- Thread starter
- #61
Hata ww ulikuwa na makosa kipindi kile unasoma jishushe bwana ww ni mtu mzima mtafute bwana mdogo muyamalize akimaliza shule huyo mtapitana njiani bila kusalimiana!!!
sio makosa ya kununa na kuwafanyia kiburi wakubwa zangu. hii sio mara ya kwanza dogo kuninunia na kukata mawasiliano na mie ndio nakuwa wakwanza kumtafuta, kuna kipindi akiwa shule alianza makundi mabaya akaanza kuweka wave kwenye nywele, mikorogo (kumbuka ni mtoto wa kiume huyu) na mengine.
nilipomsema alinuna so ikabidi mie tena nimtafute na kuongea nae kwa upole na kuyamaliza, ingawa hata mawasiliano ya simu yalikata. So mtu kama huyo ni wa kumpa nini au upendo wa aina gani?