Mbeya: Yaliyojiri katika Kesi ya kupinga mkataba wa Bandari na DP WORLD - Julai 26, 2023

Mdude_Nyagali

Member
Dec 11, 2022
60
1,237
#Update KESI YA BANDARI.

Majaji wanaingia muda huu saa 09: 20

MAJAJI watatu;

1. Hon. Ndunguru

2. Hon. Ismail

3. Hon. Kagomba

Wote wameinama wanaandika

Anasimama wakili wa serikali kutambulisha mawakili wa pande zote.

MAWAKILI WA SERIKALI;

1. Adv. Mark Muluambo

2. Edson Mwaiyunge

3. Alice Mkulu

4. Stanley Kalokola

5. Edwin Lwebilo

MAWAKILI WA WALETA MAOMBI/ WALALAMIKAJI;

1. Mpale Mpoki

2. Boniface MWABUKUSI

3. Philip Mwakilima

4. Livino Ngalimitumba

Anasimama wakili wa waleta maombi senior adv. Mpoki.

Adv. Mpoki: iwapendeze Waheshimiwa majaji tupo tayari kuendelea kwa utaratibu ufuatao. Nitatoa utangulizi na kuongelea kiini Na.2

Msomi Mwabukusi atazunguzmia issue no. 1 na 4. Msomi Livino atazungumzia issue na. 3 na Msomi mwakilima atazungumzia issue no.5

Bado anaendelea senior Mpoki.

Adv. Mpoki Naomba nianze kwamba maombi haya yameletwa na walalamikaji 4 ambao wapo mbele yenu kwa mujibu wa ibara 108(2] ya Katiba ya Tanzania. Inayoipa mahakama mamlaka ya pekee katika shauri hili.

Pia kifungu cha 2[3] Cha JALA

Vifungu hivi vinaipa mahakama kusikiliza shauri hili.

Pia kuna kiapo cha tar 26 June 2023 kilichoapwa na waombaji vile vile Originating Summons ambayo naomba ku adopt kuwa sehemu ya mwenendo
[7/26, 09:35] Wakili Livino Ngalimitumba: Katika Originating Summons waombaji wanaomba vitu vikubwa 9 ambavyo vipo ukurasa wa 5 mpaka 6 wa maombi ya waombaji

Anaendelea senior Mpoki kwamba Kwanza ni tamko kwamba kitendo cha mjibu maombi wa pili kupeleka mkataba kati ya Tanzania na Dubai uliohusu rasilimali za Tanzania bila kushirikisha wananchi na kupitishwa bungeni ilikinzana na ibara 1,8,18(d), 21[2] 27 ya katiba ya Tanzania 1977, Na kifungu kifungu 11[1][2][3] na kifungu cha 12 cha sheria ya mali asili, sheria na. 5 ya mwaka 2017.

Anaendelea wakili Mpoki kwamba; Vile vile mkataba huo unavifungu 6(2) 7[2], 23[4] kinaathiri Usalama wa nchi, uhuru wa nchi na kuhatarisha usalama wa rasilimali za nchi kwa kuwa inakinzana na ibara ya 1,8,18(d) 28 ya Katiba ya Tanzania.

Adv. Mpoki: Vile vile mkataba haupo wazi kuhusiana na muda, haina kadimio (consideration) kama ambavyo inatakiwa na kifungu cha 25 cha sheria ya mkataba, haielezi limitation ya maeneo ya uwekezaji.

Adv. Mpoki: Jambo la nne, Mkataba huo haukufuata sheria ya Manunuzi ya mwaka 2022 Vile vile kitendo cha bunge kuridhia mkataba ilikuwa kinyume na sheria. Waombaji wanaomba kwamba mahakama itoe tamko kwamba bunge lilifanya makosa kuridhia kinyume na sheria za nchi.

Anaendelea senior Mpoki kwamba; Mkataba huu vile vile haukuhusisha kikamilifu ushirikishwaji wa wananchi. Na kwamba waleta maombi Wanaomba tamko la mahakama kwamba vifungu vyote vinavyoathiri usalama wa taifa, rasilimali za nchi na uhuru wa nchi. Viondolewe.

Adv. Mpoki: Na baaada ya hapo upelekwa mkataba ambao utakuwa na manufaa kwa wananchi, upelekwe kwa Wananchi na baadae uridhiwe na Bunge kwa mujibu wa sheria. Katika kushawishi mahakama hii tutatumia
1. Katiba ya Tanzania, 1977
2. Sheria ya Manunuzi, iliyorejewa 2022
3. Kanuni za Bunge 2022
4. Sheria ya Mkataba sura 345
5. Sheria ya ufafanuzi wa sheria sura Na .1
6. Katiba ya umoja wa falme za kiarabu ya mwaka 1996
7. Viana convention 1966
8. Montevideo convention on rights and duties of state
9. Natural Wealth, sura 6 ya mwaka 2017
10. Natural Wealth, Sura na.5 ya 2017
11. Tutatumia Hukumu za mahakama za ndani na mahakama za nje mbalimbali kushawishi mahakama
11. Tutatumia maandiko ya maandishi nguli ya sheria ambayo yameandikwa kuhusiana na masuala yanayobishaniwa
12. Tutatumia taarifa rasmi za bunge (Hansard)

Adv. Mpoki: Baada ya kusema hayo naomba nianze na issue na. 1. On whether the public were notified and given reasonable time to participate
Adv. Mpoki: Waheshimiwa majaji, IGA ilisainiwa tar 25.10.2022. na chini ya ibara ya 25[2] wahusika walikubaliana kwamba mkataba huu upate ridhaa ya mahakama au bunge ili uwe na nguvu ya kisheria

Kwa takwa la kifungu hiki, Mlalamikiwa na 4 mnamo tar 5 June 2023 saa saba mchana alitoa taarifa kwa umma kutaka umma ufike kwa ajili ya public hearing kesho yake 6 June 2023 (masaa 24) tu. Masaa 24 tu wananchi walitakiwa kwenda ukumbi wa msekwa bungeni kutoa maoni. Tangazo hilo halikuambatana na Mkataba wa IGA hivyo wananchi waliombwa kutoa maoni kwenye kitu wasichokijua.

Adv. Mpoki: Logic ni kwamba hilo tangazo lilipaswa kuambatanishwa na mkataba wa IGA hicho hakikufanywa.

Adv. Mpoki: Mbili, Kutoa tangazo kwenye mtandao sio njia sahihi kuwafikia watu wengi kama Taifa. Na masaa 24 waheshimiwa majaji, ni muda mfupi wa wananchi kuona Tangazo, kutafuta mkataba IGA, KUsoma, kuelewa na kwenda kutoa maoni Bungeni dodoma Ukizingatia walalamikiwa walikuwa na mkabata tangu October na wao wamekaa na mkataba miezi 8 halafu wananchi wanapewa masaa, 24 tu. Sio sahihi.

Adv. Mpoki: Bahati nzuri , wakati wanajibu kiapo cha waombaji katika paragraph ya 5 na 6 cha kiapo cha Maria, mjibu maombi anakubali kweli tangazo lilitolewa tar. 5 June 2023 kwa kutumia media platforms, Hawajasema hizo media ni zipi na wanakubali kwamba hawakuweka Mkataba wa IGA na waliita watu kwenda kuangalia Mkataba. Hili ni kosa kubwa kwa wajibu maombi.

Adv. Mpoki: Katika aya ya 7 ya majibu yao wamesema watu 72 walitoa maoni yao kati ya watu milion 60 kuhusu rasilimali zao. Tunaomba mahakama ijue kwamba kutokea kwa watu 72 ni kutokana na muda mfupi waliotoa ila wangepewa miazi miwili au mitatu tungepata response kubwa sana. Kwenye majibu yao, wameonyesha waty 72 ya waliotoa maoni na majina yao. Nadhani hii haitoshi kuwa shahidi kwa kuwa hakuna kiapo cha hao watu 72. Hakuna kiapo chochote katika mahakama hii kitu ambacho ni jambo la kusemekana na sio halisi pale ambapo hakuna kiapo.
Waheshimiwa majaji Katika kesi Diana Rose Spare part ltd v commissioner General of TRA,Kesi Na.245/20/2021 katika ukurasa wa 9 Mahakama ilisema: Kama kuna nyaraka imemtaja mtu, mtu husika lazima ale kiapo kuhusu nyaraka husika. Kanuni ni kwamba; unapoandika kiapo na unamtaja mtu mwingine, yule mtu mwingine lazima atoe kaipo kinyume na hapo kiapo husika hakitakiwi kutambulika na mahakama.

Anaendelea Mpoki: Wahemshimiwa, Notice inazungumziwa Katika Kanuni 108[2][Quote as its) lengo la notice ni kusaidia katika uchambuzi wa Mkataba husika. Uchambuzi ni vitu hivi tunaongea sasa hivi, kama nafasi ingekuwa kubwa tusingekuwa hapa mahakamani. Waheshimiwa naomba tusome kesi; supreme court of UK kuhusu umuhimu wa NOTICE. REPORTED in textimile.Law report ya uingereza. Nianze kwa kusema Notice is a process ambayo anayetakiwa kutoa ushauri anapaswa kjelezwa kitachozungumzwa, apewe muda wa kutosha, aruhusiwe kushiriki na hata maoni yake yanapaswa kuonyeshwa. Waheshimiwa Mkataba huu unahusu, sea port, lake port na economic zone na inahusisha maeneo yote ya nchi na ilipaswa kuwahusisha watu wa kanda za maziwa katika hili. Na ushirikio ulikuwa muhimu kwa sababu wao ni wadau katika rasilimali zao. Na ushirikishwaji kwa wataoathirika ni sehemu ya Haki ya asili. Bila kuzingatia kanuni ya haki ya asili ni kitendo kibaya na wananchi hawakuhusishwa. Hivyo ni rai yangu kwamba wananchi hawakuhusishwa, hawakupewa muda na tunaomba mahakama iseme au itamke kwamba kitendo hiki ni kitendo batili.

Anamaliza senior Mpoki sasa anamkaribisha wakili Boniface Mwabukusi ili aendelee kuwasilisha hoja.

Sasa ni zamu ya wakili Boniface Mwabukusi.

Adv.Mwabukusi: nitawakilisha issue na.1 kwa idhini yenu naomba kuzungumza issue Na4. Na 5 kwa pamoja. Waheshimiwa majaji, nitaongozwa na sheria ya utafsiri wa sheria[Cap1 RE2019) kifungu cha 25(1][2]ambavyo kifungu cha 1 kinasema; Utangulizi katika sheria ni sehemu ya sheria na itakusudiwa kwamba ni sehemu inayochagiza kusudio na lengo la Sheria. Kifungu 2 kinasema: Jedwali katika Sheria pamoja na Notice inatengeneza sehemu ya Sheria.

Adv. Mwabukusi: Waheshimiwa; nikijikita katika sababu ya kwanza; naomba mahama iende kwenye Utangulizi wa Natural Wealth and Resources, Sura 5 ya 2017 katika paragraph ya 1 na 2 Paragraph ya 1: inahusu msingi mkuu wa malengo na maelekezo ya kisera katika ibara ndogo ya 1 ya sura 5 na ibara ya 9(f) ya Katiba ya Tanzania inatambua mamlaka ya umma. Na kupitia umma huo, serikali itapata nguvu na mamlaka kutoka kwa watu na huku msingi mkuu ikiwa ustawi wa watu. Na paragraph ya 2 inaeleza kwamba; sheria za kimataifa zinatambua haki yetu ya jamhuri katika permanent sovereignty ya kufaidi, kutumia maliasili yake.

Adv. Mwabukusi: Waheshimiwa, naomba msome ukurasa wa 4, paragraph 4 inaeleza Mamlaka na nguvu ya watu ya kuhakikisha kwamba mipango yote, makubaliano yote yanalinda maslahi ya watu na jamhuri yetu. Ukurasa huohuo, paragraph 5, inaeleza kusudio la kuweka sheria madhubuti ili kuhakikisha umiliki, udhibiti wa Rasilimali asili na kulinda ukuu wa nchi kuhusiana na mali asili zake.

Adv. Mwabukusi: Waheshimiwa majaji, kifungu cha 11 (1][2]cha sheria( Natural Wealth, Sura na 5) Kifungu kinasema kwa mujibu wa ibara 27(1] ya Katiba ya Tanzani, 1977 kinasema; ukuu wa nchi katika rasilimali zake utahakikisha migogoro yote ya maliasili haitapelekwa kwenye mahakama au mabaraza ya kigeni.

Adv . Mwabukusi: Kifungu cha 11[2] kinaeleza: kwamba migogoro inayotokana na suala la rasilimali zetu itaamuliwa na mahakama au chombo chochote kilichotebgenezwa kwa mujibu wa sheria za Tanzania. Kifungu hiki kinakataza kabisa masuala ya maliasili ya taifa letu kusikilizwa na kuamuliwa na sheria za kigeni na mahakama za kigeni.

Adv. Mwabukusi: Waheshimiwa majaji, wakati mkitafakari kuhusu ukuu wa nchi(Sovereignty) naomba muende kwenye jedwalli la pili la sheria. Imeweka mamlaka ya nchi kuhusu usimamizi, Uratibu na kuweka haki ya nchi kutokulazimika kupitia mkataba kufanya jambo linaloathili ukuu wa nchi(Sovereignty)

Adv. Mwabukusi: Sheria ya pili ni Natural Wealth, Sura Na.6 ya Mwaka 2017. Katika kifungu cha 5(1] cha sheria hii kinatamka: kwamba mipango yote, au makubaljano katika masuala ya rasilimali za nchi ndani ya siku 6 kuripotiwa katika Bunge la JMT
[7/26, 10:53] Wakili Livino Ngalimitumba: Waheshimiwa kifungu cha 6(2] cha sheria husika kinatamka; makubaliano yapi yatakuwa na utata. Kifungu cha 6(2)[a) kinasema; kuhusu ukuu wa nchi katika utajiri wake na rasilimali zake za nchi
Kifungu cha 6(2)[e] (quote as it is)
Kifungu cha 6(2)[i) quote as its

Adv. Mwabukusi: Waheshimiwa majaji kwa ufupi, vifungu hivi vinaeleza kwamba kama mkataba utakuwa na changamoto dhidi ya ukuu wake (Sovereignty) kama unapendelea wawekezaji wa nje na kuzipa nguvu sheria husika, maana yake mkataba huo ni tata.

Adv. Mwabukusi; Waheshimiwa majaji wakati mkiangalia hoja yetu katika hili, naomba muone annexture A2, ukurasa wa 5 utangulizi "J" Isomwe pamoja na ibara ya 2(1) ya Mkataba wa IGA Kwamba lengo la wahusika katika huu mkataba walitaka uwe Binding. Ukiangalia Utangulizi wa IGA, Paragraph a, b, na c zinazoonyesha kwamba; Mchakato huu ulianza tar 28 February 2022. Na climax, mwisho ilikuwa tar 25 October 2022 lakini kinyume na matakwa ya sheria inavyotaka ikapelekwa katika kikao cha 45 cha Bunge cha tar 10 June 2023. Kifungi kingine kinachohatarisha ukuu wa nchi ni ibara ya 4(2] Ambayo inatusubject taifa kama massanger.

Adv. Mwabukusi: Kifungu hiki kinaondoa ukuu wa nchi katika kufaidi rasilimali za nchi kama sheria zote mbili nilizotaja hapo juu na kuipa Dubai mamlaka Quote ibara 4(2). Kifungu hiki 4(2) kinainyima nchi yetu kuachana na haki ya kutafuta fursa kwingine zaidi ya Dubai hivyo kukinzana na sheria zote nilizotaja hapo juu.

Adv. Mwabukusi: Waheshimiwa ibara ya 21 ya IGA, inakinzana na Sovereignty ya nchi yetu.

Wakili wa serikali: Mh. Judge wakili Mwabukusi alisema anadeal na issue na moja lakini anasubmit tofauti na issue zingine.

Adv. Mwabukusi: waheshimiwa majaji mimi nazungumzia process nzima ya ratification na kutaja vifungu ambavyo mahakama ivitazame kwa kina. This is my floor.

Jaji: mkataba wa IGA inavifungu ndani yake na Mwabukusi anatualika mahakama kuvitazama vifungu husika nadhani tuendelee

Adv.Mwabukusi: nimesema masuala ya utatuzi wa migogoro ya rasilimali za nchi kwa kutumia mahakama za ndani na sheria za ndani. Lakini kifungu cha 21 kimeondoa hayo mamlaka. Kifungu cha 23[4] cha IGA kinaondoa kabisa ukuu wa nchi [sovereignty ) katika kujiondoa au kushiriki na wengine. Hivyo kinakiuka ulinzi wa rasilimali za nchi yetu. Waheshimiwa nitajikita katika issue 4 na 5 kwa pamoja. Swalii ni je IGA ni mkataba au mazungumzo ya kawaida? Kwakile kilichojili katika kikao cha 45 cha bunge cha tar 10.06 2023, Waziri wa ujenzi na uchukuzi aliwasilisha Bungeni azimio kuhusu pendekezo la kuridhia mkataba.

Adv. Mwabukusi: Waheshimiwa majaji hili suala halijabishaniwa na upande wa pili katika majibu yao. Tutawasilisha kwamba mkataba huu hauna sifa za kisheria za kuwa mkataba. Nitazungumza maeneo mawili Waheshimiwa:
1. Kifungu cha 25 cha sheria ya mkataba, Sura 345. Mkataba huu unahusu uwekezaji lakini haujaambatishwa na nyaraka yoyote au kifungu chochote kjnachoonyesha, huyu DP WORLD anawekeza kiasi gani. Hata kwenye appendix,1 ya IGA katika phase 1 ya project. Hakuna kjnachoonyeshwa anawekeza nini au kiasi gani zaidi ya kueleza kitu anachopewa. Hiki ni kinyume cha kifungu cha 25 cha sheria ya Mkaba, Sura 345. This is serious illegality juu ya uhalali wa Mkataba.

Adv. Mwabukusi: Waheshimiwa majaji: kuhusu Capacity/ Competence to contract. Kifungu cha 11[1][2] cha sheria ya Mkataba (Quote)
...
Is not disqualified from contracting by any law( maneno kwa uzito)

Waheshimiwa, Ibara 123 ya Katiba ya umoja wa kiarabu (Quote) kinaeleza bayana kwamba: mshiriki wa umoja wa kiarabu atathibitisha makubaliano na nchi nyingine na makubaliano husika kama hayata kinzana na maslahi ya umoja.

Waheshimiwa majaji DP WORLD hawana capacity to contract na hakuna instrument yoyote ambayo DP World imeruhusiwa na umoja wa kiarabu kufanya makubaliano na Tanzania.

Ibara ya 1 ya Montevideo Convention inatoa sifa ili nchi uweze kutambukika kufanya makubaliano ikiwemo kuwa na uwezo wa kufanya makubaliano kama nchi. Kitu ambacho DUBAI haina hiyo capacity.

Anaendelea wakili Mwabukusi kwamba; Waheshimiwa majaji, Katika kesi ya Day care Vs. Commercial bank Tanzania Ltd ukurasa wa 10 par 2 mstari wa pili. Kunamaneno yanasema. Ili mkataba kuwa na nguvu ya kisheria: free consent of the part, competent to contract and lawful consideration. Kwakua DP WORLD sio competent by virtue of Section 2,10,11(1] of the law of contract. Tunaomba muone kwamba mkataba huu unakosa sifa za kisheria. Na kukosekana kwa issue hizo kunathibitisha mkataba huu ni batili. Its void abuinitial.

Kwa mazingira haya tunaiomba mahakama yako tukufu kuuondoa mkataba huu. Anamaliza wakili Mwabukusi.

Sasa ni zamu ya wakili Livino.

Wakili Livino Ngalimitumba:

Adv. Livino: Nitajikita katika Ukuu wa Katiba ya nchi dhidi ya huu mkataba wa IGA. Waheshimiwa majaji SAMATA J, katika kitabu cha Rule of Law vs Rulers of law, kilichoandikwa na Prof shivji na majamba katika ukurasa wa 128. Kwamba, kuishi kwa mazingatio ya katiba ya nchi hakutakiwi kuchukuliwa kama utumwa bali ni wokovu. Hii inamaanjsha mtu akiwa katika utumwa anapaswa kufanya bidii kujiondoa na akiwa katika wokovu yafaa asiondolewe au kuondoka hapo.

Adv . Livino: Waheshimiwa majaji mkataba wa IGA umekiuka vifungu katika ibara ya 1, 8,28(1)(3) ya Katiba ya Tanzania. Kuna ikiukwaji wa moja kwa moja na ukiukwaji katika taathira ya utekelezaji wa mkataba wenyewe. Waheshimiwa majaji ibara 4[2) ya IGA Inayoeleza scope of cooperation na kutoa wajibu katika serikali ya JMT kuwa agent wa Dubai mwenyejukumu la kuifahamisha dubai kila fursa nyingine za bandari. Ili dubai iweze kuelezea utayari wake katika kuwekeza katika Tanzania. Huu sio wajibu rafiki kwani unaathiri sovereignty ya nchi yetu. Na pia inaondoa ukuu wa nchi yetu katika kutafuta wawekezaji bora zaidi ya Dubai wataoweza kufanya uwekezaji bora katika nchi. Tunaomba mahakama ione kwamba ibara husika ya IGA inavunja katiba na tunaomba mahakama itoe tamko kuwa inavunja katiba ya nchi.

Adv. Livino: Ibara inaelezea wajibu wa watu wote, kuilinda nchi katika hali yoyote inayoonekana inayoathiri nchi. Waheshimiwa kutoa exclusive rights kwa DP WORLD ni kuikosesha nchi yetu kujilinda na kulinda rasilimali za nchi maana hakuna hata reservation rights.

Adv. Livino: Ni maombi yetu kwamba mahakama ione kwamba kifungu 5(1) kinakiuka ibara ya 28 ya katiba ya Tanzania na ione kwamba hiyo ni sababu ya kubatilisha mkataba wa IGA.
Waheshimiwa ibara 6(2] ya IGA (Quote as its) serikali ya Tanzania imezuiwa constructively kuingilia sehemu ya DP WORLD hata kama kutakuwa na sababu za kiusalama basi wadau wote wawili wanatakiwa kuwa na uelewa wa pamoja

Adv. Livino: Waheshimiwa majaji. Ibara hii inavunja ibara ya 28 ya katiba ya Tanzania na kwakuwa Katiba imetoa wajibu wa chi kama nchi huru na kifungu hiki ni kuifanya nchi iingie kwenye changamoto kubwa za kiusalama. Lakini pia kifungu husika kinatweza ukuu wa nchi (Sovereignty) katika kujilinda na kulinda Rasilimali za nchi. Waheshimiwa Ibara 8(1] a,b,c ya IGA, ibara 8[2], 10[1), 23[3][4], 26,27 inakiuka ibara ya 1,8 na ibara 28 ya Katiba ya Tanzania katika misingi ifuatayo;

Adv. Mwabukusi: Waheshimiwa kwanza zinakusudia kuendekeza vitendo vya uvamizi kwa kutoa land rights kwa DP World Exclusively kinyume na ibara ya 28 ya katiba Tanzania. Pia inatoa mianya ya uvamizi wa misingi ya uchumi wa Tanzania kutokana na ubepari uliopo katika mianya ya uchumi. Tunaomba mahakama hii ione kwamba uandishi wa ibara 28 ya Katiba ya Tanzania inaposema wajibu wa kulinda nchi ni pamoja na kulinda mianya ya uchumi wake. Tunailika mahakama yako ione kwamba ibara ya .. ina prejudice haki ya watanzania waliopewa wajibu wa kushiriki katika masuala yanayowahusu. Sasa wananyimwa haki ya kufuatilia masuala yanayowahusu hususani Bandari na economic zone.

Adv. Livino: Nawaalika kwamba ibara 23(3) ya IGA imeweka sharti gumu la termination of the contract na kunyima Tanzania kufanya maamuzi ya mipango ya maendeleo kwa watu wake hivyo kupoka sovereignty ya Tanzania. Ibara ya 26 na 27 ya IGA, Zinakiuka Katiba ya 28 Tanzania kwa kuifanya nchi yetu iwe subordinate kwa Dp world hivyo kuondoa ukuu wa Katiba Yetu.

Kwa mazingira hayo tunaomba mahakama kiubatilisha mkataba huu.

Anamaliza wakili Livino sasa anaingia Bwalya Philip Mwakilima.

Sasa anasimama wakili Philip Mwakilima.

Wakili Mwakilima anatajikita katika issue na.6.

WAKILI MWAKILIMA;

Waheshimiwa majaji, kifungu cha 64 cha Sheria ya Manunuzi ya Umma kinaweka sharti wakati wa kutoa Zabuni (tender), takwa la lazima kwamba Tenda yoyote inayotolewa kwa ushindani. Sheria imetumia neno 'Shall.'

Lengo lake ni kupata the highest evaluated profit. Pia inataka kupata mzabuni (capable), pia sababu nyingine ni kuleta usawa kwenye soko la uwekezaji. Takwa la lazima kwamba Tenda yoyote inayotolewa kwa ushindani. Sheria imetumia neno 'Shall.' Lengo lake ni kupata the highest evaluated profit. Pia inataka kupata mzabuni (capable), pia sababu nyingine ni kuleta usawa kwenye soko la uwekezaji.

Adv. Mwakilima: Mkataba wa IGA kwenye Preamble imesema kwamba DPW walikabidhiwa Kazi za Uwekezaji bila kuonekana walishindanishwa na nani. Ibara ya 8 ya IGA inaeleza kwamba DPW amepewa kuendesha Bandari bila kushindana na wawekezaji wengine. Lakini tu kwenye Preamble para ya pili IGA inaeleza kwamba kulikuwa na mazungumzo ya watu wawili huko Dubai wakati wa ziara ya Rais Samia.

Adv. Mwakilima: Waheshimiwa majaji, kwenye Preamble kuna maneno mengi ya kuipamba DPW kwamba ni kampuni bora. Lakini haijasema alishindanishwa na nani ili kumpata DPW kuwa bora zaidi ya wengine. Uandishi huo wa Preamble inaonyesha kama walitangaza Tenda Dunia nzima, hata hivyo hawajasema ni makampuni mangapi yaliomba Tenda hiyo.

Adv. Mwakilima: Waheshimiwa Majaji, malengo ya kutangaza Tenda yamewekwa na sheria lakini DPW walipewa Tenda bila kufuatwa matakwa ya kisheria. Na Bunge letu chini ya Ibara ya 63(3)(e) walibariki. Mchakato huu kimsingi si tu ulikiuka Sheria ya Manunuzi, bali pia hata umevunja Katiba ya Tanzania. Kifungu 64(2) ya Sheria ya Manunuzi, inaeleza juu ya mambo ya uharaka/dharura yanayokubaliwa. Hakuna kiapo cha Wajibu Maombi kinachosema kwamba walitoa Tenda kwa DPW kwa sababu ya mambo ya dharura.

Adv. Mwakilima: Waheshimiwa majaji, Kifungu cha 3 cha Sheria ya Manunuzi ambacho ni Interpretation Provision inaeleza tafsiri ya neno Tenda. Mkataba huu wa DPW ni Tenda for life. Anamaliza wakili Mwakilima kwa kusema anaomba mahakama kubadilisha mkataba huu kwa hoja alizozitoa. Na kwamba bunge lilidhia mapungufu ya mkataba huu na sasa tegemeo lililobaki ni mahakama pekee.

Anamaliza kuwasilisha hoja wakili Mwakilima. Na huo ni mwisho wa hoja za waleta maombi au wananchi wanaopinga mkataba wa bandari.

Jaji anatoa amri kwamba sasa ni saa saba kamili mchana, mahakama inaenda break na itaendelea baada saa 14: 30 mchana.

Baada ya kuendelea itakuwa ni zamu ya mawakili wa serikali kujibu hoja.

Pia soma: Updates ya kesi ya bandari majibu ya mawakili wa serikali. 26th July 2023
 
Adv. Mpoki: Vile vile mkataba haupo wazi kuhusiana na muda, haina kadimio (consideration) kama ambavyo inatakiwa na kifungu cha 25 cha sheria ya mkataba, haielezi limitation ya maeneo ya uwekezaji.

ANAUNGWA MKONO NA MWENZAKE

Adv. Mwabukusi: Waheshimiwa majaji hili suala halijabishaniwa na upande wa pili katika majibu yao. Tutawasilisha kwamba mkataba huu hauna sifa za kisheria za kuwa mkataba. Nitazungumza maeneo mawili Waheshimiwa:
1. Kifungu cha 25 cha sheria ya mkataba, Sura 345. Mkataba huu unahusu uwekezaji lakini haujaambatishwa na nyaraka yoyote au kifungu chochote kjnachoonyesha, huyu DP WORLD anawekeza kiasi gani. Hata kwenye appendix,1 ya IGA katika phase 1 ya project. Hakuna kjnachoonyeshwa anawekeza nini au kiasi gani zaidi ya kueleza kitu anachopewa. Hiki ni kinyume cha kifungu cha 25 cha sheria ya Mkaba, Sura 345. This is serious illegality juu ya uhalali wa Mkataba.

Kwa maelezo haya na kwa mjibu wa sheria ya mikataba ya Tanzania hapo hakuna mkataba FULL STOP
 
#Update KESI YA BANDARI.

Majaji wanaingia muda huu saa 09: 20

MAJAJI watatu;

1. Hon. Ndunguru

2. Hon. Ismail

3. Hon. Kagomba

Wote wameinama wanaandika

Anasimama wakili wa serikali kutambulisha mawakili wa pande zote.

MAWAKILI WA SERIKALI;

1. Adv. Mark Muluambo

2. Edson Mwaiyunge

3. Alice Mkulu

4. Stanley Kalokola

5. Edwin Lwebilo

MAWAKILI WA WALETA MAOMBI/ WALALAMIKAJI;

1. Mpale Mpoki

2. Boniface MWABUKUSI

3. Philip Mwakilima

4. Livino Ngalimitumba

Anasimama wakili wa waleta maombi senior adv. Mpoki.

Adv. Mpoki: iwapendeze Waheshimiwa majaji tupo tayari kuendelea kwa utaratibu ufuatao. Nitatoa utangulizi na kuongelea kiini Na.2

Msomi Mwabukusi atazunguzmia issue no. 1 na 4. Msomi Livino atazungumzia issue na. 3 na Msomi mwakilima atazungumzia issue no.5

Bado anaendelea senior Mpoki.

Adv. Mpoki Naomba nianze kwamba maombi haya yameletwa na walalamikaji 4 ambao wapo mbele yenu kwa mujibu wa ibara 108(2] ya Katiba ya Tanzania. Inayoipa mahakama mamlaka ya pekee katika shauri hili.

Pia kifungu cha 2[3] Cha JALA

Vifungu hivi vinaipa mahakama kusikiliza shauri hili.

Pia kuna kiapo cha tar 26 June 2023 kilichoapwa na waombaji vile vile Originating Summons ambayo naomba ku adopt kuwa sehemu ya mwenendo
[7/26, 09:35] Wakili Livino Ngalimitumba: Katika Originating Summons waombaji wanaomba vitu vikubwa 9 ambavyo vipo ukurasa wa 5 mpaka 6 wa maombi ya waombaji

Anaendelea senior Mpoki kwamba Kwanza ni tamko kwamba kitendo cha mjibu maombi wa pili kupeleka mkataba kati ya Tanzania na Dubai uliohusu rasilimali za Tanzania bila kushirikisha wananchi na kupitishwa bungeni ilikinzana na ibara 1,8,18(d), 21[2] 27 ya katiba ya Tanzania 1977, Na kifungu kifungu 11[1][2][3] na kifungu cha 12 cha sheria ya mali asili, sheria na. 5 ya mwaka 2017.

Anaendelea wakili Mpoki kwamba; Vile vile mkataba huo unavifungu 6(2) 7[2], 23[4] kinaathiri Usalama wa nchi, uhuru wa nchi na kuhatarisha usalama wa rasilimali za nchi kwa kuwa inakinzana na ibara ya 1,8,18(d) 28 ya Katiba ya Tanzania.

Adv. Mpoki: Vile vile mkataba haupo wazi kuhusiana na muda, haina kadimio (consideration) kama ambavyo inatakiwa na kifungu cha 25 cha sheria ya mkataba, haielezi limitation ya maeneo ya uwekezaji.

Adv. Mpoki: Jambo la nne, Mkataba huo haukufuata sheria ya Manunuzi ya mwaka 2022 Vile vile kitendo cha bunge kuridhia mkataba ilikuwa kinyume na sheria. Waombaji wanaomba kwamba mahakama itoe tamko kwamba bunge lilifanya makosa kuridhia kinyume na sheria za nchi.

Anaendelea senior Mpoki kwamba; Mkataba huu vile vile haukuhusisha kikamilifu ushirikishwaji wa wananchi. Na kwamba waleta maombi Wanaomba tamko la mahakama kwamba vifungu vyote vinavyoathiri usalama wa taifa, rasilimali za nchi na uhuru wa nchi. Viondolewe.

Adv. Mpoki: Na baaada ya hapo upelekwa mkataba ambao utakuwa na manufaa kwa wananchi, upelekwe kwa Wananchi na baadae uridhiwe na Bunge kwa mujibu wa sheria. Katika kushawishi mahakama hii tutatumia
1. Katiba ya Tanzania, 1977
2. Sheria ya Manunuzi, iliyorejewa 2022
3. Kanuni za Bunge 2022
4. Sheria ya Mkataba sura 345
5. Sheria ya ufafanuzi wa sheria sura Na .1
6. Katiba ya umoja wa falme za kiarabu ya mwaka 1996
7. Viana convention 1966
8. Montevideo convention on rights and duties of state
9. Natural Wealth, sura 6 ya mwaka 2017
10. Natural Wealth, Sura na.5 ya 2017
11. Tutatumia Hukumu za mahakama za ndani na mahakama za nje mbalimbali kushawishi mahakama
11. Tutatumia maandiko ya maandishi nguli ya sheria ambayo yameandikwa kuhusiana na masuala yanayobishaniwa
12. Tutatumia taarifa rasmi za bunge (Hansard)

Adv. Mpoki: Baada ya kusema hayo naomba nianze na issue na. 1. On whether the public were notified and given reasonable time to participate
Adv. Mpoki: Waheshimiwa majaji, IGA ilisainiwa tar 25.10.2022. na chini ya ibara ya 25[2] wahusika walikubaliana kwamba mkataba huu upate ridhaa ya mahakama au bunge ili uwe na nguvu ya kisheria
Kwa takwa la kifungu hiki, Mlalamikiwa na 4 mnamo tar 5.june 2023 saa saba mchana alitoa taarifa kwa umma kutaka umma ufike kwa ajili ya public hearing kesho yake 6.june 2023[ masaa 24) tu. Masaa 24 tu wananchi walitakiwa kwenda ukumbi wa msekwa bungeni kutoa maoni. Tangazo hilo halikuambatana na Mkataba wa IGA hivyo wananchi waliombwa kutoa maoni kwenye kitu wasichokijua.

Adv. Mpoki: Logic ni kwamba hilo tangazo lilipaswa kuambatanishwa na mkataba wa IGA hicho hakikufanywa.

Adv. Mpoki: Mbili, Kutoa tangazo kwenye mtandao sio njia sahihi kuwafikia watu wengi kama Taifa. Na masaa 24 waheshimiwa majaji, ni muda mfupi wa wananchi kuona Tangazo, kutafuta mkataba IGA, KUsoma, kuelewa na kwenda kutoa maoni Bungeni dodoma Ukizingatia walalamikiwa walikuwa na mkabata tangu October na wao wamekaa na mkataba miezi 8 halafu wananchi wanapewa masaa, 24 tu. Sio sahihi.

Adv. Mpoki: Bahati nzuri , wakati wanajibu kiapo cha waombaji katika paragraph ya 5 na 6 cha kiapo cha Maria, mjibu maombi anakubali kweli tangazo lilitolewa tar. 5 June 2023 kwa kutumia media platforms, Hawajasema hizo media ni zipi na wanakubali kwamba hawakuweka Mkataba wa IGA na waliita watu kwenda kuangalia Mkataba. Hili ni kosa kubwa kwa wajibu maombi.

Adv. Mpoki: Katika aya ya 7 ya majibu yao wamesema watu 72 walitoa maoni yao kati ya watu milion 60 kuhusu rasilimali zao. Tunaomba mahakama ijue kwamba kutokea kwa watu 72 ni kutokana na muda mfupi waliotoa ila wangepewa miazi miwili au mitatu tungepata response kubwa sana. Kwenye majibu yao, wameonyesha waty 72 ya waliotoa maoni na majina yao. Nadhani hii haitoshi kuwa shahidi kwa kuwa hakuna kiapo cha hao watu 72. Hakuna kiapo chochote katika mahakama hii kitu ambacho ni jambo la kusemekana na sio halisi pale ambapo hakuna kiapo.
Waheshimiwa majaji Katika kesi Diana Rose Spare part ltd v commissioner General of TRA,Kesi Na.245/20/2021 katika ukurasa wa 9 Mahakama ilisema: Kama kuna nyaraka imemtaja mtu, mtu husika lazima ale kiapo kuhusu nyaraka husika. Kanuni ni kwamba; unapoandika kiapo na unamtaja mtu mwingine, yule mtu mwingine lazima atoe kaipo kinyume na hapo kiapo husika hakitakiwi kutambulika na mahakama.

Anaendelea Mpoki: Wahemshimiwa, Notice inazungumziwa Katika Kanuni 108[2][Quote as its) lengo la notice ni kusaidia katika uchambuzi wa Mkataba husika. Uchambuzi ni vitu hivi tunaongea sasa hivi, kama nafasi ingekuwa kubwa tusingekuwa hapa mahakamani. Waheshimiwa naomba tusome kesi; supreme court of UK kuhusu umuhimu wa NOTICE. REPORTED in textimile.Law report ya uingereza. Nianze kwa kusema Notice is a process ambayo anayetakiwa kutoa ushauri anapaswa kjelezwa kitachozungumzwa, apewe muda wa kutosha, aruhusiwe kushiriki na hata maoni yake yanapaswa kuonyeshwa. Waheshimiwa Mkataba huu unahusu, sea port, lake port na economic zone na inahusisha maeneo yote ya nchi na ilipaswa kuwahusisha watu wa kanda za maziwa katika hili. Na ushirikio ulikuwa muhimu kwa sababu wao ni wadau katika rasilimali zao. Na ushirikishwaji kwa wataoathirika ni sehemu ya Haki ya asili. Bila kuzingatia kanuni ya haki ya asili ni kitendo kibaya na wananchi hawakuhusishwa. Hivyo ni rai yangu kwamba wananchi hawakuhusishwa, hawakupewa muda na tunaomba mahakama iseme au itamke kwamba kitendo hiki ni kitendo batili.

Anamaliza senior Mpoki sasa anamkaribisha wakili Boniface Mwabukusi ili aendelee kuwasilisha hoja.

Sasa ni zamu ya wakili Boniface Mwabukusi.

Adv.Mwabukusi: nitawakilisha issue na.1 kwa idhini yenu naomba kuzungumza issue Na4. Na 5 kwa pamoja. Waheshimiwa majaji, nitaongozwa na sheria ya utafsiri wa sheria[Cap1 RE2019) kifungu cha 25(1][2]ambavyo kifungu cha 1 kinasema; Utangulizi katika sheria ni sehemu ya sheria na itakusudiwa kwamba ni sehemu inayochagiza kusudio na lengo la Sheria. Kifungu 2 kinasema: Jedwali katika Sheria pamoja na Notice inatengeneza sehemu ya Sheria.

Adv. Mwabukusi: Waheshimiwa; nikijikita katika sababu ya kwanza; naomba mahama iende kwenye Utangulizi wa Natural Wealth and Resources, Sura 5 ya 2017 katika paragraph ya 1 na 2 Paragraph ya 1: inahusu msingi mkuu wa malengo na maelekezo ya kisera katika ibara ndogo ya 1 ya sura 5 na ibara ya 9(f) ya Katiba ya Tanzania inatambua mamlaka ya umma. Na kupitia umma huo, serikali itapata nguvu na mamlaka kutoka kwa watu na huku msingi mkuu ikiwa ustawi wa watu. Na paragraph ya 2 inaeleza kwamba; sheria za kimataifa zinatambua haki yetu ya jamhuri katika permanent sovereignty ya kufaidi, kutumia maliasili yake.

Adv. Mwabukusi: Waheshimiwa, naomba msome ukurasa wa 4, paragraph 4 inaeleza Mamlaka na nguvu ya watu ya kuhakikisha kwamba mipango yote, makubaliano yote yanalinda maslahi ya watu na jamhuri yetu. Ukurasa huohuo, paragraph 5, inaeleza kusudio la kuweka sheria madhubuti ili kuhakikisha umiliki, udhibiti wa Rasilimali asili na kulinda ukuu wa nchi kuhusiana na mali asili zake.

Adv. Mwabukusi: Waheshimiwa majaji, kifungu cha 11 (1][2]cha sheria( Natural Wealth, Sura na 5) Kifungu kinasema kwa mujibu wa ibara 27(1] ya Katiba ya Tanzani, 1977 kinasema; ukuu wa nchi katika rasilimali zake utahakikisha migogoro yote ya maliasili haitapelekwa kwenye mahakama au mabaraza ya kigeni.

Adv . Mwabukusi: Kifungu cha 11[2] kinaeleza: kwamba migogoro inayotokana na suala la rasilimali zetu itaamuliwa na mahakama au chombo chochote kilichotebgenezwa kwa mujibu wa sheria za Tanzania. Kifungu hiki kinakataza kabisa masuala ya maliasili ya taifa letu kusikilizwa na kuamuliwa na sheria za kigeni na mahakama za kigeni.

Adv. Mwabukusi: Waheshimiwa majaji, wakati mkitafakari kuhusu ukuu wa nchi(Sovereignty) naomba muende kwenye jedwalli la pili la sheria. Imeweka mamlaka ya nchi kuhusu usimamizi, Uratibu na kuweka haki ya nchi kutokulazimika kupitia mkataba kufanya jambo linaloathili ukuu wa nchi(Sovereignty)

Adv. Mwabukusi: Sheria ya pili ni Natural Wealth, Sura Na.6 ya Mwaka 2017. Katika kifungu cha 5(1] cha sheria hii kinatamka: kwamba mipango yote, au makubaljano katika masuala ya rasilimali za nchi ndani ya siku 6 kuripotiwa katika Bunge la JMT
[7/26, 10:53] Wakili Livino Ngalimitumba: Waheshimiwa kifungu cha 6(2] cha sheria husika kinatamka; makubaliano yapi yatakuwa na utata. Kifungu cha 6(2)[a) kinasema; kuhusu ukuu wa nchi katika utajiri wake na rasilimali zake za nchi
[7/26, 10:55]. Kifungu cha 6(2)[e] (quote as it is)
[7/26, 10:57]. Kifungu cha 6(2)[i) quote as its

Adv. Mwabukusi: Waheshimiwa majaji kwa ufupi, vifungu hivi vinaeleza kwamba kama mkataba utakuwa na changamoto dhidi ya ukuu wake (Sovereignty) kama unapendelea wawekezaji wa nje na kuzipa nguvu sheria husika, maana yake mkataba huo ni tata.

Adv. Mwabukusi; Waheshimiwa majaji wakati mkiangalia hoja yetu katika hili, naomba muone annexture A2, ukurasa wa 5 utangulizi "J" Isomwe pamoja na ibara ya 2(1) ya Mkataba wa IGA Kwamba lengo la wahusika katika huu mkataba walitaka uwe Binding. Ukiangalia Utangulizi wa IGA, Paragraph a, b, na c zinazoonyesha kwamba; Mchakato huu ulianza tar 28 February 2022. Na climax, mwisho ilikuwa tar 25 October 2022 lakini kinyume na matakwa ya sheria inavyotaka ikapelekwa katika kikao cha 45 cha Bunge cha tar 10 June 2023. Kifungi kingine kinachohatarisha ukuu wa nchi ni ibara ya 4(2] Ambayo inatusubject taifa kama massanger.

Adv. Mwabukusi: Kifungu hiki kinaondoa ukuu wa nchi katika kufaidi rasilimali za nchi kama sheria zote mbili nilizotaja hapo juu na kuipa Dubai mamlaka Quote ibara 4(2). Kifungu hiki 4(2) kinainyima nchi yetu kuachana na haki ya kutafuta fursa kwingine zaidi ya Dubai hivyo kukinzana na sheria zote nilizotaja hapo juu.

Adv. Mwabukusi: Waheshimiwa ibara ya 21 ya IGA, inakinzana na Sovereignty ya nchi yetu.

Wakili wa serikali: Mh. Judge wakili Mwabukusi alisema anadeal na issue na moja lakini anasubmit tofauti na issue zingine.

Adv. Mwabukusi: waheshimiwa majaji mimi nazungumzia process nzima ya ratification na kutaja vifungu ambavyo mahakama ivitazame kwa kina. This is my floor.

Jaji: mkataba wa IGA inavifungu ndani yake na Mwabukusi anatualika mahakama kuvitazama vifungu husika nadhani tuendelee

Adv.Mwabukusi: nimesema masuala ya utatuzi wa migogoro ya rasilimali za nchi kwa kutumia mahakama za ndani na sheria za ndani. Lakini kifungu cha 21 kimeondoa hayo mamlaka. Kifungu cha 23[4] cha IGA kinaondoa kabisa ukuu wa nchi [sovereignty ) katika kujiondoa au kushiriki na wengine. Hivyo kinakiuka ulinzi wa rasilimali za nchi yetu. Waheshimiwa nitajikita katika issue 4 na 5 kwa pamoja. Swalii ni je IGA ni mkataba au mazungumzo ya kawaida? Kwakile kilichojili katika kikao cha 45 cha bunge cha tar 10.06 2023, Waziri wa ujenzi na uchukuzi aliwasilisha Bungeni azimio kuhusu pendekezo la kuridhia mkataba.

Adv. Mwabukusi: Waheshimiwa majaji hili suala halijabishaniwa na upande wa pili katika majibu yao. Tutawasilisha kwamba mkataba huu hauna sifa za kisheria za kuwa mkataba. Nitazungumza maeneo mawili Waheshimiwa:
1. Kifungu cha 25 cha sheria ya mkataba, Sura 345. Mkataba huu unahusu uwekezaji lakini haujaambatishwa na nyaraka yoyote au kifungu chochote kjnachoonyesha, huyu DP WORLD anawekeza kiasi gani. Hata kwenye appendix,1 ya IGA katika phase 1 ya project. Hakuna kjnachoonyeshwa anawekeza nini au kiasi gani zaidi ya kueleza kitu anachopewa. Hiki ni kinyume cha kifungu cha 25 cha sheria ya Mkaba, Sura 345. This is serious illegality juu ya uhalali wa Mkataba.

Adv. Mwabukusi: Waheshimiwa majaji: kuhusu Capacity/ Competence to contract. Kifungu cha 11[1][2] cha sheria ya Mkataba (Quote)
...
Is not disqualified from contracting by any law( maneno kwa uzito)

Waheshimiwa, Ibara 123 ya Katiba ya umoja wa kiarabu (Quote) kinaeleza bayana kwamba: mshiriki wa umoja wa kiarabu atathibitisha makubaliano na nchi nyingine na makubaliano husika kama hayata kinzana na maslahi ya umoja.

Waheshimiwa majaji DP WORLD hawana capacity to contract na hakuna instrument yoyote ambayo DP World imeruhusiwa na umoja wa kiarabu kufanya makubaliano na Tanzania.

Ibara ya 1 ya Montevideo Convention inatoa sifa ili nchi uweze kutambukika kufanya makubaliano ikiwemo kuwa na uwezo wa kufanya makubaliano kama nchi. Kitu ambacho DUBAI haina hiyo capacity.

Anaendelea wakili Mwabukusi kwamba; Waheshimiwa majaji, Katika kesi ya Day care Vs. Commercial bank Tanzania Ltd ukurasa wa 10 par 2 mstari wa pili. Kunamaneno yanasema. Ili mkataba kuwa na nguvu ya kisheria: free consent of the part, competent to contract and lawful consideration. Kwakua DP WORLD sio competent by virtue of Section 2,10,11(1] of the law of contract. Tunaomba muone kwamba mkataba huu unakosa sifa za kisheria. Na kukosekana kwa issue hizo kunathibitisha mkataba huu ni batili. Its void abuinitial.

Kwa mazingira haya tunaiomba mahakama yako tukufu kuuondoa mkataba huu. Anamaliza wakili Mwabukusi.

Sasa ni zamu ya wakili Livino.

Wakili Livino Ngalimitumba:

Adv. Livino: Nitajikita katika Ukuu wa Katiba ya nchi dhidi ya huu mkataba wa IGA. Waheshimiwa majaji SAMATA J, katika kitabu cha Rule of Law vs Rulers of law, kilichoandikwa na Prof shivji na majamba katika ukurasa wa 128. Kwamba, kuishi kwa mazingatio ya katiba ya nchi hakutakiwi kuchukuliwa kama utumwa bali ni wokovu. Hii inamaanjsha mtu akiwa katika utumwa anapaswa kufanya bidii kujiondoa na akiwa katika wokovu yafaa asiondolewe au kuondoka hapo.

Adv . Livino: Waheshimiwa majaji mkataba wa IGA umekiuka vifungu katika ibara ya 1, 8,28(1)(3) ya Katiba ya Tanzania. Kuna ikiukwaji wa moja kwa moja na ukiukwaji katika taathira ya utekelezaji wa mkataba wenyewe. Waheshimiwa majaji ibara 4[2) ya IGA Inayoeleza scope of cooperation na kutoa wajibu katika serikali ya JMT kuwa agent wa Dubai mwenyejukumu la kuifahamisha dubai kila fursa nyingine za bandari. Ili dubai iweze kuelezea utayari wake katika kuwekeza katika Tanzania. Huu sio wajibu rafiki kwani unaathiri sovereignty ya nchi yetu. Na pia inaondoa ukuu wa nchi yetu katika kutafuta wawekezaji bora zaidi ya Dubai wataoweza kufanya uwekezaji bora katika nchi. Tunaomba mahakama ione kwamba ibara husika ya IGA inavunja katiba na tunaomba mahakama itoe tamko kuwa inavunja katiba ya nchi.

Adv. Livino: Ibara inaelezea wajibu wa watu wote, kuilinda nchi katika hali yoyote inayoonekana inayoathiri nchi. Waheshimiwa kutoa exclusive rights kwa DP WORLD ni kuikosesha nchi yetu kujilinda na kulinda rasilimali za nchi maana hakuna hata reservation rights.

Adv. Livino: Ni maombi yetu kwamba mahakama ione kwamba kifungu 5(1) kinakiuka ibara ya 28 ya katiba ya Tanzania na ione kwamba hiyo ni sababu ya kubatilisha mkataba wa IGA.
Waheshimiwa ibara 6(2] ya IGA (Quote as its) serikali ya Tanzania imezuiwa constructively kuingilia sehemu ya DP WORLD hata kama kutakuwa na sababu za kiusalama basi wadau wote wawili wanatakiwa kuwa na uelewa wa pamoja

Adv. Livino: Waheshimiwa majaji. Ibara hii inavunja ibara ya 28 ya katiba ya Tanzania na kwakuwa Katiba imetoa wajibu wa chi kama nchi huru na kifungu hiki ni kuifanya nchi iingie kwenye changamoto kubwa za kiusalama. Lakini pia kifungu husika kinatweza ukuu wa nchi (Sovereignty) katika kujilinda na kulinda Rasilimali za nchi. Waheshimiwa Ibara 8(1] a,b,c ya IGA, ibara 8[2], 10[1), 23[3][4], 26,27 inakiuka ibara ya 1,8 na ibara 28 ya Katiba ya Tanzania katika misingi ifuatayo;

Adv. Mwabukusi: Waheshimiwa kwanza zinakusudia kuendekeza vitendo vya uvamizi kwa kutoa land rights kwa DP World Exclusively kinyume na ibara ya 28 ya katiba Tanzania. Pia inatoa mianya ya uvamizi wa misingi ya uchumi wa Tanzania kutokana na ubepari uliopo katika mianya ya uchumi. Tunaomba mahakama hii ione kwamba uandishi wa ibara 28 ya Katiba ya Tanzania inaposema wajibu wa kulinda nchi ni pamoja na kulinda mianya ya uchumi wake. Tunailika mahakama yako ione kwamba ibara ya .. ina prejudice haki ya watanzania waliopewa wajibu wa kushiriki katika masuala yanayowahusu. Sasa wananyimwa haki ya kufuatilia masuala yanayowahusu hususani Bandari na economic zone.

Adv. Livino: Nawaalika kwamba ibara 23(3) ya IGA imeweka sharti gumu la termination of the contract na kunyima Tanzania kufanya maamuzi ya mipango ya maendeleo kwa watu wake hivyo kupoka sovereignty ya Tanzania. Ibara ya 26 na 27 ya IGA, Zinakiuka Katiba ya 28 Tanzania kwa kuifanya nchi yetu iwe subordinate kwa Dp world hivyo kuondoa ukuu wa Katiba Yetu.

Kwa mazingira hayo tunaomba mahakama kiubatilisha mkataba huu.

Anamaliza wakili Livino sasa anaingia Bwalya Philip Mwakilima.

Sasa anasimama wakili Philip Mwakilima.

Wakili Mwakilima anatajikita katika issue na.6.

WAKILI MWAKILIMA;

Waheshimiwa majaji, kifungu cha 64 cha Sheria ya Manunuzi ya Umma kinaweka sharti wakati wa kutoa Zabuni (tender), takwa la lazima kwamba Tenda yoyote inayotolewa kwa ushindani. Sheria imetumia neno 'Shall.'

Lengo lake ni kupata the highest evaluated profit. Pia inataka kupata mzabuni (capable), pia sababu nyingine ni kuleta usawa kwenye soko la uwekezaji. Takwa la lazima kwamba Tenda yoyote inayotolewa kwa ushindani. Sheria imetumia neno 'Shall.' Lengo lake ni kupata the highest evaluated profit. Pia inataka kupata mzabuni (capable), pia sababu nyingine ni kuleta usawa kwenye soko la uwekezaji.

Adv. Mwakilima: Mkataba wa IGA kwenye Preamble imesema kwamba DPW walikabidhiwa Kazi za Uwekezaji bila kuonekana walishindanishwa na nani. Ibara ya 8 ya IGA inaeleza kwamba DPW amepewa kuendesha Bandari bila kushindana na wawekezaji wengine. Lakini tu kwenye Preamble para ya pili IGA inaeleza kwamba kulikuwa na mazungumzo ya watu wawili huko Dubai wakati wa ziara ya Rais Samia.

Adv. Mwakilima: Waheshimiwa majaji, kwenye Preamble kuna maneno mengi ya kuipamba DPW kwamba ni kampuni bora. Lakini haijasema alishindanishwa na nani ili kumpata DPW kuwa bora zaidi ya wengine. Uandishi huo wa Preamble inaonyesha kama walitangaza Tenda Dunia nzima, hata hivyo hawajasema ni makampuni mangapi yaliomba Tenda hiyo.

Adv. Mwakilima: Waheshimiwa Majaji, malengo ya kutangaza Tenda yamewekwa na sheria lakini DPW walipewa Tenda bila kufuatwa matakwa ya kisheria. Na Bunge letu chini ya Ibara ya 63(3)(e) walibariki. Mchakato huu kimsingi si tu ulikiuka Sheria ya Manunuzi, bali pia hata umevunja Katiba ya Tanzania. Kifungu 64(2) ya Sheria ya Manunuzi, inaeleza juu ya mambo ya uharaka/dharura yanayokubaliwa. Hakuna kiapo cha Wajibu Maombi kinachosema kwamba walitoa Tenda kwa DPW kwa sababu ya mambo ya dharura.

Adv. Mwakilima: Waheshimiwa majaji, Kifungu cha 3 cha Sheria ya Manunuzi ambacho ni Interpretation Provision inaeleza tafsiri ya neno Tenda. Mkataba huu wa DPW ni Tenda for life. Anamaliza wakili Mwakilima kwa kusema anaomba mahakama kubadilisha mkataba huu kwa hoja alizozitoa. Na kwamba bunge lilidhia mapungufu ya mkataba huu na sasa tegemeo lililobaki ni mahakama pekee.

Anamaliza kuwasilisha hoja wakili Mwakilima. Na huo ni mwisho wa hoja za waleta maombi au wananchi wanaopinga mkataba wa bandari.

Jaji anatoa amri kwamba sasa ni saa saba kamili mchana, mahakama inaenda break na itaendelea baada saa 14: 30 mchana.

Baada ya kuendelea itakuwa ni zamu ya mawakili wa serikali kujibu hoja.
Mdude mawakili wako wote wamekubali hakuna mkataba; kwa maana hiyo serikali iko sahihi kwa kusema kilichopo ni makubaliano
 
Adv. Mpoki: Vile vile mkataba haupo wazi kuhusiana na muda, haina kadimio (consideration) kama ambavyo inatakiwa na kifungu cha 25 cha sheria ya mkataba, haielezi limitation ya maeneo ya uwekezaji.
ANAUNGWA MKONO NA MWENZAKE
Adv. Mwabukusi: Waheshimiwa majaji hili suala halijabishaniwa na upande wa pili katika majibu yao. Tutawasilisha kwamba mkataba huu hauna sifa za kisheria za kuwa mkataba. Nitazungumza maeneo mawili Waheshimiwa:
1. Kifungu cha 25 cha sheria ya mkataba, Sura 345. Mkataba huu unahusu uwekezaji lakini haujaambatishwa na nyaraka yoyote au kifungu chochote kjnachoonyesha, huyu DP WORLD anawekeza kiasi gani. Hata kwenye appendix,1 ya IGA katika phase 1 ya project. Hakuna kjnachoonyeshwa anawekeza nini au kiasi gani zaidi ya kueleza kitu anachopewa. Hiki ni kinyume cha kifungu cha 25 cha sheria ya Mkaba, Sura 345. This is serious illegality juu ya uhalali wa Mkataba.

Kwa maelezo haya na kwa mjibu wa sheria ya mikataba ya Tanzania hapo hakuna mkataba FULL STOP

Please share more updates!
 
Walichokosea mawakili wasomi, hata Jaji mwenyewe ni kutumia sheria za ndani kutafasiri mkataba wa kimataifa (International Treaty). Sheria ziko wazi kabisa, kwamba mikataba ya kimataifa inatafasiriwa kupitia Vienna Convention on the Law of Treaties 1969. Huwezi kutumia The Tanzania Law of Contract Act, hata siku moja.

Ile IGA ni mkataba wa kimataifa, na HGA ndiyo mkataba wa utekelezaji ambao ungesimamiwa kwa sheria za ndani ya nchi na zile za kimataifa (Hybrid Legal Dichotomy) kwenye suala zima la usuluhishi. Hilo limewekwa wazi hata kwenye Stabilisation Clauses za kwenye IGA.

Mama acheze kwa akili ajishushe tu akubali aibu anayoweza kuifuta kwa kushusha gharama za mabando.

Hii ngoma ikipita wakiilazimisha ipitr Rais atakuwa kajiweka danger zone.

Inaweza kuleta mwamko zaidi wa watu kujiita watanganyika na kuchukiana na wazanzibari, hapa iwe isiwe rais ajae akitokea huku basi wazanzibar wajiandae kupewa dawa chungu hawajawahi kunyweshwa.
 
Screenshot_2023-07-26-15-27-57-1.jpg
 
Back
Top Bottom