Mnafiki tu Hana lolote. Mzee wa assumptions.Daaah,huyu hafai.View attachment 3705925
Aisee wamatengo hawapo hivi,,huyu sijui ni ulafi🙌Mnafiki tu Hana lolote. Mzee wa assumptions.
Kama hujui jaribu kujifunza kwanza ndio uchallenge.Kwakweli Jaji Ndunguru anachekesha sana.
1. Kichekesho cha kwanza, awali kwenye rulling ya case to answer, Jaji Ndunguru alidai Mh Tundu Lissu ana kesi ya kujibu kuhusu tuhuma zake za uhaini. Cha kushangaza Leo kadai hakuna ushahidi wa kumtia hatiani na kwamba ushahidi wa Jamhuri ulikuwa kwenye assumptions. Kwa maana hiyo, Jaji Ndunguru anatuambia ya kwamba Jamhuri walimshtaki Mh Lissu kwa kutumia ushahidi wa kufikirika usio kuwepo.
Hiki kama sio kichekesho ni Nini? Yani unasema Lissu ana kesi ya kujibu kwenye ushahidi wa assumptions?. Kwanini usinge itupilia mbali hiyo kesi kama hapakuwa na ushahidi wowote wa msingi?. Leo ndio umegundua ya kwamba ushahidi wa msingi haukuwepo, Sasa Lissu alikuwa anajitetea dhidi ya Nini? Kwa kweli Jaji Ndunguru wewe ni comedian wa hatari sana. Inafaa kuacha ujaji na kuwa mchekeshaji, ndio kazi inayokufaa.
2. Kichekesho cha pili, Jaji Ndunguru anadai kwenye hukumu yake ya kwamba mahakama imeangalia tafsiri ya shahidi wa 1,2 na 16 na kuona ni assumption haziwezi kuthibitisha kuwa mshtakiwa alilenga kuitishia Serikali.
Dah! Kwa hivyo Jaji Nduguru anadai ya kwamba Lissu hakuitisha serikali na Wala hakuna ushahidi Wala Nia ya kuonesha Mh Lissu alilenga kuitisha serikali. Sasa ndugu zangu huyo huyo Jaji anadai Mh Lissu hakuitisha serikali lakini aliichochea umma dhidi ya serikali. Hivi unaweza kuichochea umma dhidi ya serikali bila serikali kutishika?. Kwa hivyo serikali haikutishwa Wala kutishika ila uchochezi uliofanyika. Aibu sana.
Dah! Nduguru anachekesha sana kama sio Jaji kwenye kesi yako. Serikali haikutishika sawa, Sasa kama uchochezi haukulenga kuitisha serikali, hatia inatokea wapi?. Aiseeh!
3. Kichekesho cha tatu ndio kikubwa Zaidi, huyo Nduguru hata simuiti Jaji tena, anadai Mh Lissu amepatikana na kosa ndogo la uchochezi. Anadai kwenye ushahidi wake ya kwamba kwenye kesi ya msingi ya uhaini kulikuwa na vimelea vya uchochezi ambavyo vinaonesha kulikuwa na uchochezi na kwamba mshatakiwa hakuvipinga.
Ila Ndunguru amesahau ya kwamba Kuna kesi nyingine, dhidi ya Mh Lissu dhidi ya uchochezi, ipo kwenye mahakama ya Kisutu, tena ilikuwa imefika kwenye ushahidi. Na shahidi wa kwanza alikuwa ametoa ushahidi wake. Inakuwaje Tena Jaji anaileta kesi hiyo kwenye kesi ya uhaini?.
Anachekesha sana. Kimbelembele cha nini kuamua kesi ambayo ipo kwenye hatua ya ushahidi kwenye mahakama nyingine?. Ina maana DPP alitenganisha Uhaini na uchochezi ila mahakama inalazimisha kulileta kwenye kesi ya uhaini. Kwanini wasinge subiria kesi hiyo ya uchochezi Kisutu ifikie mwisho?.
Huyu comedian kapewa kesi ya uhaini ashughulikie kweli kaishughulikia kagundua ya kwamba hakuna uhaini, hapo hapo akarukia kesi ya Kisutu ya uchochezi ambayo haimhusu akidai Sheria inamruhusu kumhukumu mshitakiwa kwa kosa ambalo hajashtakiwa nalo, eti kosa dogo. Kosa dogo kivipi wakati DPP alitenganisha makosa yote mawili Kila Moja lijitegemee? Moja liendee mahakama kuu na linguine lisikilizwe mahakama ya Kisutu? Aiseeh ni kichekesho hiki.
Mwisho, niseme hivi, Ndunguru amefanya kazi ya kuisaidia Jamhuri kumtia hatiani Lissu wakati sio kazi ya mahakama kuanza kutafuta makosa kwa tochi ili tu mtuhumiwa apatikane na hatia. Mahakama zinatakiwa ziwe adversial zinaletewa kesi na kuamua sio kutafuta makosa ambayo hayapo kwenye mashtaka mbele yake. Niseme tu, Ile haikuwa hukumu Bali ilikuwa ni kichekesho tu. Namshukuru Mh Tundu Lissu kwa kumwambia ukweli huyo Ndunguru ya kwamba asome adhabu yake aliyoelekezwa na Samiah.
haaaaaaa haaaaaaa! Kwakweli hilo jina la Bambo linamfaa sana.
Jaji aliyeteuliwa na Rais ambaye ni Mwenyekiti wa CCM,kumfunga Mwenyekiti wa CHADEMAKwakweli Jaji Ndunguru anachekesha sana.

Yaani huyu wa kipekee,,wakina nchimbi,jokate,Judith hawapo hivi,,,huyu wakuogopwa.Hata Mimi nashangaa sana. Wamatengo sio wa aina hiyo.
Na wenzaje watakuwa Dubei kwenye makasri wanapimzikaDaaah,huyu hafai.View attachment 3705925
Sio Makebo waziNimebaki mdomo wazi![]()
Huyo Ndunguru ndio aliyetumika kuhalalisha uuzwaji wa bandara kwenye kesi ya DP World. Inshort huwa anatumika kusimamia uchafu wa serekali.Ndunguru sidhani km anayo amani moyoni.
Mwisho wake utakuwa mbaya sanaHuyo Ndunguru ndio aliyetumika kuhalalisha uuzwani wa bandara kwenye kesi ya DP World. Inshort huwa anatumika kusimamia uchafu wa serekali.
Hata wale wasiojulikana mkuuHata mtu awe mkatiri vp utu huwa hauishi nina imani ndunguru hilo analo na km ndivyo basi amani yake haiwezi kutulia
Mtu sio mnyamaHata wale wasiojulikana mkuu
Ni Mmatengo, sio Mngoni. Mmatengo wa kwanza kuwa Fallah ni hilo li Dastan.Ndunguru kutuaibisha wangoni anastahili kupigwa mawe huyo
Hajawahi kuwa nayo, na hatakuwa nayo, kwa mienendo yake hiyo.Ndunguru sidhani km anayo amani moyoni.
Lizee la hovyo hili kuwahi kutokea ktk mkoa wa Ruvuma.Daaah,huyu hafai.View attachment 3705925