda ndio kaleta ujinga wake.
Jamani yaani ni mengi huyu mtoto kayafanya yanayoumiza tangu na tangu na muda wote huo nimekuwa nampa second chance.
what else should I do now? so isiwe kuwa nashambuliwa kuwa mie ni irresponsible wakati I have done all I could tangu nasoma hadi naingia kazini.

Kaka you are very right kujua fedha zako unazotoa zinatumikaje!!! sio kosa kumwambia kijana atoe maelezo kwa nini adai pesa nyingi ambazo hazina justification!!! tujiulize swali hapa!!! angekuwa baba yake mzazi amemuambia atoe maelezo kwanini anataka pesa nyingi zisizo na maelezo angekaa kimya???!!! msipende kumkandamiza huyu mlezi hapa maana huyo kijana tayari ni mtu mzima na tabia aliyo nayo inawezekana kabisa wazazi wake walichangia kuwa nayo. so baba mdogo hapa anaonekana ni tatizo bila kuchunguza source ya matumizi mabovu ya huyu kijana!!!
 
No No No!!! Kijana wa level ya chuo kikuu sio mtoto mdogo!!! akiwa na tatizo la msingi ilitakiwa awasiliane na baba yake mdogo. kama nimemuelewa vizuri huyu jamaa ni kwamba mawasiliano yake na dogo yalikatika baada ya dogo kudai fedha nyingi ya matibabu wakati tayari alishakatiwa bima ya afya na baba yake mdogo akataka dogo atoe sababu ya kudai fedha nyingi then dogo hakutoa jibu lolote na ndio ukimya ulipoanzia na inavyoonyesha kulingana na maelezo ya baba ambaye tayari naye ni mtu mzima, kijana ameshaonyesha kiburi flan hivi kwa hawa wanaomlipia ada. kuhusu mke wa jamaa ukweli utabaki pale pale kwamba mwanaume akishaoa usitegemee ukaribu uliokuwepo kati yake na ndugu zake utabakia hivyo hivyo maana huyu mtu sasa ana partiner mpya ambaye ni mke wake so ninyi ndugu mnaomzunguka ni lazima muelewe hivyo na kukubaliana na hali halisi ingawa na mwanaume unatakiwa kubalance issues ili usisahau kabisa familia na ndugu zako wengine especially kama bado wanakutegemea financially au kwa ushauri. vijana wa sasa wazazi tunachangia sana kuwaharibu na kuwafanya goi goi wa kufikiri na kujitegemea. utakuta kijana ana 30 years plus bado yupo kwa wazazi anakula na kunya choo cha wazazi na hana mpango wala msimamo wa maisha hata kidogo.this is too bad!!! kaka mwenye mada hii hilo wala lisikupe headache provided kwamba ulifanya kila lililokuwa ndani ya uwezo wako kumsaidia huyo kijana kupata zile huduma za lazima kwa maisha yake ya baadae. akikuwa atagundua umuhimu wako na ulichokuwa unakifanya.

Hata angekuwa ana miaka sitini bado kwake ni mtoto, watoto wangap wako vyuon na bado wanategemea msaada kutoka kwa wazazi/walezi? Ni jukumu lake kama mzazi kumsaidia kipindi chote atakachokuwa chuoni. Kosa lingine alilofanya huyu mlezi anaonekana yupo fit financially, na ndio maana ulikuwa ukimuhudumia mtoto mahitaj yote aliyokuwa akihitaji, ulimzoesha vibaya, mtoto umleavyo ndivyo akuavyo, you have to suffer the consequences, hamna sababu ya kulalamika wakati wewe mwenyewe ulimlea hivyo. Ungemlea vizuri angejielewa yeye ana nafasi gani kwako, hvyo ujinga wote asingeifanya, haya ni matokeo ya ulivyomlea, ulimzoesha kumpa pesa hivyo endelea tu kumpa, ndivyo ulivyomzoesha na yeye anaona ni haki yake
 
Kweli ni vigumu sana kulea kizazi cha sasa. Mwanafunzi anatumia laki 1 kwa wiki? kwa mwezi laki 4. Mwanafunzi huyu huyu anamaliza chuo na degree yake ya Economics. Mshahara wa kuanzia serikalini ni 350,000. Maisha atayamudu kweli? Ukimkabidhi ofisi katika kampuni yako itasalimika kweli? Mkuu situations are not the same kwa kila mtu, what you get is not what everybodyelse is getting. Sisi tulisoma kwa boom la 1500 kwa siku, accomodation ilikuwa 300per day, wali maharage manzese cafeteria (UDSM) ilikuwa 250, wali nyama 500, chips kuku 700, maji 150, soda 250 acha mahitaji mengine muhimu. Jaribu kupiga hiyo bajeti kwa wakati huo 2001 uone kama ilikuwa inatosha. Pamoja na hayo tuliweza kusave nauli ya kurudi makwetu wakati wa likizo. Tatizo linalowakumba vijana wa sasa ni kujiingiza kwenye matumizi yasiyo ya lazima as if wameajiriwa na kulipwa mshahara. Laki moja kwa wiki is more than enough for a responsible student na hasa mwenye wazazi wenye kipato kidogo.

umenikumbusha kuna mmoja nimekutana naye kama mwezi mmoja hivi, hanijui simjui, ile tumekaa pamoja for drinks and the like basi ndio ana birthday kesho kutwa yake, na kesho anaenda saloon , maana yake nimsupport, hivi mbona hawadaigi hela za vitabu au umnunulie kitabu?

Watoto wa siku hizi ndo ivo anataka aishi kama meneja wa CRDB hivi au TRA, ila kwa fedha za wengine!
 
Hata angekuwa ana miaka sitini bado kwake ni mtoto, watoto wangap wako vyuon na bado wanategemea msaada kutoka kwa wazazi/walezi? Ni jukumu lake kama mzazi kumsaidia kipindi chote atakachokuwa chuoni. Kosa lingine alilofanya huyu mlezi anaonekana yupo fit financially, na ndio maana ulikuwa ukimuhudumia mtoto mahitaj yote aliyokuwa akihitaji, ulimzoesha vibaya, mtoto umleavyo ndivyo akuavyo, you have to suffer the consequences, hamna sababu ya kulalamika wakati wewe mwenyewe ulimlea hivyo. Ungemlea vizuri angejielewa yeye ana nafasi gani kwako, hvyo ujinga wote asingeifanya, haya ni matokeo ya ulivyomlea, ulimzoesha kumpa pesa hivyo endelea tu kumpa, ndivyo ulivyomzoesha na yeye anaona ni haki yake

Mkuu warumi sijaelewa kwa nini hoja ya umri unaidismss, kawaida mzazi anamhudumia mtoto kwa kila kitu hadi anapokuwa na miaka 18, baada ya hapo kuna mambo flani unategemewa ufanye na ubehave kama mtu mzima, ikiwemo financial management! huyu ni kijana mtu mzima yupo chuo kikuu tena cha binafsi!

Kumlea ndo kama hivo anamhoji kwa nini anataka pesa nyingi hivyo, akashindwa kujustify, ww unamlaumu eti amemlea vibaya? yaani unataka kusuggest kwamba hata akiwa na miaka 60 bado tu ni mtoto wake? like seriously? what if baba yake mdogo asingekuwa na uwezo kabisa?
 
Last edited by a moderator:
Jamani ndugu zangu naona wengi mmeangalia upande mmoja ti wa mtoto na pia baadhi ya tabia bado hamjazijua kiasi cha kufikia kuchoka namna hiyo. ngoja niwaambie kitu.
kijana anapokea boom na pia all the way nimekuwa nampa financial back up regardless kuwa yeye anapokea boom ila mind you wakati mie nasoma sikupokea financial assistance ya mtu yeyoye maana dada alikuwa masomoni na pia hilo hilo bum langu nilikuwa namtumia na yeye. Nikiwa chuoni nilifanya kila aina ya kazi kujikimu.
Ila kwa huyu kijana yeye ni the opposite. Maana laki moja inaisha ndani ya wiki 2!!
So inapotokea mtu unakuwa mfuatiliaji wa masuala yako ya kifedha ndio unakuwa mbaya jamani?
Alikataa shule ya serikali tukampeleka private. Mbona mie nimesoma serikalini huko huko. Tena alingoja hadi kafanyiwa shopping yote na kaenda ndio kaleta ujinga wake.
Jamani yaani ni mengi huyu mtoto kayafanya yanayoumiza tangu na tangu na muda wote huo nimekuwa nampa second chance.
what else should I do now? so isiwe kuwa nashambuliwa kuwa mie ni irresponsible wakati I have done all I could tangu nasoma hadi naingia kazini.

Mtoto kafaulu serikalini, akakataa kwenda na nyie mkakubali aiseeh, he deserves to act like this, hata ningekuwa mm
 
mtafute uwe unafanya jukumu lako kwake kama mlivyokubaliana,na umpe pole kwa kuumwa then uwe kila baada ya muda unamtumia km ni ela au vyovyote mlivyokubaliana na dada ako,chuo kitaisha tuu muda cyo mrefu fanya uondoe lawama za chini kwa chini.
 
Are you serious:what:😱
Laki moja inaisha kwa wiki 2:what:...trust me anajibana sana....mimi laki moja natumia kwa wiki moja tu mkuu. Enzi wewe unasoma chuo vitu vilikua bei chee compared na sasa.... kwa sasa bila anasa mwanachuo kwa siku anatumia sh10000...nakushangaa huyo dogo anawezaje kutumia laki moja kwa wiki 2. Mimi ni mwanachuo...natumia laki 1 kwa wiki 1.
Wewe kwa maelezo tu unaonekana kabisa ni kiburi na don't care. Jitafakari upya bro.
Hata mimi nimeshangaa laki mtu analalamika niliwahi kuomba budget ya laki kwa mwezi mzee aliuliza natumia nini alilalamika uzuri wana mitazamo hasi na chanya bi mkubwa alishangaa ninawezaje kuishi kwa laki moja kwa mwezi mzima tena Maisha ya Dar alikataa. Jamani kwa maisha ya chuo laki kwa week mbili ni sawa na sawa na 7000 kila siku uweke voucher hujala cjui u print mi assignment nauli sijui ki mchango cha ka saccos au mwenzio kaumwa yaani laki kusema ukweli anajibana amekuhurumia watoto wa mjini wanasema laki si pesa hiyo ni sawasawa na kiingilio cha kuangalia wanamziki au mashindano ya miss Tanzania
 
Msimwonee mlezi ametimiza wajibu wake ipasavyo, kuuliza matumizi ni haki kabisa hakuna anyeokota pesa. Kijana anapata boom na anaongezewa pesa za ziada lakini bado hazimtoshi. Hii inadhihirisha alivyo mfujaji. Nimesoma na hawa vijana wanapopata boom wanatumia kama hakuna kesho. Anahitaji kujifunza na kujielewa na mlezi ana familia ambayo pia ni wajiby kwake. Dada yake naye ana makosa ni wale aina ya madada wanao wabebesha lawama wifi zao kwa maamuzi ya ndugu zao.
 
Are you serious:what:😱
Laki moja inaisha kwa wiki 2:what:...trust me anajibana sana....mimi laki moja natumia kwa wiki moja tu mkuu. Enzi wewe unasoma chuo vitu vilikua bei chee compared na sasa.... kwa sasa bila anasa mwanachuo kwa siku anatumia sh10000...nakushangaa huyo dogo anawezaje kutumia laki moja kwa wiki 2. Mimi ni mwanachuo...natumia laki 1 kwa wiki 1.
Wewe kwa maelezo tu unaonekana kabisa ni kiburi na don't care. Jitafakari upya bro.

That is an extravagancy and lavishy spending my dear.
 
Mkuu warumi sijaelewa kwa nini hoja ya umri unaidismss, kawaida mzazi anamhudumia mtoto kwa kila kitu hadi anapokuwa na miaka 18, baada ya hapo kuna mambo flani unategemewa ufanye na ubehave kama mtu mzima, ikiwemo financial management! huyu ni kijana mtu mzima yupo chuo kikuu tena cha binafsi!

Kumlea ndo kama hivo anamhoji kwa nini anataka pesa nyingi hivyo, akashindwa kujustify, ww unamlaumu eti amemlea vibaya? yaani unataka kusuggest kwamba hata akiwa na miaka 60 bado tu ni mtoto wake? like seriously? what if baba yake mdogo asingekuwa na uwezo kabisa?

vizuri mkuu, hayo yote anayofanya huyo kijana ni matokeo ya malezi aliyolelewa, mtu unasaidiwa umefaulu serikalini ukakataa kwenda serikalini, still walezi wakakubal? Huu ujasiri wa huyu kijana kukataa gvt kautoa wapi? , kama aliamua kumkumbatia na kumlea kama mtoto wake aendelee hivyo. Huyo kijana japokuwa yupo chuo ila anaonekana bado goi goi na ni matokeo ya malezi mabaya. Nina experience na hawa watu waliosaidiwa toka wakiwa watoto hadi wanakua, mtoto umleavyo ndivyo akuavyo, na kama angekuwa mtoto wako wa kumzaa hata angekuwa na miaka 30 ungemsaidia tu, umechoka kwa kuwa siyo wako. Ungemuandalia mazingira ya kujitegemea toka awali asingekusumbua
 
Last edited by a moderator:
wakati unaisoma hii posti nilikuwa nafikiri kaposti mawamke mpaka mwishoni ndio najua ni wewe.KWANZA HAPO KUNA KUTOELEWANA.VYUO VINGI NIJUAVYO MIMI HULAZIMISHA WANAFUNZI WOTE KULIPA HELA YA MATIBABU REGARDLESS UNAENDA KWENYE HOSPITALI YAO AU LA MIMI ILINIKUTA UDSM. sasa huyo dogo labda aliona humuelewi maana zile pesa ma prof huzitafuna na hulazimisha kila mtu kulipa utake usitake kwa visababu vya kijinga kama ukianguka darasani nani atakubeba kukupeleka huko kwenye bima yako na vitu kama hivyo.

Ulipaswa kuwa mwelewa na pia ulipaswa kuwa proactive(akupe garama zote za chuo kwa mwaka uwe unazijua na ujue katika matumizi yake anahitaji kwako kiasi gani kila mwezi) kwa kuwa nawe ni mwanaume ungekaa naye mambo yangeenda sawa. sasa inaonekana kama ulichoka.

Ushauri wangu kwa kuwa huyo ni mwanao ,mwambie dada yako amwite ukutane naye kwa dada yako umweleze kuwa mlipishana kiswahili awe anaweka mambo sawa.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Kweli ni vigumu sana kulea kizazi cha sasa. Mwanafunzi anatumia laki 1 kwa wiki? kwa mwezi laki 4. Mwanafunzi huyu huyu anamaliza chuo na degree yake ya Economics. Mshahara wa kuanzia serikalini ni 350,000. Maisha atayamudu kweli? Ukimkabidhi ofisi katika kampuni yako itasalimika kweli? Mkuu situations are not the same kwa kila mtu, what you get is not what everybodyelse is getting. Sisi tulisoma kwa boom la 1500 kwa siku, accomodation ilikuwa 300per day, wali maharage manzese cafeteria (UDSM) ilikuwa 250, wali nyama 500, chips kuku 700, maji 150, soda 250 acha mahitaji mengine muhimu. Jaribu kupiga hiyo bajeti kwa wakati huo 2001 uone kama ilikuwa inatosha. Pamoja na hayo tuliweza kusave nauli ya kurudi makwetu wakati wa likizo. Tatizo linalowakumba vijana wa sasa ni kujiingiza kwenye matumizi yasiyo ya lazima as if wameajiriwa na kulipwa mshahara. Laki moja kwa wiki is more than enough for a responsible student na hasa mwenye wazazi wenye kipato kidogo.
mkuu mambo yanabadilika suala la laki 1 kwa wiki nalipinga maake hata mimi nasoma lakini hiyo pesa sijawahi kutumia ila hata hivyo sio kwamba napenda la na sio kwamba wazazi hawawezi kunipa hiyo laki kwa week wanaweza sana na sina hata boom ila tu sipendi kukaa naomba omba kila muda nimekuwa mimi. Na mtoto wa kiume kulilia lia kwq baba au mama saiv naona aibu. Siku wakinikumbuka poa wasiponikumbuka naishi hata kwa mikopo. Lakini maisha ya sasa ni ghali ukilinganisha na enzi zenu saiv wapi utapata soda ya 250 naili ya 200 iko wapi wali kuku au nyama wa 700 saba unaupata wapi? Pesa imeshuka thamani chukua Tsh.10000 nenda nayo dukani saiv utarudi na vitu vingapi. Pesa haina value kabisa kama enzi zenu lakini sio kigezo cha kutumia laki hiyo kubwa mno atleast elfu 50 au 40 per week Iits tlreasonable
 
apo bold ndo kujielwa/kujitambua sasa....dogo hajajitambua
 
Back
Top Bottom